Bondpost
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 7,019
- 10,455
Haya ndio yaleyale tu ya chain of command. Bahati mbaya unakuta hivi vikosi vyote wakubwa wake wanalazimika kuwa chini ya RPC sababu yeye ndio Kamanda wa mkoa.Nipe darasa kidogo kuhusu RCO na RTO... nani bosi? Je RTO anaweza kuwa RCO and vice versa?
Bosi wa usalama barabarani Tanzania anapopelekwa kuwa RPC Morogoro.. inakuwa demotion au promotion?
RTO anaweza kuwa RCO hata akawa RPC inategemea upepo umemkalia vipi. Hapa sasa ndio masuala ya ranks za kipolisi yanakuja, kama ana rank ya kuwa hapo.
Bahati mbaya ndio hiyo kwamba RTO unakuta cheo chake ni kidogo kwa RPC hapo ndio lazima boss amuwakie. Hata kama wapo cheo kimoja Ila ofisi ya RTO na RCO ipo chini ya RPC so bado bosi wa mkoa ni RPC.