Just Google hivyo vyeo vipo tu But RCO (Regional Crimes Officer) kimsingi angepaswa kuwa na cheo cha kipolisi (rank) ya Assistant Commissioner of Police (ACP) then RPC (Regional Commander) at least angekuwa na cheo cha SACP ( Senior Assistant Commissioner of Police).
SSP ni Senior Superintendent of Police anakuwa na lishilingi mabegani Hawa wanakuwaga OCD wa wilaya nyingi ambazo hazina changamoto ya kipolisi.
Sasa SSP ambaye anapewa kuongoza wilaya kama OCD (Officer Commander of District) kiukweli kuwa sawa na RCO ambaye hawana tofauti sana na RPC sema sababu ya Chain of Command inabidi RPC ndio awe na Rank kubwa ya Usenior kamishna huwezi kumfananisha kwa rank wawe sawa na OCD.
Kama ndio hivyo, je staff officer atakuwa na rank gani? Polisi wananyima vyeo sana bila sababu. Mtu anapewa mkoa mzima unamuacha awaongoze SSP wenzie heshima ya kijeshi including proper chain of command inatoka wapi?
Yani ni sawa na RPC awe rank moja na RCO au Staff officer [emoji1745] hapo hakuna wa kumbabaisha mwenzake.
Note: RPC, RCO, OCD, OCS hizi ni administrative posts ambazo zinaongozwa na police wenye rank mbalimbali za kupishana kulingana na majukumu na chain of command.