Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,413
- 23,592
Je, mgombea wa Urasi kupitia Chadema, Mh. Tundu Antiphas Lissu anayo haki yoyote ya kufokea ushirika huu wa kiharamu wa Jeshi la Polisi na CCM?
Je, ni kweli jeshi la polisi linatumiwa na wagombea wa CCM kukandamiza uhuru na haki ya wananchi kuwapigia kura viongozi wanaowapenda?
Je, kitendo cha Mh. Tundu Antiphas Lissu kukemea vitendo vya hovyo vinavyofanywa na polisi dhidi ya upinzani ni vya kupongezwa au kubezwa?
Je, IGP anapotoa amri kwa mgombea Urais wa Chadema kuripoti kituo cha polisi ambao wapo hawa haoni kuwa ni kuhatarisha usalama wake?