Sina hakika kama atakuwa na jibu. Yaani polisi wamekuwa kama vinyago vya mwana CCM yeyote hata akiwa muokota makopo. Unaweza ukajiuliza sasa huyu afande pamoja na nyota zake anafanya nini hapa usipate jibu. Na hawa eti ndio wanategemewa kutoa haki kwa vyama vyote katika uchaguzi huu.IGP Sirro tunamsubiri kauli yako.
huo ni muziki wa kusifia chama flani je? atatoa haki kwa upande wa pili ikiwa kasha jinesha yu upande ganiKwani kucheza musiki kwa askari ni kosa?
Kwenye list yako ongezea na Tiss..watu wasiojulikana!!Wananchi tu ndio watakaoirudisha nchi hii mikononi mwao. Lissu mwenyewe tu hawezi. TL anajaribu kutuonyesha njia tu. Wananchi tuna nguvu kuliko CCM+Tume+Msajili+Polisi. Kama tunaogopa kupigwa mabomu, tuwe tayari kutawaliwa na hawa washenzi mpaka mwisho.
Kuna vitendo vya polisi dhidi ya upinzani nikivikumbuka natoa machozi...yaani unabaki unajiuliza hawa kweli ni walinzi wa usalama wa raia wote wa nchi hii? Hebu shuhudieni huu unyama wa polisi wetu...
View attachment 1588576
Je, mgombea wa Urasi kupitia Chadema, Mh. Tundu Antiphas Lissu anayo haki yoyote ya kufokea ushirika huu wa kiharamu wa Jeshi la Polisi na CCM?
Je, ni kweli jeshi la polisi linatumiwa na wagombea wa CCM kukandamiza uhuru na haki ya wananchi kuwapigia kura viongozi wanaowapenda?
Je, kitendo cha Mh. Tundu Antiphas Lissu kukemea vitendo vya hovyo vinavyofanywa na polisi dhidi ya upinzani ni vya kupongezwa au kubezwa?
Je, IGP anapotoa amri kwa mgombea Urais wa Chadema kuripoti kituo cha polisi ambao wapo hawa haoni kuwa ni kuhatarisha usalama wake?
Wanacheza muziki hao? Angalia tena.Kwani kucheza musiki kwa askari ni kosa?
wewe usiemsaliti umeisaidia nini nchi? zaidi ya kuandika huu upuuzi wako kwa ajili ya buku 7?.Wapo sawa kabisa, Lissu alitakiwa awe jela ni msaliti wa Nchi
exactlly
Je, mgombea wa Urasi kupitia Chadema, Mh. Tundu Antiphas Lissu anayo haki yoyote ya kufokea ushirika huu wa kiharamu wa Jeshi la Polisi na CCM?
Je, ni kweli jeshi la polisi linatumiwa na wagombea wa CCM kukandamiza uhuru na haki ya wananchi kuwapigia kura viongozi wanaowapenda?
Je, kitendo cha Mh. Tundu Antiphas Lissu kukemea vitendo vya hovyo vinavyofanywa na polisi dhidi ya upinzani ni vya kupongezwa au kubezwa?
Je, IGP anapotoa amri kwa mgombea Urais wa Chadema kuripoti kituo cha polisi ambao wapo hawa haoni kuwa ni kuhatarisha usalama wake?
alafu akiambiwa atoe maelezo sahihi amesaliti vipi ataanza kujing'ata kucha ka demuwewe usiemsaliti umeisaidia nini nchi? zaidi ya kuandika huu upuuzi wako kwa ajili ya buku 7?.