basi ujue hawaji kwenu peke yenu.wanazurula maeneo mbali mbali yenye wajuaji zaidi.Sasa unaniuliza niliebeba mpaka mtondoo. Au unadhani natania mkuu? Maskani kwetu sisi wanakuja sana na hatuna izo kwasababu hatuna Mob la wasela mavi, kwanzia pusha mpaka wadau watu na maisha yao wanavuta kwa starehe tu, Kwani wamekamata mara moja Ilo pilar la khaki la Gogoni nani hajui maskani naongelea mvua imeninyeshea Mkuu.
Labda.basi ujue hawaji kwenu peke yenu.wanazurula maeneo mbali mbali yenye wajuaji zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nipo mbali kidogo,hawara wa wake zao.
Wewe hata huo u-private hustahili, maana unajibu bila hata kuelewa somo.Tatxo mnapenda kulaumu kila jambo na ambalo hulijui..
Tambua kwamba askar muda wote yupo kazn na utambue kwamba adui hana hodi wala taarifa hvyo kama askar unatakiwa uwe timamu kwa kila kitu.
Pia utambue kuwa silaha kwa askar ni kitendea kazi ambacho anatakiwa kuwa nacho muda wote na sio kwa matakwa yako ww usiyejua kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukisikia polisi wameua majambazi katika mpambano mara nyingi ni wamba polisi wamewageuka watu kwenye mchoro. Visa vya mpambano wa kweli kati ya polisi na majambazi ni vichache sana - kwa kuwa polisi huwa wanaogopa kwenda eneo la tukioHawatokei??
Ushawahi skia majambazi na polisi wamejibizana kwa risasinafu majambazi wakashinda?
Hao jamaa usiwachukulie poa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hustahili hata huo u koplo waliokupa. Yaani mwanamke aliyetoroka kambi ya Corona atajiandaa kwa silaha kupambana na polisi wakija kumchukua?We jamaa mbona unataka leta ubishi na hoja za kipuuzi aisee. Mtu katoroka karantini, je utajuaje huko alikokimbilia kama alikuwa na silaha au hakuwa nayo? Halafu suala la kukimbia tu sehemu ambayo ni salama kwa afya ya wengine wewe huoni kama hilo ni azimio ovu?
Kuhatarisha afya ya watu wengine huoni kuwa ni kosa? Kila mtu anajua tatizo lililopo na zaidi tunashauriwa kujitenga iwapo unahisi unaweza kuwa na maambukizi, halafu kwa ujeuri mtu anakaidi, sasa ulitaka jeshi la polisi limfate na makaratasi ya kuandikisha maelezo?
Kubeba silaha sio lazima kuzitumia na ukumbuke hiyo ni moja ya nyenzo yao ya kazi, kama vile wewe unavobeba kalamu na chaki kwenda kufundisha ☹☹
Wangekuwa professional wasingeenda na nguo za kiraia na masilaha yote hayo. Hao ni show off tu wametoka kuangalia movie za Rambo nao wanataka waonekane kama Rambo mitaani. Hawana lolote!Kweli wewe mtoto eti mazingira ya kawaida Tanzania hujui Kama Ile Ni kazi professional au unataka kusema hawajui kazi yao wewe ndio unajua
Sasa hapa umejibu nini kwa mada iliyopo? Umechanganya mambo utafikiri macho yaliamka kabla ya ubongo. Yaani wewe hata kuwa askari hustahili. Mwepesi kuongea, mzito kuelewa.Watanzania tuna matatizo sana.kujifanya wajuaji
Mtu mmoja anaweza kuambikza watu.800 ndani ya dakika 5 tu halafu.unasema.nchi haiko vitani
Hujui polisi wanafanya
vipi.operesheni.zao kwa hiyo kaa kimya tu
Kwa mfano imepigwa redio kwamba kuna mtu hatari ametoroka na.ana corona.yupo iringa sokoni,maana.yake gari yoyote ya patrol ilio karibu incharge .wake.ndio.atakua wa kwanza kufika,bila ya kujali wamevaa vichupi au wana mishale,watakama tu
Sijui ulitaka wazitupe kwanza bunduki,wavae sare ndipo,wakakamate huyo mueneza corona.halafu warudie bunduki?
Yoyote anaeneza corona.kwa makusudi ni wa kuuwa kama panya tu
Kwa hiyo kwa akili zako kwenda na nguo za kiraia na silaha unajua wamevunja taratibu na kanuni za jeshi la polisi Tanzania?Wangekuwa professional wasingeenda na nguo za kiraia na masilaha yote hayo. Hao ni show off tu wametoka kuangalia movie za Rambo nao wanataka waonekane kama Rambo mitaani. Hawana lolote!
Pole Mwananchi Mwenzngu kwa upeo mdogo juu ya jambo hili.Ni jambo ambalo linazidi kuenea Tanzania. Mara nyingi unakuta askari polisi wanatumwa kwenye tukio linalohitaji silaha (japo ni machache Tanzania) huku wakiwa wamesheheni silaha na bado wamevaa kiraia. Kwa nini wanafanya hivyo? Je inaruhusiwa kwa askari polisi aliye kwenye response unit kwenda akiwa na silaha kamili za kuingia filed lakini akawa amevaa kiraia?
Nimeangalia askari walioenda kumkamata huyu mama wa Iringa alietoroka kambi ya Corona, na karibu askari wote walioenda walikuwa wamesheheni silaha lakini wamevaa kiraia.
Halafu, hili tukio si la ujambazi. Kwa nini Polisi wapeleke kikosi chenye uzito wa silaha kiasi hiki kumkamata mwanamke mmoja aliekimbia kambi ya Corona? Hivi polisi wetu wanawashwa kubeba silaha na kuzitumia?
Nchi haiko vitani, unapeleka kikosi cha polisi kumkamata mwanamke mmoja aliyetoroka kambi ya Corona utafikiri unaenda kumkamata kiongozi wa Al-Qaeda, Unataka kumtisha nani na askari wako na silaha zao, wananchi wa Tanzania?
Unapeleka askari na silaha kwenye tukio dogo kama hili utafikiri huyo mwanamke ndio Corona yenyewe unaenda kuikamata! Mkitukanwa mnatumia nguvu badala ya busara mnalalamika. Hii display ya force kwenye tukio kama hili inawasaidia nini hasa? Polisi badilikeni. Mnatuaibisha.
Siku moja askari wako wenye silaha na wamevaa kiraia watakuja kuuwawa wakidhaniwa ni majambazi.
View attachment 1407862
View attachment 1407865
Sasa ngoja nikuambie kitu cha kufanya kwa askari wasomi.wewe mama acha visa.
umeshawahi shuhudia ukamataji wa polisi eneo lolote,ukafanikiwa bila pingamizi???
huku mtaani tuna usela mavi sana wa kujifanya wapigania haki tusizozijua,visa kibao vya polisi kudhulika ama kushindwa kutekeleza majukumu yao vimeripotiwa.na nyinyi humu ndio wa kwanza kubeza.
zile silaha sio kwa ajili ya mauzo zinapiga kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi nyie makoplo mna tatizo gani?Pole Mwananchi Mwenzngu kwa upeo mdogo juu ya jambo hili.
Hicho ni kikosi cha kupambana na Ujambazi na dharula zote hivyo muda wote wanatembea wakiwa kamili kupambana ndiyo maana hata ukisikia Mtoto katupwa jalalani watakuja hivyo hivyo na hizo ndizo Laptop zao. Hiyo miwatu inaitwa Ant Robbery ni moja ya vitengo ndani ya Idara ya Upelelezi na ndiyo maana wakifika eneo la tukio wanakusanya Mpaka vielelezo na kuhoji Mashaidi. Hao ndiyo watu wa Mwanzo wanaojenga kesi au kuibomoa. Kwa ufupi ni watu wenye Nguvu za kupambambana kibunduki na kiakili na Shule yao imeelemea kwenye Upelelezi .
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeambiwa kikosi cha dharula zote. Ndiyo maana mnasema polisi wanawaonea kumbe umbuumbu wenu. Ukiangalia magari ya Polisi yote yana silaha kubwa muda wote na hawaruhusiwi kutembea bila silaha. Sasa unataka wakakamate kwa kutumia fimbo? .Umeambiwa kikosi cha kupambambana na Ujambazi inamaana majambazi hawezi kujitokeza alipojificha Mgonjwa wa Corona?. Jiulize hiyo bunduki Kubwa inazuia nini Polisi kukamata.Maana hawajaitumia kumpiga Mgonjwa. Akili ndogo wewe unafikiri ujambazi unatoa taarifa kuwa leo tutapiga kwa Mgonjwa wa Corona?. Haya umejiuliza kwanini huyo mgonjwa amekimbia karantini?. Ujinga tu unakusumbua unajifanya unaujua ulinzi wa Nchi kumbe Mbumbumbu.Hivi nyie makoplo mna tatizo gani?
Hata kama hicho ndio kikosi cha kuwakamata Al-Queda sio tatizo. Tunachosema haikuwa akili kwa mtu kukitumia kwenda kumkamata mwanamke aliyetotoka kambi ya korona. Unaenda kama vile una respond tukio la ujambazi? Kwani hicho ndio kikosi pekee cha kufanya kazi za uaskari Iringa nzima? Mna ubongo wa aina gani hadi muweze kusoma jambo na kuelewa issue inayojadiliwa.
Unajua jinsi mnavyotoa pointi zenu humu ndio mentality ile ile ya kusema hili lijamaa linaitwa Maiko halafu kwenye fomu limeandika Mikaeli!
Sikiliza wewe private. Umeathirika na kuvuta ile harufu mbaya ya kwenye vituo vya polisi kwa muda mrefu.Physiological disturbing....
Ndo maana umeleta huu uzi coz ulipata usumbufu kisaikolojia na hukutamani kuwa miongoni mwa watakaosambaratishwa na ile siraha.
Ujumbe umefika...thats the objective!
Kwa hiyo hata dharura hujui maana yake tukueleweshe? Kwenda kumkamata huyu mama lilikuwa tukio la dharura katika operation za polisi?Umeambiwa kikosi cha dharula zote. Ndiyo maana mnasema polisi wanawaonea kumbe umbuumbu wenu. Ukiangalia magari ya Polisi yote yana silaha kubwa muda wote na hawaruhusiwi kutembea bila silaha. Sasa unataka wakakamate kwa kutumia fimbo? .Umeambiwa kikosi cha kupambambana na Ujambazi inamaana majambazi hawezi kujitokeza alipojificha Mgonjwa wa Corona?. Jiulize hiyo bunduki Kubwa inazuia nini Polisi kukamata.Maana hawajaitumia kumpiga Mgonjwa. Akili ndogo wewe unafikiri ujambazi unatoa taarifa kuwa leo tutapiga kwa Mgonjwa wa Corona?. Haya umejiuliza kwanini huyo mgonjwa amekimbia karantini?. Ujinga tu unakusumbua unajifanya unaujua ulinzi wa Nchi kumbe Mbumbumbu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unavyofikiri Corona siyo Dharula?Kwa hiyo hata dharura hujui maana yake tukueleweshe? Kwenda kumkamata huyu mama lilikuwa tukio la dharura katika operation za polisi?
I say nyie watu wa kuhurumiwa sana.