IGP Simon Sirro, kwanini askari polisi wanatumwa field na silaha nzito wamevaa kiraia? Kwanini unatuma askari na silaha nyingi tukio dogo la kiraia?

IGP Simon Sirro, kwanini askari polisi wanatumwa field na silaha nzito wamevaa kiraia? Kwanini unatuma askari na silaha nyingi tukio dogo la kiraia?

Tatxo mnapenda kulaumu kila jambo na ambalo hulijui..
Tambua kwamba askar muda wote yupo kazn na utambue kwamba adui hana hodi wala taarifa hvyo kama askar unatakiwa uwe timamu kwa kila kitu.

Pia utambue kuwa silaha kwa askar ni kitendea kazi ambacho anatakiwa kuwa nacho muda wote na sio kwa matakwa yako ww usiyejua kitu.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hapo silaha nzito iko wapi mkuu au umevimbilwa kande na kujifanya ueledi mwingi mbele Giza jaribu kuuficha ujinga wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo labda iwe hizo silaha ila sio nguo.
Hao askari wa idara ya upepelezi, ambao kimajukumu hawavai uniform.

Asiyejua maana usimwambie maana ndugu yangu.
Yeye anataka askari waende kumfata muhalifu wakiwa na viwembe nini? Au yeye alikuwa na taarifa za huyo mtu ya kwamba hana silaha? Halafu watu wengine mawazo yao ni ya kipumbavu sana yaani, mpaka inakera kuyasoma
 
Mtoto ni wewe. Mie natumia busara ya kawaida katika mazingira ya Tanzania. Sasa ukiniletea term zenu za polisi na mimi sio polisi unategemea nini? Na mimi nikikuletea terms za kazi yangu nitegemee utanielewa? Ndio maana mnaambiwa jaribu kutumia akili kidogo.Sihitaji kujua P.G.O sijui kuelewa upumbavu na ujinga unaojionyesha hapa. Hizo P.G.O mbona mkiitwa kwenye tukio la ujambazi mnazisahau?

We jamaa mbona unataka leta ubishi na hoja za kipuuzi aisee. Mtu katoroka karantini, je utajuaje huko alikokimbilia kama alikuwa na silaha au hakuwa nayo? Halafu suala la kukimbia tu sehemu ambayo ni salama kwa afya ya wengine wewe huoni kama hilo ni azimio ovu?
Kuhatarisha afya ya watu wengine huoni kuwa ni kosa? Kila mtu anajua tatizo lililopo na zaidi tunashauriwa kujitenga iwapo unahisi unaweza kuwa na maambukizi, halafu kwa ujeuri mtu anakaidi, sasa ulitaka jeshi la polisi limfate na makaratasi ya kuandikisha maelezo?
Kubeba silaha sio lazima kuzitumia na ukumbuke hiyo ni moja ya nyenzo yao ya kazi, kama vile wewe unavobeba kalamu na chaki kwenda kufundisha ☹️☹️
 
ULITAKA WAVAAJE?
AK MOJA NA REVOLVER NDIO WAITA SILAHA NZITO?
WAMEVUNJA SHERIA IPI KATIKA NCHI?
KAMA HUJUI KITU USIBWABWAJE WEWE MZEE
UNALALAMIKA OOH UKIPIGA SIMU KUWA NIMEVAMIWA WANAKUJIBU HAWANA GARI SASA KAMA HALIPO WAKUJIBU TUNAKUJA WAKAT HAWANA?
HAWANA MAFUTA SASA KAMA MAFUTA HAYAPO WATAKA WAKUDANGANYE KUWA TWAJA WAKAT HAWAJI?
NINA WASI WASI ALOKAMATWA NI MKEO NA HURUHUSIWI KUMUONA NDIO MAANA POVU
 
ULITAKA WAVAAJE?
AK MOJA NA REVOLVER NDIO WAITA SILAHA NZITO?
WAMEVUNJA SHERIA IPI KATIKA NCHI?
KAMA HUJUI KITU USIBWABWAJE WEWE MZEE
UNALALAMIKA OOH UKIPIGA SIMU KUWA NIMEVAMIWA WANAKUJIBU HAWANA GARI SASA KAMA HALIPO WAKUJIBU TUNAKUJA WAKAT HAWANA?
HAWANA MAFUTA SASA KAMA MAFUTA HAYAPO WATAKA WAKUDANGANYE KUWA TWAJA WAKAT HAWAJI?
NINA WASI WASI ALOKAMATWA NI MKEO NA HURUHUSIWI KUMUONA NDIO MAANA POVU
ko gari na mafuta huwa hayapo tu kwenye matukio ya ujambazi ila kukamata wazururaji na mwanamke huyu gari zina mafuta.

nyie maafande ni wapuuzi sana.
 
Ni jambo ambalo linazidi kuenea Tanzania. Mara nyingi unakuta askari polisi wanatumwa kwenye tukio linalohitaji silaha (japo ni machache Tanzania) huku wakiwa wamesheheni silaha na bado wamevaa kiraia. Kwa nini wanafanya hivyo? Je inaruhusiwa kwa askari polisi aliye kwenye response unit kwenda akiwa na silaha kamili za kuingia filed lakini akawa amevaa kiraia?

Nimeangalia askari walioenda kumkamata huyu mama wa Iringa alietoroka kambi ya Corona, na karibu askari wote walioenda walikuwa wamesheheni silaha lakini wamevaa kiraia.

Halafu, hili tukio si la ujambazi. Kwa nini Polisi wapeleke kikosi chenye uzito wa silaha kiasi hiki kumkamata mwanamke mmoja aliekimbia kambi ya Corona? Hivi polisi wetu wanawashwa kubeba silaha na kuzitumia?

Nchi haiko vitani, unapeleka kikosi cha polisi kumkamata mwanamke mmoja aliyetoroka kambi ya Corona utafikiri unaenda kumkamata kiongozi wa Al-Qaeda, Unataka kumtisha nani na askari wako na silaha zao, wananchi wa Tanzania?

Unapeleka askari na silaha kwenye tukio dogo kama hili utafikiri huyo mwanamke ndio Corona yenyewe unaenda kuikamata! Mkitukanwa mnatumia nguvu badala ya busara mnalalamika. Hii display ya force kwenye tukio kama hili inawasaidia nini hasa? Polisi badilikeni. Mnatuaibisha.

Siku moja askari wako wenye silaha na wamevaa kiraia watakuja kuuwawa wakidhaniwa ni majambazi.

View attachment 1407862

View attachment 1407865View attachment 1407865View attachment 1407862
Kubeba silaha ni sawa kwa askari, ila at least wangeamrishwa kubeba sidearm in concealed carry.

Hayo mabomu na ma-smg ni kuuza sura tu. Wakipigiwa simu kurespond against majambazi wanaogopa ila kufanya ubabe dhidi ya soft targets wanaona ndo upolisi wenyewe. Very despicable.

Sent using Soviet T-72 Main Battle Tank
 
Acha povu bwanamdogo PGO ni Police General Orders. Hivyo ulikuja na hamaki kwa kulaumu ufavaaji huo, kana kwamba kwenye PGO wamevunja kifungu.
Ndio kusema nakutaka kukufunda kabla hujalalamika suala ambalo hulifahamu jitahidi ufahamu nalo kabla ya kutoa lalamiko.

Lalamiko ni hitimisho kwamba walikosea kwa mujibu wako, by theway nisamehe hapo juu kama nilitumia lugha mbaya.
Sasa mbona polisi wakiitwa kurespond tukio la ujambazi hawatokei mpaka majambazi waondoke?

Sent using Soviet T-72 Main Battle Tank
 
Umesha Shiba ugali wa shemeji una cheua maharage yako ukaona na wewe ufungue uzi
 
ULITAKA WAVAAJE?
AK MOJA NA REVOLVER NDIO WAITA SILAHA NZITO?
WAMEVUNJA SHERIA IPI KATIKA NCHI?
KAMA HUJUI KITU USIBWABWAJE WEWE MZEE
UNALALAMIKA OOH UKIPIGA SIMU KUWA NIMEVAMIWA WANAKUJIBU HAWANA GARI SASA KAMA HALIPO WAKUJIBU TUNAKUJA WAKAT HAWANA?
HAWANA MAFUTA SASA KAMA MAFUTA HAYAPO WATAKA WAKUDANGANYE KUWA TWAJA WAKAT HAWAJI?
NINA WASI WASI ALOKAMATWA NI MKEO NA HURUHUSIWI KUMUONA NDIO MAANA POVU
Poti tuliza jazba povu lote la nini weekend hii?

Sijawahi kuona polisi wakirespond actively kwa majambazi. Mkipigiwa simu mnaogopa kuja kupambana na wanaume wenzenu wenye silaha ila mkiambiwa ni upinzani chadema ghafla magari yote ya polisi yana mafuta[emoji1787][emoji1787]

Sent using Soviet T-72 Main Battle Tank
 
Back
Top Bottom