Mocumentary
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 857
- 2,241
“Ukifanya uhalifu Tanzania na damu ya Mtanzania haiwezi kwenda hivi, waliofanya mauaji wengine wamerudi Msumbiji na wengine tumewakamta.”
Ok, nilijua labda nikijiji kingineKibiti mkuu
Nchi sio inchi.Kama mzalendo, siko tayari kuona inchi yangu TANZANIA ikiingia kwenye machafuko.
Niko tayari kuisadia inchi yangu kuwasambaratisha hao maharamia.
PAMOJA TUTA WASHINDA HAO MAGAIDI.
Walawitiwe ikiwezekana, hadi wataje aliyewatuma naniIGP Simon Sirro amesema magaidi "wapatao 300 kutoka Msumbiji, walivamia Kijiji chetu cha Kitaya- Mtwara na kufanya uhalifu mbalimbakli ikiwemo mauaji.
Baadhi wamekimbia na wengine tumewakamata tunaendelea kuwahoji ili kuupata mtandao wote ulioanzia Kibiti na Rufiji.
Chanzo: MwanahalisiDigital
Thank you.Nchi sio inchi.
Inchi (inch) ni kipimo cha urefu.
Ukuta upi?Tuliaminishwa jwtz wameenda kuweka ukuta, imekuaje?
Na nani wakati ushoga unapigwa vita?Walawitiwe ikiwezekana, hadi wataje aliyewatuma nani
Watafutwe hata wale akina Mudi wa kukodi wale, wanafokoa hadi mtu anakaribia kufa ndio anaachwa na kuhojiwa tena, asipotoa ushirikiano Mudi anaitwa tena kuongeza kibanoNa nani wakati ushoga unapigwa vita?