IGP Simon Sirro: Magaidi wapatao 300 kutoka Msumbiji walivamia Kijiji cha Kitaya mkoani Mtwara

IGP Simon Sirro: Magaidi wapatao 300 kutoka Msumbiji walivamia Kijiji cha Kitaya mkoani Mtwara

Kuna watu wengine wanawalaumu wanajeshi utazani wanajeshi ni malaika,kama ww unavyo create small errors kwenye shughuli yako ndipo hivyo nao sometimes wanafanya,ila wakikosea wanajeshi tabu.

Naona kuna wengine wanaingiza siasa, Israel, USA wana mifumo yao bora ya ulinzi, vifaa vyao vya kisasa, wanajeshi walio iva lkn bado wana shambuliwa, sembuse sisi kudeal na magaidi si kazi ndogo.

Mnkaa hapo mshasikiliza wanasiasa wenu, huku mmeshiba dona lenu mnaanza kuponda wanajeshi.
 
Kuna watu wengine wanawalaumu wanajeshi utazani wanajeshi ni malaika,kama ww unavyo create small errors kwenye shughuli yako ndipo hivyo nao sometimes wanafanya,ila wakikosea wanajeshi tabu.

Naona kuna wengine wanaingiza siasa,Israel,USA wana mifumo yao bora ya ulinzi ,vifaa vyao vya kisasa,wanajeshi walio iva lkn bado wana shambuliwa,sembuse sisi kudeal na magaidi si kazi ndogo.

Mnkaa hapo mshasikiliza wanasiasa wenu,huku mmeshiba dona lenu mnaanza kuponda wanajeshi.
Kwahiyo na wewe kwa akili zako mbili unaamini hiyo idadi iliyotajwa ni sawa?
 
I don't believe! Dunia imejaa hadaa kujua upi ni ukweli hasa katika kipindi hiki cha uchaguzi ni ngumu.kunaweza kutengenezwa Matukio kwa faida ya kisiasa.

Hivi kweli magaidi wavamie nchi-taarifa itolewe na sirro huku tuna Rais na Mkuu wa majeshi ambao ndio wapo responsible!, only fools wanaweza amini hiki.
 
Hivi hiyo idadi ya magaidi 300 ni kama platoon ngapi? Basi kwa idadi hiyo ya magaidi tena ikiwa ni kama walikuja kutesti zali tu tujihesabu kwamba hatuko salama kabisa. Kuna makubwa zaidi yanaweza kuwa yanakuja.
Platoon moja ina section/squad tatu zenye wapiganaji 27. Platoon mbili au tatu kulingana formation ya kupiganisha vita, inatengeneza Combania/Company moja ambayo ina wapiganaji wapatao 81. Kwa idadi hiyo inayotajwa ina maana Combania/Company zaidi ya tatu (81x3.70) za magaidi zilivuka mpaka. Hii ni hatari kwa usalama wa nchi yetu.
 
Wale jamaa hawajakamatwa hata mmoja, kilichofanyika baada ya tukio askari mtwara walikuwa wanakamata watu ovyo kwa kuhisi.
Wahanga wanasema walikuja kama 80 walivyomaliza ishu zao wakasepa wote, hawa polisi wa bongo kuwaamini inahitaji PhD
 
Tumeupaka mpira Rangi vya kutosha, tukikataa kukubaliana na Ukweli.
 
Back
Top Bottom