IGP Simon Sirro: Magaidi wapatao 300 kutoka Msumbiji walivamia Kijiji cha Kitaya mkoani Mtwara

IGP Simon Sirro: Magaidi wapatao 300 kutoka Msumbiji walivamia Kijiji cha Kitaya mkoani Mtwara

Hiyo njia ya kuingia kwa siri ni ngumu sana maana magaidi yamejijenga. Itahitaji muwe na uwezo sana kuingia kule bila ruhusa na kwa siri na muweze kuwasambaratisha magaidi.

JWTZ kuingia kule kwa siri na Kuwafanyia hujuma kubwa kubwa magaidi mpaka yatepetepe si kazi ndogo. Jwtz watashtukiwa kirahisi sana
Kuna kuingia kwa siri na kuingia bila tangazo ni vitu viwili tofauti.
 
Kuna kuingia kwa siri na kuingia bila tangazo ni vitu viwili tofauti.

Kuna kuingia kwa siri na kuingia bila tangazo ni vitu viwili tofauti.
Kuingia kwa siri kukimaliza kikundi kilichojijenga kiasi hicho ni ngumu zaidi. Zaid zaid mtakidhoofisha kwa kuua viongozi wake labda na ku-sabotage silaha zake labda. Na hayo yatategemeana na jinsi hali halisi ilivyo huko
 
Back
Top Bottom