IGP Simon Sirro: Magaidi wapatao 300 kutoka Msumbiji walivamia Kijiji cha Kitaya mkoani Mtwara

IGP Simon Sirro: Magaidi wapatao 300 kutoka Msumbiji walivamia Kijiji cha Kitaya mkoani Mtwara

Hivi hiyo idadi ya magaidi 300 ni kama platoon ngapi? Basi kwa idadi hiyo ya magaidi tena ikiwa ni kama walikuja kutesti zali tu tujihesabu kwamba hatuko salama kabisa. Kuna makubwa zaidi yanaweza kuwa yanakuja.
Mkuu wananchi tuna imani na jeshi letu.
Wengi hawajahadithiwa kile magaidi hao walichokipata kule MKIRU.(Mkuranga, Kibiti, Rufiji)
Vijana waliwapiga makonzi ya kutosha hao magaidi.
Sasa wamechokoza tutasikia mengi.
 
CCM WAMECHUKUA HELICOPER ZA TPDF KWENYE HANGA ZAKE ZA NGERENGERE NA DAR KUZIBANDIKA STICKER ZA CCM

WAKATI nchi inakabiliwa na vita na moto TPDF imeshindwa kutoa vyombo hivyo kwenda kukagua mlima au kwenda mtwara kwa kiwango cha kutosha huku pia ndege zake nyingi zikiwa grounded kwa kukosa service
na kufanya tanapa waingie gharama kubwa kukodi helicopters

helicopter tatu zina sticker za CCM na nyingine nne kubwa zinakuwa naye kumlinda kama rais wa nchi ... jumla 7

hiii ni kati ya hizo

View attachment 1609147
Acha uongo.
Hizo chopa ni za kukodi, na registration yake si unsona hapo?
Au kaujinga fulani kamekutawala.
Hizo chopa ni aina ya Bell na jeshini sidhani kama zipo hizi maana ni ndogo sana.
 
Mkuu wananchi tuna imani na jeshi letu.
Wengi hawajahadithiwa kile magaidi hao walichokipata kule MKIRU.(Mkuranga, Kibiti, Rufiji)
Vijana waliwapiga makonzi ya kutosha hao magaidi.
Sasa wamechokoza tutasikia mengi.
Kama sikosei ni wazenji waliokuwa wanajipoza maumuvu kwa kusema "....hata kama wametufunga magoli lakini chenga tumewala yahe". Tumeshaingiliwa, tusimame na kuchukua hatua.
 
Nina uhakika kuwa wako huko in hot pusuit.
Nduli hatukumuachia mpakani.
Yule ilikuwa ni vita baina ya nchi na nchi, ili huku msumbiji hatupigani na nchi kwaio ruhusa kutoka kwao lazima vyenginevyo watakuwa na haki ya kutushambulia kwa madai kuwa tumevamia ardhi yao
 
Hata hivyo wamekamatwa kadhaa wakiwemo Watanzania na wageni, jameni wahojiwe na kuvurugwa hadi watokomezwe wote, nilitazama hizo video zilizozagaa kwenye mitandaoni walivyokua wanachinja watu kama kuku nusra machozi yanitoke, halafu hili kundi huwa siwaelewi, maana wakivamia kijijini wanaua bila kubagua, sio hata kama Alshabaab ambao kidogo huchagua na kuchambua nani muislamu na nani kafir ambaye ndiye wanamchinjia mbali, hawa wanachinja tu chochote na yeyote, hawaeleweki ugomvi wao unahusu nini, wapo kama wale boko haram ambao pia huwa siwaelewi.

Jameni magaidi 300, kha! Hapo balaa sana, muwashukie huko huko kwa nguvu zote......

Hivi yule bibi FaizaFoxy alihamia wapi maana mada kama hizi hakua anachelewa kuja kushabikia haya maovu....
====================

The Inspector general of Police Simon Sirro has confirmed that some 300 militants from Mozambique attacked Kitaya village last week killing several people and destroying property.
Kitaya is on the banks of the River Ruvuma that separates Tanzania and Mozambique.
Speaking to Azam TV, the IGP said Police have since arrested both locals and foreigners in connection with the terrorist incident.
According to the police chief, the attackers have since retreated to Mozambique but vowed to bring the perpetrators of the attack to book.
This was the first such raid since Islamic State-linked fighters began an insurgency in Mozambique three years ago.
Sirro said some of the gunmen involved in last week’s attack were Tanzanians who authorities believe were behind a string of murders in the coastal town of Kibiti, Rufiji in 2017.
Tanzania confirms terror attacks at border village of Kitaya
Hao wote hawakuwa wtz
 
Poleni majirani, hata kama BAADHI yenu(wale wale ambao huwa nasikia wakiitwa masisiemu) mlitucheka sana na kukenua kila mara mliposikia kwamba magaidi yamesababisha maafa nchini Kenya. Ila mna kibarua kigumu na sio kwasababu ya ugaidi tu. Naona serikali yenu ina uwezo wa kuwahesabu magaidi, 1,2,3 hadi 300. Tena wakati wa shambulizi, lakini waliouwawa hawatajwi na hawazumzi pia kuhusu idadi ya waliojeruhiwa na waliotekwa. Media za Tz nazo zipo zipo tu, uzalendo wa kuwapa taarifa na kufahamisha wananchi wenzao kuhusu suala nyeti kama hili umewapiga chenga kweli kweli. Hadi media za Mozambique na za kimataifa ndio zinawajibika zaidi yao, bure kabisa. Uwazi wa serikali na vitengo vya usalama kwenye kutoa taarifa kamili kwa wakati ufaao ni kipengele muhimu sana kwenye vita dhidi ya ugaidi. Alafu mbaya zaidi ni kwamba muda sio mrefu huu uzi utafutwa na kutupiliwa mbali kama kawa. Jf ya hapo awali ambayo iliitwa 'Swahili Wikileaks' sio hii ya sasa, very sad state of affairs.
 
Sisi style yetu ni ya kumkimbiza mwizi kimya kimya.
😛😛😛
Ukubwa wa tatizo unajulikana na wanaosababisha wanajulikana.
 
Kuna watu wengine wanawalaumu wanajeshi utazani wanajeshi ni malaika,kama ww unavyo create small errors kwenye shughuli yako ndipo hivyo nao sometimes wanafanya,ila wakikosea wanajeshi tabu.

Naona kuna wengine wanaingiza siasa, Israel, USA wana mifumo yao bora ya ulinzi, vifaa vyao vya kisasa, wanajeshi walio iva lkn bado wana shambuliwa, sembuse sisi kudeal na magaidi si kazi ndogo.

Mnkaa hapo mshasikiliza wanasiasa wenu, huku mmeshiba dona lenu mnaanza kuponda wanajeshi.
USA pamoja na ukubwa wao na tekinologia ila 11/9 walipigwa nq magaidi mpaka Pentagon ilipigwa ije iwe Tanzania
 
Magaidi walijaribu kuvamia Lugalo base ; usalama umeruhusu hawa watu wamepenya sana ; tuko nao mitaani sasa ...
 
Westgate tu magaidi hawakuzidi hata 10 lakini mziki wake tuliuona [emoji16][emoji16] hawa wanasema magaidi 300 aisee [emoji119]
Shida ya kua na policeccm wao ni kuongea wakiwa dar,si akaongelee akiwa kwenye uwanja wa mapambano
 
Back
Top Bottom