Hata Mimi Kaka nawashangaa Hawa polisi wa Tanzania. Mwenyekiti wa CHAUMA, CUF, TLP, UDP, DP, SAUTI, wakiongea Jambo intelejensia ya polisi haihusiki. Wakora wakipanga njama kuvamia vijiji na silaha za Moto na kuua na kuteka watu intelejensia iko usingizi wa pono. Sasa Mbowe apaki gari Manzese halafu anunue maziwa au aagize kongoro au bomu. Intelejensia yote itakua na habari. Na Hilo bomu litapigwa picha na kurushwa kila kituo.Magaidi 300 mbona wengi sana, kwani si muda mrefu habari kuwa huko jirani zetu si sàlama, kwanini wasiweke ulinzi? Ila wakisikia kuna maandamano utasikia tulijajua kutakuwa na vurugu watu wenyewe hata nyembe hawana lakini nguvu kuuuuubwa kuwazuia
Mambo mengine aibu siku hizi simu zipo kila mahala, kweli hivi hivi watu mia 300???????Hata Mimi Kaka nawashangaa Hawa polisi wa Tanzania. Mwenyekiti wa CHAUMA, CUF, TLP, UDP, DP, SAUTI, wakiongea Jambo intelejensia ya polisi haihusiki. Wakora wakipanga njama kuvamia vijiji na silaha za Moto na kuua na kuteka watu intelejensia iko usingizi wa pono. Sasa Mbowe apaki gari Manzese halafu anunue maziwa au aagize kongoro au bomu. Intelejensia yote itakua na habari. Na Hilo bomu litapigwa picha na kurushwa kila kituo.
Intelejensia gani hii inafuatilia chadema tu?
Bila shaka nami niliwaza ndo njia hihii wamesepa nayo tena fasta hadi ktik ngome yao, kwahiyo iongezwe na doria baharini hao papasi dawa yao inachemmkakwa mujibu wa taarifa magaidi walipita njia za bahari/maji na walipoondoka walichukua simu zote kijijini
We ni pumba wanatumiwa na maitiza wazee wako ee, kwani hivi unajua wale hamna watanzania muleOh ok sasa nimekupata Mkuu inawezekana hao jamaan wanatumiwa ili kuleta distraction ili watu wasiwe na attention na uchaguzi
INSPEKTA Jenerali wa Polisi (IGP) nchini Tanzania, Simon Sirro amesema, magaidi zaidi ya 300 kutoka Msumbiji walivamia Kijiji cha Kitaya Mkoa wa Mtwara na kufanya uhalifu mbalimbali ikiwemo mauaji.
“Magaidi wapatao 300 kutoka Msumbiji, walivamia Kijiji chetu cha Kitaya na kufanya uhalifu mbalimbali ikiwemo mauaji,” amesema IGP Sirro aliyekuwa anazungumzia hali ya usalama kuelekea Uchaguzi Mkuu tarehe 28 Oktoba 2020.
IGP Sirro amesema, “tumefuatilia baadhi ya watu, wamekamatwa na wengine ni wa kwetu hapa tumewakamata tunaendelea kuwahoji.”
IGP Sirro amesema, “tunaendelea kupambana nao ili kuupata mtandao wote ulioanzia kule Kibiti na Rufiji ambao tulipambana nao wakaona wameshindwa.”
Mkuu huyo wa jeshi amesema, watahakikisha wanakamatwa iwe wanakwenda Msumbiji, Kenya au kwingineko ili “mwisho wa siku haki itandendeka na watakamatwa na kupelekwa mahakamani.”
Soma pia > Tetesi: - Kuna jambo baya linaendelea Mtwara...
Si nilisikia wanajeshi wetu wako mipakani kulinda mipaka?INSPEKTA Jenerali wa Polisi (IGP) nchini Tanzania, Simon Sirro amesema, magaidi zaidi ya 300 kutoka Msumbiji walivamia Kijiji cha Kitaya Mkoa wa Mtwara na kufanya uhalifu mbalimbali ikiwemo mauaji.
“Magaidi wapatao 300 kutoka Msumbiji, walivamia Kijiji chetu cha Kitaya na kufanya uhalifu mbalimbali ikiwemo mauaji,” amesema IGP Sirro aliyekuwa anazungumzia hali ya usalama kuelekea Uchaguzi Mkuu tarehe 28 Oktoba 2020.
IGP Sirro amesema, “tumefuatilia baadhi ya watu, wamekamatwa na wengine ni wa kwetu hapa tumewakamata tunaendelea kuwahoji.”
IGP Sirro amesema, “tunaendelea kupambana nao ili kuupata mtandao wote ulioanzia kule Kibiti na Rufiji ambao tulipambana nao wakaona wameshindwa.”
Mkuu huyo wa jeshi amesema, watahakikisha wanakamatwa iwe wanakwenda Msumbiji, Kenya au kwingineko ili “mwisho wa siku haki itandendeka na watakamatwa na kupelekwa mahakamani.”
Soma pia > Tetesi: - Kuna jambo baya linaendelea Mtwara...
Atakeye bishia hyo idadi ndiyo gaidi maana anajua fika wakati wanafanya tukio la uvamizi walikuwa wangapi.
Lakini upande wa pili wa shilingi watu 300 wanatoka upande mmoja wa nchi na kuingia upande mwingine wa nchi na kufanya uharifu basi ni wazi mipakani hakuna ulinzi wa kutosha kama tunavyoamini.
Kwahiyo watu watakaa chini wanasubiri kushambuliwa na watu nchi jirani kisa unasubiri ruhusa? Ni kazi ya vyombo vya usalama kutafuta njia ya kuingia Msumbiji bila kuwa na repercussion kubwa kwa Tanzania na itapatikana tu.Pamoja na kwamba vita ni gharama kubwa naamini Tanzania inatamani ikawavuruge hao magaidi kulekule Msumbiji. Tatizo ni kuwa huingiizi jeshi lako nchi ingine kiholelaholela tu. Inabidi ukubaliwe na nchi husika. Na hiyo ina mambo yake kwa nchi inayokubali jeshi la nchi ingine liingie kwake japo faida ni kubwa kusaidiwa.
Tatzo ni pale Msumbiji unaweza kukuta kuna wanajeshi na wakubwa serikalini wengi tu hawataki lile tatizo liishe.... Sasa unategemea nini hapo. Au Wanaweza kupendelea majeshi ya kukodi yapambane na magaidi ili wayalipe na wapate kamisheni na nk. JWTZ wakiingia kichwakichwa wanaweza kuuzwa.
Pasipo na rushwa na penye jeshi imara na serikali imara magaidi hayatambi. Hebu angalia yanayotokea Nigeria na boko haram yao
Kwa hiyo aliyetoa hii idadi alikuwa sehemu ya magaidi hao au?Atakeye bishia hyo idadi ndiyo gaidi maana anajua fika wakati wanafanya tukio la uvamizi walikuwa wangapi.
Lakini upande wa pili wa shilingi watu 300 wanatoka upande mmoja wa nchi na kuingia upande mwingine wa nchi na kufanya uharifu basi ni wazi mipakani hakuna ulinzi wa kutosha kama tunavyoamini.
Unadhani ni rahisi namna hiyo mazee? Wale sio jeshi kwamba utawatambua kwa sare zao, wanavaa kiraia na wanajichanganya na raia wengine. Tunahitaji mikakati kujarab ya kupambana nao. Naamini majeshi yetu yamejipanga kwa hilo.Aisee hao ninkukong'ota tuu.
Kazi yao iko Zanzibar kwenye uchaguziJWTZ kazi yao nini mpaka mipaka ya nchi inavamiwa?
Ndio tatizo hilo, lakini itabidi serikali itumie ukali kwenye hili suala. Wakizingua msumbiji tuwahesabu kuwa na wao wanachangia katika ukuwaji wa hili kundi!Kuingia msumbiji n swala ambalo lazima msumbiji waridhie na lazma watatubana katika ukubwa wa kikos
Hii sababu haina mashiko! Jeshi limejisahau sana, nchi yote inapaswa kulindwa. Na majeshi yote yanapaswa kwa wingi wao wajitawanye na kuweka vituo au kambi za kudumu maeneo mbalimbali kutokana na utaalamu wao na mahitaji ya kiulinzi ya maeneo, na litokeapo tukio kama hili iwe rahisi kwa wao kulifikia na kutoa ulinzi.mipaka ni kwa uvamizi ila sidhani n ka kulinda kila kipenyo maana kuko wazi na huwezi juwa wapi ni wapi na ikumbukwe ni kms nyingi
Hiyo njia ya kuingia kwa siri ni ngumu sana maana magaidi yamejijenga. Itahitaji muwe na uwezo sana kuingia kule bila ruhusa na kwa siri na muweze kuwasambaratisha magaidi.Kwahiyo watu watakaa chini wanasubiri kushambuliwa na watu nchi jirani kisa unasubiri ruhusa? Ni kazi ya vyombo vya usalama kutafuta njia ya kuingia Msumbiji bila kuwa na repercussion kubwa kwa Tanzania na itapatikana tu.
Kuingia msumbiji n swala ambalo lazima msumbiji waridhie na lazma watatubana katika ukubwa wa kikos
Kweli kabisa mkuu.Hivi hiyo idadi ya magaidi 300 ni kama platoon ngapi? Basi kwa idadi hiyo ya magaidi tena ikiwa ni kama walikuja kutesti zali tu tujihesabu kwamba hatuko salama kabisa. Kuna makubwa zaidi yanaweza kuwa yanakuja.