Noel wa ruben
JF-Expert Member
- Oct 11, 2020
- 364
- 517
Dah! Mungu yu nas daima,watashindana nasi lakini hawatoshinda,tutaendelea kua imara Kama Ile mierezi ya lebanoni.
Tumia akili yako kidogoKitibi ndiyo wapi mkuu
Kuna kuwahiwa mzee.Tuliaminishwa JWTZ wameenda kuweka ukuta, imekuaje?
Uwakame uwapeleke wa kamanda!!!? Malizana nao huko huko sisi hatuna hela ya kulisha magaidi magerezani[emoji3525]INSPEKTA Jenerali wa Polisi (IGP) nchini Tanzania, Simon Sirro amesema, magaidi zaidi ya 300 kutoka Msumbiji walivamia Kijiji cha Kitaya Mkoa wa Mtwara na kufanya uhalifu mbalimbali ikiwemo mauaji.
“Magaidi wapatao 300 kutoka Msumbiji, walivamia Kijiji chetu cha Kitaya na kufanya uhalifu mbalimbali ikiwemo mauaji,” amesema IGP Sirro aliyekuwa anazungumzia hali ya usalama kuelekea Uchaguzi Mkuu tarehe 28 Oktoba 2020.
IGP Sirro amesema, “tumefuatilia baadhi ya watu, wamekamatwa na wengine ni wa kwetu hapa tumewakamata tunaendelea kuwahoji.”
IGP Sirro amesema, “tunaendelea kupambana nao ili kuupata mtandao wote ulioanzia kule Kibiti na Rufiji ambao tulipambana nao wakaona wameshindwa.”
Mkuu huyo wa jeshi amesema, watahakikisha wanakamatwa iwe wanakwenda Msumbiji, Kenya au kwingineko ili “mwisho wa siku haki itandendeka na watakamatwa na kupelekwa mahakamani.”
Soma pia > Tetesi: - Kuna jambo baya linaendelea Mtwara...
Kila siku tunaaminiahwa kuna intelijensia ya polisi imebaini kutatokea tukio la kiuhalifu. Sasa lazima watu wajiulize intelijensia iko bize na nini kipindi hiki mpaka wasibaini hayo.Kuna watu wengine wanawalaumu wanajeshi utazani wanajeshi ni malaika,kama ww unavyo create small errors kwenye shughuli yako ndipo hivyo nao sometimes wanafanya,ila wakikosea wanajeshi tabu.
Naona kuna wengine wanaingiza siasa, Israel, USA wana mifumo yao bora ya ulinzi, vifaa vyao vya kisasa, wanajeshi walio iva lkn bado wana shambuliwa, sembuse sisi kudeal na magaidi si kazi ndogo.
Mnkaa hapo mshasikiliza wanasiasa wenu, huku mmeshiba dona lenu mnaanza kuponda wanajeshi.
Ulinzi upo. Tatizo JWTZ wanatumia vifaru vya kichina ndio maana wameishia kukatwa vichwa.Atakeye bishia hyo idadi ndiyo gaidi maana anajua fika wakati wanafanya tukio la uvamizi walikuwa wangapi.
Lakini upande wa pili wa shilingi watu 300 wanatoka upande mmoja wa nchi na kuingia upande mwingine wa nchi na kufanya uharifu basi ni wazi mipakani hakuna ulinzi wa kutosha kama tunavyoamini.
Mabeyo yupo busy na CHADEMA.JWTZ kazi yao nini mpaka mipaka ya nchi inavamiwa?
[emoji1787]thou art hilarious.Normal people:Mom i'm hungry
Shakespeare:Let it be known to the birth giver that thee stomach consists of emptiness
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwani hilo sio jukumu lao?Kwamba polisi siku hizi wanalinda mipaka na kupambana na magaidi?
Hii habari ipo mitandaoñi siku nyingi ila vyombo vya habari viliogopa kuitangaza, hata hapa jf ilikuwa kuipandisha uzi kuhusu habari hiuo unondolewa haraka sana. Nakumbuka zamani wakati jf ikiwa home of great thinkers where we dared to talk openlyKitibi ndiyo wapi mkuu
Hii roho ya kulawitiana na kufirana ishindwe kwa jina la Yesu! Unaweza kudhani unamkomoa mhalifu kwa njia hiyo,kumbe ndo unapandikiza kwa kasi Usodoma na Ugomora katika jamii. Mwenyezi Mungu hapendi huu upuuzi.Walawitiwe ikiwezekana, hadi wataje aliyewatuma nani
Intelejensia wanakusanya ili ku-predict uwezekano wa kitu fulani kutokea,hai guarantee kwamba intel uliyokuwa naye ni perfect 100%.Israel wana Iron Dome kwa ajili ya kulinda anga ,tena ni moja ya mifumo bora ya anga duniani ,wazuri kwenye kukusanya na kuchakata taarifa za kiintelejensia lkn still Hizbolah wanafanikiwa kurusha marocket.Kila siku tunaaminiahwa kuna intelijensia ya polisi imebaini kutatokea tukio la kiuhalifu. Sasa lazima watu wajiulize intelijensia iko bize na nini kipindi hiki mpaka wasibaini hayo.
Hao magaidi dawa yao ni kuliteka eneo lao la kujidai huko calbo de ligado na kuwafanyia ulawiti kama ule wa Kibiti maana jeshi la msumbiji inaonekana limegawanyika
Kiufupi hawa magaidi hawatakiwi kuruhusiwa kuusogelea mto ruvuma na mpaka kwa ujumla
njia za panya huwa hazina ulinzi na ndo maana hata wale a mipakani tunajuwa wapi pakupitia kwenda nchi jirani hivyo hivyo na nchi jirani inajua wapi pakupitia kuja tanzania, mipaka ya nchi usidhani ka imejengewa ukuta na kuacha mlango mkubwa wakupitia mkuuImekaa kisomji somji.
300 wapite wapi na nyie mlikuwa wapi, bize na cdm au na Bwege?