Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,106
- 28,062
Hapa natumia zako na za bibi yako auTumia akili yako kidogo
Hapa natumia zako na za bibi yako auTumia akili yako kidogo
yani hao magaidi wangekuwa ndani ya nchi yetu naamini tungewahesabia siku tuu ila kwakuwa wapo nje inatubidi kuwa macho na vipenyo vya mipakani na ulinzi wa pamoja kuweza kujua mienendo yao kitu ambacho nikigumu kiasi flani.Nahisi hapa kuna mtihani kwa Tanzania.
Kuwafyeka Kibiti/ Mkuranga sio sawa na kuwafyeka wakiwa nje ya mpaka wa nchi yako. Kuwafyeka huko sijui Capo Delado inabidi upate ruhusa ya nchi husika lasivyo kesi ita kuhusu ya kuingiza jeshi lako ndani ya mipaka ya nchi ingine. Wazungu watakukomoa. Na watu wa Msumbiji wataaminishwa kirahisi kuwa wew ndo mbaya na watakupinga. Kwahiyo utapambana na magaidi halafu utapambana na raia na huenda jeshi la msumbiji pia.
Naona ni mtihani kwa Tanzania kwasababu sioni msumbiji ikiwadhibiti hawa jamaa katika miaka michache ijayo. Naona kama kutabaki kulivyo na vurugu huko. Serikali dhaifu, rushwa ndo matokeo yake. Mgawanyiko serikalini na jeshini. Kwahyo hata jitihada za pamoja kati ya nchi hizi mbili itakuwa ngumu kufanikiwa. Hujuma zitakuwepo. Kwanza kutakuwa na watakaopinga majeshi ya nchi hizi mbili kushirikiana. Matokeo yake ni kuzidi kuimarika na kutanuka kwa shughuli za magaidi ukanda wote ule.
Majeshi ya nchi hizi mbili yakishirikiana kwa dhati magaidi hawana chao. Lakini kutakuwa na vikwazo vinawekwa na wanaolinda magaidi.
Kama hivyo sioni umuhimu wa kuweka jeshi huko mipakani,na wanajeshi wakome kujinasibu kwamba wanalinda nchi,kumbe hatupo salama.Huu ni udhaifu mkubwa ktk kazi ya ulinzi,wasipo weka ulinzi ktk hivyo vipenyo watu wata......njia za panya huwa hazina ulinzi na ndo maana hata wale a mipakani tunajuwa wapi pakupitia kwenda nchi jirani hivyo hivyo na nchi jirani inajua wapi pakupitia kuja tanzania, mipaka ya nchi usidhani ka imejengewa ukuta na kuacha mlango mkubwa wakupitia mkuu
Hilo linawezekana,hawa ni magaidi wameingia wameua wameharibu wakaondoka halafu wakatoa taarifa wao ,anachofanya sirro ni kuthibitishaWatu 80 wenye silaha wanaweza kuingia bongo na kutoka kirahisi hivyo? Kama ni rahisi hivyo tungekuwa tunashambuliwa kila siku.
Watakuwa chama gani mkuuMagaidi hayana nafasi Tanzania
Siro anaidadi ya wavamizi lkn Hana idadi kamili ya walio uaawa.
How can you count three hundred and fail to count a handful
Hapo sasa, sijui intelejensia mipakani ikoje hadi watu 300 waingie wavamie kijiji. Tatizo hii nchi siasa tumeipa kipaumbele sana na ni wakati sasa wa kubadilika, watendaji wachukue majukumu yao waachane na ngonjera za wanasiasa...JWTZ kazi yao nini mpaka mipaka ya nchi inavamiwa?
Naomba hii Revenge iwe kama ya Israel Kwa magaidi wa Luo uwa watu wao German. Ile ilitishaINSPEKTA Jenerali wa Polisi (IGP) nchini Tanzania, Simon Sirro amesema, magaidi zaidi ya 300 kutoka Msumbiji walivamia Kijiji cha Kitaya Mkoa wa Mtwara na kufanya uhalifu mbalimbali ikiwemo mauaji.
“Magaidi wapatao 300 kutoka Msumbiji, walivamia Kijiji chetu cha Kitaya na kufanya uhalifu mbalimbali ikiwemo mauaji,” amesema IGP Sirro aliyekuwa anazungumzia hali ya usalama kuelekea Uchaguzi Mkuu tarehe 28 Oktoba 2020.
IGP Sirro amesema, “tumefuatilia baadhi ya watu, wamekamatwa na wengine ni wa kwetu hapa tumewakamata tunaendelea kuwahoji.”
IGP Sirro amesema, “tunaendelea kupambana nao ili kuupata mtandao wote ulioanzia kule Kibiti na Rufiji ambao tulipambana nao wakaona wameshindwa.”
Mkuu huyo wa jeshi amesema, watahakikisha wanakamatwa iwe wanakwenda Msumbiji, Kenya au kwingineko ili “mwisho wa siku haki itandendeka na watakamatwa na kupelekwa mahakamani.”
Soma pia > Tetesi: - Kuna jambo baya linaendelea Mtwara...
Kuna umihimu wa kusambaza maspy huko mikoa inayopakana na Msumbiji ili kuwatrace hawa wapuuzi kabla ya kufanya uharifu maana jeshi peke yake hawatawezanjia za panya huwa hazina ulinzi na ndo maana hata wale a mipakani tunajuwa wapi pakupitia kwenda nchi jirani hivyo hivyo na nchi jirani inajua wapi pakupitia kuja tanzania, mipaka ya nchi usidhani ka imejengewa ukuta na kuacha mlango mkubwa wakupitia mkuu
Ukijua idadi inatusaidia kujua extent ya tatizo ili uweze kujipanga. Kama kauawa mtu mmoja unaweza ukapeleka hata jeshi la magereza. Kama wameuawa wa 20 jeshi kubwa linahusika...mwanzoni tulipewa idadi za waliokuwa wanafariki kwa COVID-19, je zilitusaidia nini kama Taifa katika mapambano yale..?
Yupo RCO na MA DSO kule. Labda tuanze na taarifa zao.Kuna umihimu wa kusambaza maspy huko mikoa inayopakana na Msumbiji ili kuwatrace hawa wapuuzi kabla ya kufanya uharifu maana jeshi peke yake hawataweza
Jamaa ajauliza intelejensia ya Israel wala USAIntelejensia wanakusanya ili ku-predict uwezekano wa kitu fulani kutokea,hai guarantee kwamba intel uliyokuwa naye ni perfect 100%.Israel wana Iron Dome kwa ajili ya kulinda anga ,tena ni moja ya mifumo bora ya anga duniani ,wazuri kwenye kukusanya na kuchakata taarifa za kiintelejensia lkn still Hizbolah wanafanikiwa kurusha marocket.
Sio kwamba labda bomu limepita basi Iron dome haifai,same tu us sio kwamba tumeshambuliwa basi hiyo intel haifai,inawezekana ikawa kimekosekana kitu kidogo ktk intel mliyokuwa nayo na mkajifunza mlipo kosea mkaboresha.
Kila mtu ktk kazi yake ana create errors,sema kwa wanajeshi mnaona nongwa (mtazani wao malaika) wengine wana ingiza mitizamo yao ya KIPUUZI ya kisiasa,vita na magaidi si swala dogo,USA,Israel pamoja na uwezo wao mkubwa wa kukusanya intel kwa kutumia vifaa vya kisasa,mifumo mizuri ya kiusalama wanajeshi walio iva ila bado wana shambuliwa,so kushambuliwa kuwa haina maana mifumo yao ya kukusanya taarifa za kiintelejensia haifai bali sometimes inaweza ukamiss kipande kidogo ukashambuliwa.
Inamaana intelejensia ya Tanzania ni bora kuliko USA na Israel?Jamaa ajauliza intelejensia ya Israel wala USA
Kauliza intelejensia ya Tanzanian
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nchi sio inchi.
Inchi (inch) ni kipimo cha urefu.
Sijawai sikia magaidi 300 yamevuka mpaka wa USA or IsraelInamaana intelejensia ya Tanzania ni bora kuliko USA na Israel?
Mimi nilicho jaribu kumwonyesha tu ,haya mambo yanatokea ktk taifa lolote,hizo nchi zina intelejensia nzuri lkn still bado zina shambuliwa.