Uchaguzi 2020 IGP Sirro amtaka Tundu Lissu kuripoti kituo cha polisi Moshi mkoani Kilimanjaro

Naona siro anaanza kuingia kwenye list ya watuhumiwa wa mahakama za kimataifa.Polis waende tume ya maadili, sio wagombea kupelekwa vituo vya polis.Siro anataka kuanza kuvuruga uchaguzi...
Hawezi kuvuruga uchaguzi,Lissu atampiga kifungu kimoja cha sheria za maadili ya uchaguzi then atanywea kama zuzu
 
Nani anamlinda Tl?
 
Nyinyi endeleeni kumvimbisha kichwa tu huyo Lissu. Atakapoanza kunyea ndoo mtakaa kimyaa kama wakati ule Faru John ananyea ndoo mlikuwa mbaliii.

Mwaka huu hakuna wa kutishika na kunyea ndoo! Ni hivi... Mwaka huu tunakula sahani moja hakuna kuachiana wala hakuna anaewaogopa tena!

Niwatanabahishe tu kwamba tuko jahazi moja na likizama maana yake tuna zama wote! Wakati jahazi likizama hatajuilikana kijani wala nyekundu wala zambarau! Akili vichwani mwenu!
 
Tundu Lisu kayataka mwenyewe.
yaaani amekuwa akiwa tukana Askari hadi mimi mwenyewe naogopa!!!
halafu cha kushangaza wakati huo huo anataka ulinzi !! Duh!!
 
Hahahahahha, dah nimecheka sana mkuu
 
Dah mkuu nimekua mini na siamini ni wewe. Kwasababu kwenye nyuzi zako na comments zako za nyuma ulikuwa pro Magufuli kwa nguvu zote hadi nilikuwa na ingia anga zako na kukuwin kisaikolojia.

Ni wewe kweli ama ni mwengine?
Mkuu Jon Stephano ,nina ndugu yangu ni katibu wa CCM wa mkoa fulani,amekiri kwamba hawezi mpigia kura JPM kabisa.
 
Wathubutu waone mziki, safari hii, ninyee mavi nikuharishie uharo
IGP kaisha sema Lisu hana ubavu wa kupambana na askari,
wamemvumilia weee..wameona sasa huyu jamaa anapoelekea atawatemeea mate....maana ameonyesha dharau za kutosha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…