mtamamtete
JF-Expert Member
- Jul 28, 2020
- 402
- 345
Hizi ni dalili za nyoka kutoka pangoni. SHINGO IMEGEUKIA KIBLA.NEC, police, bado wasiojulikana. Huu mwaka tutaona mengi. Lazima nyoka atoke pangoni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi ni dalili za nyoka kutoka pangoni. SHINGO IMEGEUKIA KIBLA.NEC, police, bado wasiojulikana. Huu mwaka tutaona mengi. Lazima nyoka atoke pangoni.
Hamtaki ACT na CDM kuungana Ila Ni sahihi ccm kuungana na Igp,tume,msajili,tlp dhidi ya Lisu.
Ndo ujueHayo sijui, ...
Lissu ni rais ajaye wa JMT,mhutu ndo atanyea debeNyinyi endeleeni kumvimbisha kichwa tu huyo Lissu. Atakapoanza kunyea ndoo mtakaa kimyaa kama wakati ule Faru John ananyea ndoo mlikuwa mbaliii.
Hilo ndilo kimbilio lenu la mwisho. Hamuwezi kushindana kwa hakiNyinyi endeleeni kumvimbisha kichwa tu huyo Lissu. Atakapoanza kunyea ndoo mtakaa kimyaa kama wakati ule Faru John ananyea ndoo mlikuwa mbaliii.
Kwa hiyo magu na ccm yake,pamoja na kufanya kampeni kwa miaka mitano pekee yao,pamoja na kunadi madaraja,ndege na reli bado hawezi bila msaada wa police,nec na msajiri? No wonder haoni aibu kupigia watoto wa shule ya msingi magotiSafi kabisa,! Lisu asifikiri Beberu wake Amsterdam atamsaidia kwa lolote hii ni chi huru
Mkuu kwani police wote ni wajinga?au ndo hivyo mmoja akioza wote wameoza?Tundu Lisu kayataka mwenyewe.
yaaani amekuwa akiwa tukana Askari hadi mimi mwenyewe naogopa!!!
halafu cha kushangaza wakati huo huo anataka ulinzi !! Duh!!
Yaani milioni 20 ishinndwe na laki mbili duu sekondari za KATA zinaharibu watotoJeshi haliwezi kuwashinda wananchi. Hata siku moja. Watashindana lakini hawatashinda.
Hujafa hujaumbikaKumbe ni kilema kweli!!
Mjinga sio tusi....Tundu Lisu kayataka mwenyewe.
yaaani amekuwa akiwa tukana Askari hadi mimi mwenyewe naogopa!!!
halafu cha kushangaza wakati huo huo anataka ulinzi !! Duh!!
Jeshi haliwezi kuwashinda wananchi. Hata siku moja. Watashindana lakini hawatashinda.
Nimewasikia malaika Mbinguni wakikupigia makofi kwa kutoka kwako gizani na kuingia nuruni.nami kwa kukazia nasema waache wafu wazikaneNilikuwa sina mpango wa kumpigia kura Tundu Lissu kwasabau JPM amefanya mengi yanaonekana. sasa ndio nitampigia Lissu once and for all
Tundu Lisu kayataka mwenyewe.
yaaani amekuwa akiwa tukana Askari hadi mimi mwenyewe naogopa!!!
halafu cha kushangaza wakati huo huo anataka ulinzi !! Duh!!
Amesema hakuna mtu yeyote anayeweza kupambana na Jeshi hilo na kwamba wote wanaovunja sheria za nchi watashughulikiwa.
Nimeona viongozi wa Chadema wanakaripia askari, Tundu Lissu anakaripia watu wangu, namuonya sana, jana nimeongea na Mbowe, akae azungumze na watu wake watii sheria bila shuruti.
"Tundu Lissu hayupo juu ya sheria, tukiamua kutimiza majukumu yetu asilalamike,"IGP Simon Sirro
IGP Sirro amtaka Tundu Lissu kuripoti kituo cha polisi Moshi mkoani Kilimanjaro, amri hiyo inatokana na IGP kuwatuhumu baadhi ya viongozi wa Chadema kutokana na matendo mbalimbali ambayo wanayofanya.
Akifafanua suala hili IGP Sirro amesema "Nimeona matukio kadhaa yakifanyika na Viongozi wa Chadema, wamekuwa wakikaripia na kuwagombeza Askari Polisi. Nimeona mara kadhaa Tundu Lissu anagombana na Viongozi wa Polisi".
"Jana nimeongea na Kiongozi wake Bwana Mbowe akae na viongozi wake wazungumze suala la kutii sheria bila shuruti. Anayoyafanya Watanzania wenye hekima na Wazalendo wanaona. Lissu hayuko juu ya sheria polisi tukiamua kutimiza wajibu wetu asilalamike na chama chake. Vyama vipo karibu kumi na mbili, Jeshi la Polisi limepewa wajibu wa kulinda watu na mali zao ndani ya nchi hii, yeye hana uwezo wowote wa kupambana na Jeshi la Polisi."
"Asije akafika mahali akawa na kiburi akadhani ana uwezo wa kupambana na Jeshi la Polisi. Niwasihi sana na niwaombe sana ndugu zetu wa Chama cha Chadema hii tabia iishe. Tundu Lissu aende akaripoti kituo cha Polisi Kilimanjaro ili aende akaeleze aliyoyafanya jana. Lakini niwaombe wanasiasa na Viongozi wote katika ngazi zote. Suala la Udiwani, Ubunge, Urais bila amani na utulivu huwezi kufanya siasa na huna uwezo wa kupambana na Jeshi la Polisi wewe kama wewe. Kwahiyo tuheshimu sheria zilizopo ili tuchague viongozi tunaowataka lakini inaonekana kuna ajenda ya siri ambayo viongozi wachache wanayoitaka ili uchaguzi usifanyike. Nawaambia uchaguzi utafanyika lakini itafika mahala tutawashughulikia sana."
View attachment 1587125