Uchaguzi 2020 IGP Sirro amtaka Tundu Lissu kuripoti kituo cha polisi Moshi mkoani Kilimanjaro

Uchaguzi 2020 IGP Sirro amtaka Tundu Lissu kuripoti kituo cha polisi Moshi mkoani Kilimanjaro

I doubt. Kama sababu ni hii, basi sio kazi ya Sirro kuingilia. Ni NEC.
Mkuu izi sheria wamesitunga ccm ila hata wao wenyewe hawazijui. Subiri kichwa cha sheria kiwatafsirie kesho . Saivi atakua anakula nondo zakuwajibu kesho . Yaani lisu akiongea unajikuta unaamani flani tu ya nafsi
 
Wameshindwa NEC kuzitafsiri Sheria za uchaguzi ndo polisi wasiojua sheria ndo wataweza
 
Magufuli kamwe Hawezi kushinda huu uchaguzi hata apigeje Magoti.

Anga na mbingu zimemkataa huyo tusipoteze Muda.

Lissu ndiye Rais wako 2020 utake usitake.
 
IGP ajue kuwa Jeshi la polisi halina nguvu yoyote juu ya umma!

Jeshi lenye askari wasiofika laki moja nchi nzima litakuwaje juu ya mamilioni ya wananchi wanaomuunga mkono Lissu?

IGP asitutishe!


Una uhakika huyo jamaa yako anaungwa mkono na mamilioni ya wananchi??

Endeleeni tu kudanganyana!!
 
Sirro amuite na bwana yule, leo katishia kunyima watu maji. Huu ni ukatili na ubinyaji wa haki za msingi za raia 🙁
Sasa kama mlipewa mabilioni ya fedha mkazitafuna, sasa mnataka wawafanyeje
 
Ukiw kwenye Jamii ya Watu wenye Akili za Zaidi Lazima Ukubali Kuwa Magu Kashashinda ila Hamu yetu nikujua anashinda kwa Asilimia Ngapi??
je na mm nikisema lissu ameshashinda ila tunasubili tu % za ushindi ntakuwa sahihi?
 
Sio moshi tena eti wanasema dar
IMG_20201001_225325.jpeg
 
Cha Kwanza Mtuambie ni lini Mliingia Barabarani Kukiwa na Tamko LA Police kuwa STAY HOME. Na mlifanikisha nini, MSIDANGANYANE HAPA MSHAKULA MAHARAGE MMEKAA KWENYE SOFA MNAENJOY KUCHATI UMEME HAUKATIKI NA AMANI MNAPOISH HAKUNA HOFU YA UJAMBAZI WALA FUJO KAU MATAINGIA BARABARANI HAIPO HIYOOOO NA HUYO LISU WENU ATAWEKEWA ULINZI GETINI KWAKE AAANDAMANE CHUMBANI KWAKE NA MABWANA ZAKE😡
watanzania wa sasa si wa kipindi cha mrema....sasa tuna subira tu na si woga tena
 
Tupia ndani yeyote anayetaka kutusumbua wakati tukijenga Taifa letu sio kila mtu anajihusisha na mambo yao , waheshimu haki za wengine pia kwa kuacha kuondosha amani.

Safi sana kamanda Siro . Chapa kazi.
Sirro atacheza ngoma ya Lissu Hadi kiuno kiteguke .

Asijifiche nyuma ya jeshi la polisi akafikiri atakuwa salama!
 
Huyo kibaraka wa mabeberu aende haraka sana akaripoti polisi, huku NEC inamsubiri, ngoja tuone huyu kibaraka ataishia wapi. Na Watanzania hawana simile ile 28.10.2020 lazima wamkate vibaya mno.
Ninyi wenyewe hamjitambui mnachokifanya mmeona moshi hawezi kwenda sasa hivi mnasema aende dar ona mlivyo mazuzu
IMG_20201001_225325.jpeg
 
Yale mabomu askari wako waliyokua wanawapiga msafara wa salum mwalimu kule kilosa unazungumziaje bwana IGP?
 
Barua yenyewe haisemi ni kauli gani??? Kama mtu anatoa kauli kwenye kampeni be specific ni ipi??? Kama ni za kikampeni basi kalalamike Tume sio kumuita polisi!!!

Mpaka hapo Tundu Lissu anaweza asiende na kama wanaweza wamfanye lolote
Na haendi wajinga sana hawa
 
Back
Top Bottom