Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,772
- 8,939
Alihutubia watu usiku. Baada ya saa 12 jioni.
Sheria ipi inakataza na je sheria inataka kipi kifanyiko hilo linapotokea?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alihutubia watu usiku. Baada ya saa 12 jioni.
Mkuu izi sheria wamesitunga ccm ila hata wao wenyewe hawazijui. Subiri kichwa cha sheria kiwatafsirie kesho . Saivi atakua anakula nondo zakuwajibu kesho . Yaani lisu akiongea unajikuta unaamani flani tu ya nafsiI doubt. Kama sababu ni hii, basi sio kazi ya Sirro kuingilia. Ni NEC.
Hizi wito za kwenye mitandao uishia kwenye mitandao.Lissu asiende kuripoti kokote, wakitaka wafate wamkamate.
Lissu atanyooshwa tu
IGP ajue kuwa Jeshi la polisi halina nguvu yoyote juu ya umma!
Jeshi lenye askari wasiofika laki moja nchi nzima litakuwaje juu ya mamilioni ya wananchi wanaomuunga mkono Lissu?
IGP asitutishe!
Mbuyu ulianza kama mchichaMikwara ya mitandaoni hiyo!
Sasa kama mlipewa mabilioni ya fedha mkazitafuna, sasa mnataka wawafanyejeSirro amuite na bwana yule, leo katishia kunyima watu maji. Huu ni ukatili na ubinyaji wa haki za msingi za raia 🙁
je na mm nikisema lissu ameshashinda ila tunasubili tu % za ushindi ntakuwa sahihi?Ukiw kwenye Jamii ya Watu wenye Akili za Zaidi Lazima Ukubali Kuwa Magu Kashashinda ila Hamu yetu nikujua anashinda kwa Asilimia Ngapi??
watanzania wa sasa si wa kipindi cha mrema....sasa tuna subira tu na si woga tenaCha Kwanza Mtuambie ni lini Mliingia Barabarani Kukiwa na Tamko LA Police kuwa STAY HOME. Na mlifanikisha nini, MSIDANGANYANE HAPA MSHAKULA MAHARAGE MMEKAA KWENYE SOFA MNAENJOY KUCHATI UMEME HAUKATIKI NA AMANI MNAPOISH HAKUNA HOFU YA UJAMBAZI WALA FUJO KAU MATAINGIA BARABARANI HAIPO HIYOOOO NA HUYO LISU WENU ATAWEKEWA ULINZI GETINI KWAKE AAANDAMANE CHUMBANI KWAKE NA MABWANA ZAKE😡
Sirro atacheza ngoma ya Lissu Hadi kiuno kiteguke .Tupia ndani yeyote anayetaka kutusumbua wakati tukijenga Taifa letu sio kila mtu anajihusisha na mambo yao , waheshimu haki za wengine pia kwa kuacha kuondosha amani.
Safi sana kamanda Siro . Chapa kazi.
Ninyi wenyewe hamjitambui mnachokifanya mmeona moshi hawezi kwenda sasa hivi mnasema aende dar ona mlivyo mazuzuHuyo kibaraka wa mabeberu aende haraka sana akaripoti polisi, huku NEC inamsubiri, ngoja tuone huyu kibaraka ataishia wapi. Na Watanzania hawana simile ile 28.10.2020 lazima wamkate vibaya mno.
Barua yenyewe haisemi ni kauli gani??? Kama mtu anatoa kauli kwenye kampeni be specific ni ipi??? Kama ni za kikampeni basi kalalamike Tume sio kumuita polisi!!!Sio moshi tena eti wanasema dar View attachment 1587465
Na haendi wajinga sana hawaBarua yenyewe haisemi ni kauli gani??? Kama mtu anatoa kauli kwenye kampeni be specific ni ipi??? Kama ni za kikampeni basi kalalamike Tume sio kumuita polisi!!!
Mpaka hapo Tundu Lissu anaweza asiende na kama wanaweza wamfanye lolote
Thubutu yenu. Mtanyooshwa nyie mwaka huuLissu atanyooshwa tu