Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ivi CCM toka lini wakaogopa kuchafuliwa wakati toka mwanzo ni wachafuNimeanza kwa swali: Hivi mzee wetu Simoni Sirro ambaye kwa asili ni mtu makini, anajisikiaje kwa jeshi la polisi analiongoza kutumika kisiasa?
Miezi iliyopita tumeshuhudia baadhi ya watu waliokuwa wanasiasa kuachiwa huru na mahakama kutoa hukumu kuwa hao watu walishitakiwa kimakosa ambayo kimsingi polisi ndio iliwatuhumu mfano Mdude nk.
Je, mzee wetu Sirro haoni kuwa si kila agizo analopewa au watu wake wanapoagizwa kuwafanyia raia ni wakati sasa wajiepushe nayo?
Haoni kuwa CV yake inachafuliwa?
Mzee wetu Sirro, kuna wakati ninakuhurumia sana.
USHAURI WANGU
1. Nashauri ajaribu kutumia hekima na busara. Anapopewa maagizo yanayovunja haki za msingi za wananchi kwa mujibu wa katiba
2. Njia bora ya kuwanyamazisha watu kama hawa wanaokusanyika kwa kudai katiba, ni kuwaita viongozi na kutumia diplomasia badala ya nguvu na kubambikia kesi.
3. Kumbuka huna miaka mingi kuwa ofisini na muda sio mrefu unarudi uraiani au kufanya kazi tofauti na hii kazi ya damu na laana hivyo jijengee mazingira ya kukumbukwa na historia.
Mwisho, mnayoyapanda yataota, yatakuwa, yatazaa na yatakomaa na kuiva; mwishowe mtavuna na kula matunda yake.
Kwani mhalifu Mbowe huwa anajali nini ?Anaangalia tu maslahi yake na watoto wake saa hizi! Hajali tena chochote
Wewe funga bakuli lako, Mbowe ana akili kuliko Wapuuzi wote wa CCM wakiwekwa pamoja.Kwani mhalifu Mbowe huwa anajali nini ?
Alipokamatwa Sabaya haikuwa siasa?Anaangalia tu maslahi yake na watoto wake saa hizi! Hajali tena chochote
Jeshi Hilo hilo lilipomkamata Sabaya haikuwa siasa?Nimeanza kwa swali: Hivi mzee wetu Simoni Sirro ambaye kwa asili ni mtu makini, anajisikiaje kwa jeshi la polisi analiongoza kutumika kisiasa?
Miezi iliyopita tumeshuhudia baadhi ya watu waliokuwa wanasiasa kuachiwa huru na mahakama kutoa hukumu kuwa hao watu walishitakiwa kimakosa ambayo kimsingi polisi ndio iliwatuhumu mfano Mdude nk.
Je, mzee wetu Sirro haoni kuwa si kila agizo analopewa au watu wake wanapoagizwa kuwafanyia raia ni wakati sasa wajiepushe nayo?
Haoni kuwa CV yake inachafuliwa?
Mzee wetu Sirro, kuna wakati ninakuhurumia sana.
USHAURI WANGU
1. Nashauri ajaribu kutumia hekima na busara. Anapopewa maagizo yanayovunja haki za msingi za wananchi kwa mujibu wa katiba
2. Njia bora ya kuwanyamazisha watu kama hawa wanaokusanyika kwa kudai katiba, ni kuwaita viongozi na kutumia diplomasia badala ya nguvu na kubambikia kesi.
3. Kumbuka huna miaka mingi kuwa ofisini na muda sio mrefu unarudi uraiani au kufanya kazi tofauti na hii kazi ya damu na laana hivyo jijengee mazingira ya kukumbukwa na historia.
Mwisho, mnayoyapanda yataota, yatakuwa, yatazaa na yatakomaa na kuiva; mwishowe mtavuna na kula matunda yake.
Alipokamatwa Sabaya haikuwa siasa?
Mbowe amekamatwa kwa tuhuma za ugaidiSabaya alikuwa anadai katiba mpya?
Mnufaika yeyeto hawezi kubali kuona riziki yake ikichezewa.Na yeye ni mhanga wa katiba mbovu kama tulivyo wengi. Freeman Mbowe aachiwe mara moja!
Dah madam tulikumiss sana,Vipi ulikuwa masomoni Kule kwenye chuo chenu cha propaganda kivukoni.Umeandika kama haufahamwu kazi ya POLISI!!!..
YEYE ndiyr anatumika na wanasiasa na siyo Jeshi la Polisi.Nimeanza kwa swali: Hivi mzee wetu Simoni Sirro ambaye kwa asili ni mtu makini, anajisikiaje kwa jeshi la polisi analiongoza kutumika kisiasa?