IGP Sirro anajisikiaje Jeshi la Polisi kutumika kisiasa?

Hivi Sirro bado anahitaji kurembesha CV yake? Au ulimaanisha legacy yake.
 
ivi CCM toka lini wakaogopa kuchafuliwa wakati toka mwanzo ni wachafu
 
Waafrika Wengi wanye mamlaka, tumbo lake kwanza na familia yake
 
Jeshi Hilo hilo lilipomkamata Sabaya haikuwa siasa?
 
Siku zote ukiua laana ipo nyuma yako hata familia zao zipo hovyohovyo tu.
 
Sirro inatuangusha sana sisi Waseminari wenzako...acha kutumika, fuata misingi na sheria....katiba walau hii ya sasa ndiyo iwe Biblia yako ingawa ni mbovu itasaidia ukiwa unatimiza majukumu yako ofisini.

Wakikusumbua..achia ngazi ..ombq kustqqfu kwa heshima..

Sirro wewe ni mtu wa kupokea vi màgizo vya kijinga jinga toka CCM..kweli?

CCM wanakuponza kitaifa na kimataifa as a person...kuwa makini kamanda. Kuna maisha tena marefu tu baada ya kustaafu
 
Huyo Siro lazima aibebe ccm maana ndio imempa ulaji, mfuatilie vizuri utamkuta ana miradi mingi ambayo kaipata kwa rushwa, na viongozi wa ccm hilo wanalijua. Hivyo akijifanya anasimamia haki anafilisiwa. Hana mpango wowote wa kulinda CV yake, maana hakuna popote anaweza kupata kazi tena kutokana na umri, pia uwezo. Hapo akistaafu usishangae anagombea uongozi kupitia ccm ili aendelee na ulaji wa mteremko. Hivyo hata yeye hataki katiba mpya ,maana anahisi itamuondolea ulaji baada ya kustaafu.
 
Jukumu namba moja la police ni kuilinda ccm isianguke
 
Na yeye ni mhanga wa katiba mbovu kama tulivyo wengi. Freeman Mbowe aachiwe mara moja!
Mnufaika yeyeto hawezi kubali kuona riziki yake ikichezewa.
Mwanaharakati huru baada ya Boss wake kufa na uhanarakati ukakoma
 
YEYE ndiyr anatumika na wanasiasa na siyo Jeshi la Polisi.
 
Juzi kwa sabaya mlimsifia sana uku mkikata viuno tulieni dawa iwaingie na gaidi wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…