IGP Sirro anajisikiaje Jeshi la Polisi kutumika kisiasa?

Sabaya alikuwa anadai katiba mpya?
Kwani polisi wamekuambia mbowe amekamatwa kwa sababu alikuwa anadai katiba mpya? Hiyo ni nyinyi wapambe wake ndo mnasema. Ukweli dj makengeza ni gaidi.
 

mkuu chama cha ccm kina matawi mengi moja wapo ni ccm, bakwata
 
This is Africa.

Kitu kimoja tunasahau ni kuwa ukishaingia kwenye system ndio umeingia.

Utafanya yale system inataka yafanyike, upende usipende.

Ndio maana ukikaa nao privately unashangaa jinsi gani walivyo tofauti na wakiwa kazini.

Kolimba alijilipua akaamua kusema kweli, yaliyomkuta wote tunajua.
 
Kwa hiyo system ni jumla ya genge la uovu?
 
..kwa uelewa wake ni sahihi.

..pia ni mwana-ccm mtiifu.

..hivyo anaona fahari polisi wakitumika kisiasa na CCM.
 


Mzee Mshermber sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…