Ushahidi upi? Ushahidi wa kutengeneza kwa njia haramu za kishetani hautafaulu kamweKwa ushaidi huu Mbowe hatobowi, mkiaambiwa Tanzania kuna Wapelelezi wazalendo mnaleta dharau,Sasa utakayokuta Mahakamani utamuogopa hadi Mbowe mwenyewe!!
Wewe tumia Akili pia IGP kasema chadema wasiende mahakamaccm wanaonekana ni maandamano, sasa chadema wakusikilize wewe uliyejifanya una Akili za kupingana na IGP au waende mahakamaccm mkawakamate wabambikiwe kesi zingine za kuonekana wamefanya fujo mahakamaccm wakati hakuna fujo yeyote.
Wewe umetumia nini kuandika hicho kingereza cha hovyo kisicho na chembe ya uelewa, anza kuwa na Akili kwanza ndipo ujue kuwanyoshea wengine vidole, nani kakuambia una Akili mpaka ya kujua asiye na Akili kama wewe?Tumieni akili. What’s the point, for example, of sending a contingent of 500 laymen to the courthouse?
Upo sawa,kanisani naendaga kwenye harusi na misiba tu.Alafu usikute kanisani unaenda kuna mijitu mnanuka damu
Wewe umetumia nini kuandika hicho kingereza cha hovyo kisicho na chembe ya uelewa, anza kuwa na Akili kwanza ndipo ujue kuwanyoshea wengine vidole, nani kakuambia una Akili mpaka ya kujua asiye na Akili kama wewe?
Acha ujinga laymen kivipi? Wanachadema siyo Laymen kama wewe, na siyo kwamba wangeenda kujazana mahakamaccm bali mmeamua kujihami mapema kukwepa fedheha, wewe ni laymen huna unachokijua zaidi ya kutukuza uonevu unyanyasaji wa CCM kwa wapinzaniHebu tuletee English version ya ulichoandika hapa!
Mwenye akili hawezi kung’ang’ana kupeleka lundo la laymen mahakamani. It serves no purpose whatsoever!
Sawa,sisi wananchi tunaifanyia kazi.Na mbona taarifa za baadhi ya wapinzani zinaonyesha kwamba hii ni kweli?Hivi Antipas ni nani anamlipia kukaa Belgium na Lema nani anamlipia kukaa Canada?Sidhani kama unahitaju akili nyingi sana kujua kwamba hawa ni agents wa mabeberu.Iko wazi.Hizo propaganda za kishamba shamba watengenezeeni mazezeta huko gheto unaposhinda ukivuta Bangi,lakini Tambua watanzania wenye Akili timamu wanajua ukweli kuwa chadema hakuna Gaidi bali sasa ukidai katiba mpya ni ugaidi
Nadhani msaliti ana deserve this kind of treatment.Iacheni serikali ifanye kazi yake,ina taarifa ambazo mwananchi wa kawaida hana,mnajuaje kama he is commander of the CIA secret army in Tanzania?Acha ujinga laymen kivipi? Wanachadema siyo Laymen kama wewe, na siyo kwamba wangeenda kujazana mahakamaccm bali mmeamua kujihami mapema kukwepa fedheha, wewe ni laymen huna unachokijua zaidi ya kutukuza uonevu unyanyasaji wa CCM kwa wapinzani
Lakini kuwa na vitu hivyo hakumuondolei uTanzania wake. Kwa nini asitumie akili kutambua kwamba Tanzania yetu ni muhimu zaidi ya hayo mengine yote?nasikia ana kadi ya ccm na ni mwanachama mtiifu kwa chama.
Naamini haonewi mtu ndio maana napendekeza ushahidi wote uwekwe hadharani endapo kama upoIGP alihitimisha shauri la Mbowe kwa kumuhusisha Mungu kuwa ni shahidi kuwa kosa la jinai lilitendwa!
Litakuwa wazi tu kama la Sabaya, hilo toa wasi wasi kwani kwa katiba yetu watu wote wako sawa mbele ya sheria.IGP sirro ni mcha mungu alkadhalka viongozi wetu wakuu pia ni wacha mungu nadhani kwa mara ya kwanza ndani ya nchi yetu suala la bwana mbowe ikiwezekena lijadiliwe katika mahakama ya wazi tena iliyo huru ushahidi zote ziwekwe hadharani ili kusiwepo na kundi ambalo labda likaona linanyanyasika maana wapo wanaoona labda binadamu wengine ni miungu watu na hawawezi kufanya makosa au jinai.
Hata Mwigulu Nchemba alisemaga ana Ushahidi Duniani Mpaka Mbinguni kuwa CHADEMA ni Ma GaidiJana Jumatatu nikiangalia TV nilimuona IGP akisema kwa ukali kuwa wana ushahidi usio na mashaka na akawataka wasiomuamini wakamuulize Mbowe ambaye ni mkiristu kwa kweli hakutenda! Hii ni hukumu nje ya mahakama na inafanya kusiwe na sababu ya Mbowe ambaye tayari ni mkosaji kusiwe na sababu ya kumfikisha mahakamani ila apelekwe gerezani.
Acha ujinga laymen kivipi? Wanachadema siyo Laymen kama wewe, na siyo kwamba wangeenda kujazana mahakamaccm bali mmeamua kujihami mapema kukwepa fedheha, wewe ni laymen huna unachokijua zaidi ya kutukuza uonevu unyanyasaji wa CCM kwa wapinzani