rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 5,749
- 7,038
Cha ajabu hakuna mfuasi wa mwenyekiti atakae thubutu kumuuliza Kama Ni kweli ama la.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu siro ni hovyo kabisa.Katika kitu cha ajabu kutokea Tanzania ni kuona mtu ambayo yupo kwenye level ya juu kabisa ya walinzi wa amani na usalama wa raia akionesha chuki binafsi kwa mtanzania mwenzake. Huwezi kutoa hukumu ñzito kiasi hicho wakati unajua ni tuhuma na ziko mahakamani. Huu siyo uungwana na si ubinadamu, Mbowe ana watoto na familia inayotegemea kama wewe, acha kutenda dhambi kwa umri ulionao unapaswa kumuogopa Mungu.
Kuonesha kua una chuki kubwa na Mbowe ni kumshambulia yeye binafsi bila hata ya kufikiri kua hata wewe ni binadamu unaweza kupewa taarifa za uongo na uliowatuma wafanye upelelezi. Kama tu walinzi wake waliokuwa wakiteswa waseme kua Mbowe ni Gaid na wewe unasema Mbowe si malaika, siyo wewe umeagiza walinzi waseme Mbowe gaidi?
MBONA MASHTAKA YA KUUA VIONGOZI WA JUU SERIKALINI HAYAPO KAMA WALIVYORIPOTI POLISI?
Kudhihirisha wazi kua una chuki binafsi na uonevu kwa Mbowe, mwanzo kwenye taarifa iliyosomwa kwa uma na msemaji wa polisi David Misime iliripotiwa kua Mbowe alikua na tuhuma za kutaka kuua viongozi wa juu wa serikali, hilo Shtaka mbona halipo na badala yake ni kulipua vituo vya mafuta, kwanini polisi mlimtungia Mbowe taarifa za uongo? Hii siyo chuki binafsi?
Mzee wangu IGP kumbuka kwamba unastaafu kwenda mtaani na unahitaji kwenda kushirikiana na jamii, usiharibu mahusiano yako na jamii kwa kinywa chako. Kumbuka kua Mungu yupo na hapendezwi na haya na chozi la Mbowe asiye na hatia litakutia katika adhabu ya mwenyezi Mungu.
Upinzani wote lazima tuwastukie.Yapo mapandikizi mengi sana Tanzania.Soma taarifa hii.👇Msihangaike kumchambua Sirro.
Amesema Kuna mtego ulitegwa kwa mbowe akanasa.
Swali mtego huohuo ulitegwa kwa Lissu auawe na hakufa.
Sirro hakupenda kutega mtego wakuwanasa waliopiga risasi Lissu.
Mimi nawewe tupo mtegoni,
Mungu atategua tu
Hopeless, headless chicken, dormant, layman, total crap 🚮🚮🚮Gaidi hana rafiki waulize chacha wangwe, slaa, Zito, Sumaye
Sirro katoa tamko kwa hasira kama vile ana kadi ya CCM mfukoni.
Bro maandamano lini,nataka kuja kuwapa kampani,nishapiga Chanjo na itazuwia hadi maaumivu ya hicho kipigo Cha Mbwa kokoo!!Sirro ufahamu kuwa sisi kama watu wenye akili zetu:
1. Tunajua kuwa mwenyekiti Mbowe mmembambikizia kesi
2. Tuko kwenye nafasi za kujua mnambambikizia kesi
3. Tunajua ni haki yetu kuja mahakamani
4. Tunakutaka ujue tutakuwapo mahakamani wala usitutishe
5. Tunakutaka umwogope Mungu wako kwani kushuhudia uongo huku ukilitaja jina lake bure, Mola anakataza
6. Tunakutaka uwashauri wenzio mtafute magereza zaidi ya kutuweka katika mamilioni yetu
7. Tunakutaka uziheshimu haki zetu
8. Tunakutaka uheshimu katiba
Ni hayo tu. Kwako kamanda.
Kwani hujui hilo.Kwa walipita jeshini miaka ileeeeee watakuelezASirro katoa tamko kwa hasira kama vile ana kadi ya CCM mfukoni.
Hawezi kosa kadi ya kijani. Na hii hutokea Tanzania tu. Akiongea utafikiri ana akili kumbe anatumia makalio tuSirro katoa tamko kwa hasira kama vile ana kadi ya CCM mfukoni.
Mikwara Mbuzi hiyo,Kama kweli mnaweza ingieni road tuwaone,nyuma ya keyboard mnakuwa wababe sana!!Kuwavunja miguu? Kwa kosa gani sasa? Wewe kwa hakika ni boya kweli kweli!
Au kwa kosa litakuwa lile lile lisilokuwapo kama alilobambikiziwa Mbowe? Nani asiyejua polisi Tanzania kubambikiza kesi ni moja ya majukumu yao halali yaliyoshamirishwa vilivyo katika awamu ile?
Kudai haki hakuwezi kuwa bila gharama
Kuna thwawabu kubwa kwa wote wasimamao kuipigania haki kwa ajili ya wote. Kwa maana njia hiyo si kila mtu anaweza kuipita. Njia hii si lazima kwa kila mtu kuipita. Waipitao njia hii ni wale tu walio na wito kamili. Kama ile iendayo uzimani, ina vikwazo vingi. Kipi ambacho kamanda Mbowe...www.jamiiforums.com
Ieleweke kuwa tunajua haki hatutaipata kwa kuomba au kupewa. Tuko tayari kuilipa gharama hiyo ambapo kwa kuvunjwa mguu tu, gharama hiyo ni sawa na bure.
Habari ndiyo hiyo.
Wewe mbweha acha ufala kwani uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho? Kipimo cha ufala udwanzi uzuzu hapa JF huwa ni kuisengenya ID ya JF ambayo haitokani na ubatizo msikitini wala kanisani ndiyo maana hata ID yako haijadiliwi licha ya kuwa ya kishamba, humu wapo busy na mada siyo ujinga kama wako wa kuendekeza vitendo haramu vya kishamba na kishetani kuwaonea kuwabambikia kesi wapinzaniMinyoo ni shida
Sad time for our countryWewe mbweha acha ufala kwani uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho? Kipimo cha ufala udwanzi uzuzu hapa JF huwa ni kuisengenya ID ya JF ambayo haitokani na ubatizo msikitini wala kanisani ndiyo maana hata ID yako haijadiliwi licha ya kuwa ya kishamba, humu wapo busy na mada siyo ujinga kama wako wa kuendekeza vitendo haramu vya kishamba na kishetani kuwaonea kuwabambikia kesi wapinzani
Kwani wewe upo mbele ya keyboard ukitukuza ushetani wenu? hata wewe upo nyuma ya keyboard ukichochea uonevu unyanyasaji kwa watu ambao hawana siraha Bunduki wateswe kwa kubambikiwa kesi na PolisiccmMikwara Mbuzi hiyo,Kama kweli mnaweza ingieni road tuwaone,nyuma ya keyboard mnakuwa wababe sana!!
Akili zenyewe huna unawezaje kujua ujinga? Kwa upumbavu wako unadhani kuandika kakingereza ka ngama ka dictionary unajiona eti una Akili? CCM acheni kuwatumia wajinga wajinga kama hawa kuwatetea mitandaoni kwani badala ya kuisaidia CCM huwa wanawadhalilisha zaidiSad time for our country
stupidity proMax is on the rise
Sirro atavuna anachopandaKatika kitu cha ajabu kutokea Tanzania ni kuona mtu ambayo yupo kwenye level ya juu kabisa ya walinzi wa amani na usalama wa raia akionesha chuki binafsi kwa mtanzania mwenzake. Huwezi kutoa hukumu ñzito kiasi hicho wakati unajua ni tuhuma na ziko mahakamani. Huu siyo uungwana na si ubinadamu, Mbowe ana watoto na familia inayotegemea kama wewe, acha kutenda dhambi kwa umri ulionao unapaswa kumuogopa Mungu.
Kuonesha kua una chuki kubwa na Mbowe ni kumshambulia yeye binafsi bila hata ya kufikiri kua hata wewe ni binadamu unaweza kupewa taarifa za uongo na uliowatuma wafanye upelelezi. Kama tu walinzi wake waliokuwa wakiteswa waseme kua Mbowe ni Gaid na wewe unasema Mbowe si malaika, siyo wewe umeagiza walinzi waseme Mbowe gaidi?
MBONA MASHTAKA YA KUUA VIONGOZI WA JUU SERIKALINI HAYAPO KAMA WALIVYORIPOTI POLISI?
Kudhihirisha wazi kua una chuki binafsi na uonevu kwa Mbowe, mwanzo kwenye taarifa iliyosomwa kwa uma na msemaji wa polisi David Misime iliripotiwa kua Mbowe alikua na tuhuma za kutaka kuua viongozi wa juu wa serikali, hilo Shtaka mbona halipo na badala yake ni kulipua vituo vya mafuta, kwanini polisi mlimtungia Mbowe taarifa za uongo? Hii siyo chuki binafsi?
Mzee wangu IGP kumbuka kwamba unastaafu kwenda mtaani na unahitaji kwenda kushirikiana na jamii, usiharibu mahusiano yako na jamii kwa kinywa chako. Kumbuka kua Mungu yupo na hapendezwi na haya na chozi la Mbowe asiye na hatia litakutia katika adhabu ya mwenyezi Mungu.
GAIDI kalala ChatoGaidi hana rafiki waulize chacha wangwe, slaa, Zito, Sumaye