IGP Sirro: CHADEMA wanamuona Mbowe Malaika hawezi kosea, ushahidi tunao

IGP Sirro: CHADEMA wanamuona Mbowe Malaika hawezi kosea, ushahidi tunao

IGP anaonekana ana kibri Cha madaraka Yani jamaa anaongea utafikili nchi ni Mali yake binafsi. Akumbuke kutenda haki atabalikiwa Sana. Hata hivo Mbowe ni kiongozi mkubwa Sana watu kuja kisikiliza kesi yake kwa wingi ni Jambo lisiloepukika mhimu wapewe ulinzi na sio kuwapiga,maana sirro Naona anaamini katika matumizi ya nguvu bila kutumia busara.
 
Police bhana wanajionaga wanajua Sana kupigana kumbe hamna kitu
 
Tip muhimu ushahidi

" walishawishi baadhi ya vijana wetu Wenye mafunzo...." kwamba wapo vijana wa Jeshi wanaandaliwa ama,wameandaliwa watumike kutoa ushahidi dhidi mashitaka ugaidi!? Hivi kweli ugaidi unatafutwa kwa tochi? Hisia?..
Huyu jamaa ni WA kuhulumia Mana anaongea ujinga tu .Hivi kweli mwaka Jana uchuguzi SI ulivulugwa na CCM kwa kushilikiana na hao polisi
 
Itafika hatua tutahitaji re-forms kutoka police force kuwa police service
 
Katibu Mkuu wa chadema Mnyika anapaswa achunge sana kauli zake za kuhamasisha maandamano yenye lengo la kuvunja amani ya nchi.

Asije akalilaumu Jeshi la Polisi endapo atachukuliwa hatua za kisheria.

Huwezi kuhamasisha maandamano ya kushinikiza mahakama itoe haki!! kitendo hiki ni uvunjaji wa sheria.

Mnyika na Mrema wawe makini sana, watanzania hatuko tayari kuona watu.wachache wanajaribu kuchokonoa amani ya nchi yetu, na tunaliomba Jeshi letu kamwe lisivumilie wala kuwachekea.
Vijana wa CCM sjui akili wanawekaga wapi yaani hapo uko Kama mzoga
 
IGP Sirro anadhani Watanzania wamesahau kutekwa kwa MO? Kwa makusudi mjadala wa nani alimteka MO na kukaa naye ndani ya siku 9 umeamka tena baada ya IGP Sirro kujigeuza mahakama na kumhukumu Mbowe kuwa anao ushahidi kuwa Mbowe ni gaidi.

IGP Sirro nataka ujue kuwa, jinai huwa haizeeki, unachokifanya kuna siku utasimama mbele ya Mahakama. Usidhani ilivyo leo ndivyo na kesho itakuwa hivyo.

Kwa sababu ugaidi wa Mbowe unaujua, tunataka kujua ni nani alimteka MO? Na ile picha ya gari la watekaji wa MO uliitoa wapi?

Na ulijuaje kama walikuwa ni wazungu,na waliwezaje kutoroka mipaka ya Tanzania?
Siyo hivyo tu, tunataka utuambie Ben Saanane yuko wapi?

Na Tuambie pia Azory Gwanda yuko wapi?
Na ni kina nani walimpiga risasi Tundu Lissu?

Na tuambie pia yuko wapi Police aliyefyatua risasi iliyomuua Aquilina? Kwa sababu risasi ya kutuliza ghasia hufyatuliwa juu,sasa ilikuwaje Police kufyatua risasi kuelekea kwenye Daladala?

IGP Sirro, hujui gharama ya kukabiliana na Dhambi,siku ukianza kulipa maovu yako na wenzako, usije sema umeonewa.

MUNGU si wa mchezo,walikuwepo kina Samuel Doe,yaliyowakuta ni majonzi na vilio siku walipolipa matendo yao.

MUNGU hawahi wala hachelewi.

Siku inakuja mtalipa tu sawa sawa na matendo yenu.

Amina...!
[emoji817][emoji3581]
 
Mitandao ya kijamii imefurika matusi na kejeli baada ya IGP kutoa press akidai asiyeamini kwamba Mbowe ni Gaidi aende akamuulize. Amekwenda mbali zaid na kudai atakayethubutu kuandamana atapigwa tu.

Hi si ishara nzuri kwa mlinzi wa amani kugeukwa na anaowalinda, naamini Jeshi la Polisi linakila sababu yakujitafakari kuelekea kustaafu kwa huyu Mzee siro ambaye kwa namna yoyote ile awezi Tena kujisafisha.

Ikumbukwe aliyeeleza kwamba Mbowe amekamatwa kwa maelekezo ya Rais alikuwa ni RPC Mwanza na hakuna hatua zilizochukuliwa kupinga kauli hiyo si serikali Wala jeshi lenyewe.

Lakini baadaye tuliambiwa anatuhumiwa kutaka kuua viongozi ila hati ya mashtaka haisemi hivyo na hakuna kiongozi aliyetajwa alitaka kuuwawa.
Huyu nae ni kichaa tu .na ajabu Mbowe atashinda kesi sijui siku hyo ataweka wapi sula yake.kuna siku ataaibika
 
Katika kitu cha ajabu kutokea Tanzania ni kuona mtu ambayo yupo kwenye level ya juu kabisa ya walinzi wa amani na usalama wa raia akionesha chuki binafsi kwa mtanzania mwenzake. Huwezi kutoa hukumu ñzito kiasi hicho wakati unajua ni tuhuma na ziko mahakamani. Huu siyo uungwana na si ubinadamu, Mbowe ana watoto na familia inayotegemea kama wewe, acha kutenda dhambi kwa umri ulionao unapaswa kumuogopa Mungu.

Kuonesha kua una chuki kubwa na Mbowe ni kumshambulia yeye binafsi bila hata ya kufikiri kua hata wewe ni binadamu unaweza kupewa taarifa za uongo na uliowatuma wafanye upelelezi. Kama tu walinzi wake waliokuwa wakiteswa waseme kua Mbowe ni Gaid na wewe unasema Mbowe si malaika, siyo wewe umeagiza walinzi waseme Mbowe gaidi?

MBONA MASHTAKA YA KUUA VIONGOZI WA JUU SERIKALINI HAYAPO KAMA WALIVYORIPOTI POLISI?

Kudhihirisha wazi kua una chuki binafsi na uonevu kwa Mbowe, mwanzo kwenye taarifa iliyosomwa kwa uma na msemaji wa polisi David Misime iliripotiwa kua Mbowe alikua na tuhuma za kutaka kuua viongozi wa juu wa serikali, hilo Shtaka mbona halipo na badala yake ni kulipua vituo vya mafuta, kwanini polisi mlimtungia Mbowe taarifa za uongo? Hii siyo chuki binafsi?

Mzee wangu IGP kumbuka kwamba unastaafu kwenda mtaani na unahitaji kwenda kushirikiana na jamii, usiharibu mahusiano yako na jamii kwa kinywa chako. Kumbuka kua Mungu yupo na hapendezwi na haya na chozi la Mbowe asiye na hatia litakutia katika adhabu ya mwenyezi Mungu.
 
Kuwavunja miguu? Kwa kosa gani sasa? Wewe kwa hakika ni boya kweli kweli!

Au kwa kosa litakuwa lile lile lisilokuwapo kama alilobambikiziwa Mbowe? Nani asiyejua polisi Tanzania kubambikiza kesi ni moja ya majukumu yao halali yaliyoshamirishwa vilivyo katika awamu ile?

Ieleweke kuwa tunajua haki hatutaipata kwa kuomba au kupewa. Tuko tayari kuilipa gharama hiyo ambapo kwa kuvunjwa mguu tu, gharama hiyo ni sawa na bure.

Habari ndiyo hiyo.
acha mbwembwe keyboard warrior
 
Uongozi ni ngumu sana ndugu zangu sio kwa upande wa kamanda sirro au kwa upande wa mbowe yaani kila mmoja anagombania upande wake sasa sijui mulitaka kamanda sirro afanyeje au amchekee tu mbowe pia mulitaka mbowe afanyeje eeh yaani asiipiganie katiba
Kuna hoja ya msingi hapa
 
Msihangaike kumchambua Sirro.
Amesema Kuna mtego ulitegwa kwa mbowe akanasa.
Swali mtego huohuo ulitegwa kwa Lissu auawe na hakufa.
Sirro hakupenda kutega mtego wakuwanasa waliopiga risasi Lissu.
Mimi nawewe tupo mtegoni,
Mungu atategua tu
 
Haijawahi kutokea IGP Sirro akamkemea Paul Makonda wala Ole Sabaaya ambao walikua wanatumia vijana wake yeye mwenyewe IGP Sirro kufanyia uhalifu wa kutumia silaha za moto.

Wala hajawahi kuita press na kutamka na kukanya kwamba kuna viongozi wa serikali wanatumia vijana wake kisiasa kuwatesa na kuwateka kina Mo Dewj, Roma Mkatoliki, Erick Kabendera, Tito Magoti na Ben Saanane.

IGP Sirro yupo biased na anatumika kisiasa sana, jeshi la polisi halijawahi kupata Kamanda mwanasiasa kama huyu. Ni heri akaachana na maswala ya police halafu akagombee ubunge au udiwani huko Tarime au Mara.
 
Katika kitu cha ajabu kutokea Tanzania ni kuona mtu ambayo yupo kwenye level ya juu kabisa ya walinzi wa amani na usalama wa raia akionesha chuki binafsi kwa mtanzania mwenzake. Huwezi kutoa hukumu ñzito kiasi hicho wakati unajua ni tuhuma na ziko mahakamani. Huu siyo uungwana na si ubinadamu, Mbowe ana watoto na familia inayotegemea kama wewe, acha kutenda dhambi kwa umri ulionao unapaswa kumuogopa Mungu.

Kuonesha kua una chuki kubwa na Mbowe ni kumshambulia yeye binafsi bila hata ya kufikiri kua hata wewe ni binadamu unaweza kupewa taarifa za uongo na uliowatuma wafanye upelelezi. Kama tu walinzi wake waliokuwa wakiteswa waseme kua Mbowe ni Gaid na wewe unasema Mbowe si malaika, siyo wewe umeagiza walinzi waseme Mbowe gaidi?

MBONA MASHTAKA YA KUUA VIONGOZI WA JUU SERIKALINI HAYAPO KAMA WALIVYORIPOTI POLISI?

Kudhihirisha wazi kua una chuki binafsi na uonevu kwa Mbowe, mwanzo kwenye taarifa iliyosomwa kwa uma na msemaji wa polisi David Misime iliripotiwa kua Mbowe alikua na tuhuma za kutaka kuua viongozi wa juu wa serikali, hilo Shtaka mbona halipo na badala yake ni kulipua vituo vya mafuta, kwanini polisi mlimtungia Mbowe taarifa za uongo? Hii siyo chuki binafsi?

Mzee wangu IGP kumbuka kwamba unastaafu kwenda mtaani na unahitaji kwenda kushirikiana na jamii, usiharibu mahusiano yako na jamii kwa kinywa chako. Kumbuka kua Mungu yupo na hapendezwi na haya na chozi la Mbowe asiye na hatia litakutia katika adhabu ya mwenyezi Mungu.
Hatari sana
 
Msihangaike kumchambua Sirro.
Amesema Kuna mtego ulitegwa kwa mbowe akanasa.
Swali mtego huohuo ulitegwa kwa Lissu auawe na hakufa.
Sirro hakupenda kutega mtego wakuwanasa waliopiga risasi Lissu.
Mimi nawewe tupo mtegoni,
Mungu atategua tu
Hata wale mashee wa uhamsho police walijinasibu kuwa ni magaid lakin Leo wako huru, kwenye maisha huwezi shindana na ukweli mbowe sio gaid na Tanzania hatuna magaidi sababu hatujawahi kuwa na shambulio la kigaidi tokea jengo la marekan kulipuliwa
 
Katika kitu cha ajabu kutokea Tanzania ni kuona mtu ambayo yupo kwenye level ya juu kabisa ya walinzi wa amani na usalama wa raia akionesha chuki binafsi kwa mtanzania mwenzake. Huwezi kutoa hukumu ñzito kiasi hicho wakati unajua ni tuhuma na ziko mahakamani. Huu siyo uungwana na si ubinadamu, Mbowe ana watoto na familia inayotegemea kama wewe, acha kutenda dhambi kwa umri ulionao unapaswa kumuogopa Mungu.

Kuonesha kua una chuki kubwa na Mbowe ni kumshambulia yeye binafsi bila hata ya kufikiri kua hata wewe ni binadamu unaweza kupewa taarifa za uongo na uliowatuma wafanye upelelezi. Kama tu walinzi wake waliokuwa wakiteswa waseme kua Mbowe ni Gaid na wewe unasema Mbowe si malaika, siyo wewe umeagiza walinzi waseme Mbowe gaidi?

MBONA MASHTAKA YA KUUA VIONGOZI WA JUU SERIKALINI HAYAPO KAMA WALIVYORIPOTI POLISI?

Kudhihirisha wazi kua una chuki binafsi na uonevu kwa Mbowe, mwanzo kwenye taarifa iliyosomwa kwa uma na msemaji wa polisi David Misime iliripotiwa kua Mbowe alikua na tuhuma za kutaka kuua viongozi wa juu wa serikali, hilo Shtaka mbona halipo na badala yake ni kulipua vituo vya mafuta, kwanini polisi mlimtungia Mbowe taarifa za uongo? Hii siyo chuki binafsi?

Mzee wangu IGP kumbuka kwamba unastaafu kwenda mtaani na unahitaji kwenda kushirikiana na jamii, usiharibu mahusiano yako na jamii kwa kinywa chako. Kumbuka kua Mungu yupo na hapendezwi na haya na chozi la Mbowe asiye na hatia litakutia katika adhabu ya mwenyezi Mungu.
Ukiwa kwenye madaraka haya unakuwa kipofu . Ukitoka akili zinarudi. Sirro haioni Cdm kama chama cha kisiasa ' bali aniona kama kikundi cha ugaidi. Katiba yetu ni mbaya sana. Inawafanya maaskari kuwa kitengo cha kuwanyanyasa wapinzani.

Sirro anaelekea kustaafu lakini inaonekana hajaridhika. Huwezi kuwakataza watu kumtembelea mwenyekiti wao mahakamani . Sheria za wapi ?! Aziainishe
 
Press conference yote ya Siro imejaa NIA ya mateso kwa watanzania wenzetu wapinzani bila sababu.
Kwa muktadha huo, naomba awekewe FATWA.
FATWA NAAMA YAKE INAJULIKANA, KAMA HUJUI GOOGLE
ujinga wa waarabu tu huo, hakuna lolote[emoji706]
 
Back
Top Bottom