IGP Sirro: CHADEMA wanamuona Mbowe Malaika hawezi kosea, ushahidi tunao

Cha ajabu hakuna mfuasi wa mwenyekiti atakae thubutu kumuuliza Kama Ni kweli ama la.
 
Hu
Katika kitu cha ajabu kutokea Tanzania ni kuona mtu ambayo yupo kwenye level ya juu kabisa ya walinzi wa amani na usalama wa raia akionesha chuki binafsi kwa mtanzania mwenzake. Huwezi kutoa hukumu ñzito kiasi hicho wakati unajua ni tuhuma na ziko mahakamani. Huu siyo uungwana na si ubinadamu, Mbowe ana watoto na familia inayotegemea kama wewe, acha kutenda dhambi kwa umri ulionao unapaswa kumuogopa Mungu.

Kuonesha kua una chuki kubwa na Mbowe ni kumshambulia yeye binafsi bila hata ya kufikiri kua hata wewe ni binadamu unaweza kupewa taarifa za uongo na uliowatuma wafanye upelelezi. Kama tu walinzi wake waliokuwa wakiteswa waseme kua Mbowe ni Gaid na wewe unasema Mbowe si malaika, siyo wewe umeagiza walinzi waseme Mbowe gaidi?

MBONA MASHTAKA YA KUUA VIONGOZI WA JUU SERIKALINI HAYAPO KAMA WALIVYORIPOTI POLISI?

Kudhihirisha wazi kua una chuki binafsi na uonevu kwa Mbowe, mwanzo kwenye taarifa iliyosomwa kwa uma na msemaji wa polisi David Misime iliripotiwa kua Mbowe alikua na tuhuma za kutaka kuua viongozi wa juu wa serikali, hilo Shtaka mbona halipo na badala yake ni kulipua vituo vya mafuta, kwanini polisi mlimtungia Mbowe taarifa za uongo? Hii siyo chuki binafsi?

Mzee wangu IGP kumbuka kwamba unastaafu kwenda mtaani na unahitaji kwenda kushirikiana na jamii, usiharibu mahusiano yako na jamii kwa kinywa chako. Kumbuka kua Mungu yupo na hapendezwi na haya na chozi la Mbowe asiye na hatia litakutia katika adhabu ya mwenyezi Mungu.
Huyu siro ni hovyo kabisa.
 
Sirro katoa tamko kwa hasira kama vile ana kadi ya CCM mfukoni.
 
Msihangaike kumchambua Sirro.
Amesema Kuna mtego ulitegwa kwa mbowe akanasa.
Swali mtego huohuo ulitegwa kwa Lissu auawe na hakufa.
Sirro hakupenda kutega mtego wakuwanasa waliopiga risasi Lissu.
Mimi nawewe tupo mtegoni,
Mungu atategua tu
Upinzani wote lazima tuwastukie.Yapo mapandikizi mengi sana Tanzania.Soma taarifa hii.👇

MBOWE ni Gaidi na mhujumu uchumi ndiye aliyetoboa bomba la mafuta Kigamboni
 
Sirro ufahamu kuwa sisi kama watu wenye akili zetu:

1. Tunajua kuwa mwenyekiti Mbowe mmembambikizia kesi
2. Tuko kwenye nafasi za kujua mnambambikizia kesi
3. Tunajua ni haki yetu kuja mahakamani
4. Tunakutaka ujue tutakuwapo mahakamani wala usitutishe
5. Tunakutaka umwogope Mungu wako kwani kushuhudia uongo huku ukilitaja jina lake bure, Mola anakataza
6. Tunakutaka uwashauri wenzio mtafute magereza zaidi ya kutuweka katika mamilioni yetu
7. Tunakutaka uziheshimu haki zetu
8. Tunakutaka uheshimu katiba

Ni hayo tu. Kwako kamanda.
Bro maandamano lini,nataka kuja kuwapa kampani,nishapiga Chanjo na itazuwia hadi maaumivu ya hicho kipigo Cha Mbwa kokoo!!
 
Kuwavunja miguu? Kwa kosa gani sasa? Wewe kwa hakika ni boya kweli kweli!

Au kwa kosa litakuwa lile lile lisilokuwapo kama alilobambikiziwa Mbowe? Nani asiyejua polisi Tanzania kubambikiza kesi ni moja ya majukumu yao halali yaliyoshamirishwa vilivyo katika awamu ile?

Ieleweke kuwa tunajua haki hatutaipata kwa kuomba au kupewa. Tuko tayari kuilipa gharama hiyo ambapo kwa kuvunjwa mguu tu, gharama hiyo ni sawa na bure.

Habari ndiyo hiyo.
Mikwara Mbuzi hiyo,Kama kweli mnaweza ingieni road tuwaone,nyuma ya keyboard mnakuwa wababe sana!!
 
Minyoo ni shida
Wewe mbweha acha ufala kwani uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho? Kipimo cha ufala udwanzi uzuzu hapa JF huwa ni kuisengenya ID ya JF ambayo haitokani na ubatizo msikitini wala kanisani ndiyo maana hata ID yako haijadiliwi licha ya kuwa ya kishamba, humu wapo busy na mada siyo ujinga kama wako wa kuendekeza vitendo haramu vya kishamba na kishetani kuwaonea kuwabambikia kesi wapinzani
 
Sad time for our country

stupidity proMax is on the rise
 
Mikwara Mbuzi hiyo,Kama kweli mnaweza ingieni road tuwaone,nyuma ya keyboard mnakuwa wababe sana!!
Kwani wewe upo mbele ya keyboard ukitukuza ushetani wenu? hata wewe upo nyuma ya keyboard ukichochea uonevu unyanyasaji kwa watu ambao hawana siraha Bunduki wateswe kwa kubambikiwa kesi na Polisiccm
 
Sad time for our country

stupidity proMax is on the rise
Akili zenyewe huna unawezaje kujua ujinga? Kwa upumbavu wako unadhani kuandika kakingereza ka ngama ka dictionary unajiona eti una Akili? CCM acheni kuwatumia wajinga wajinga kama hawa kuwatetea mitandaoni kwani badala ya kuisaidia CCM huwa wanawadhalilisha zaidi
 
Watetezi wa CCM muogopeni mungu na Tambueni kuwa hakuna mabaya yasiyo na mwisho na mwisho wa ubaya ni Aibu
 
Katika kitu cha ajabu kutokea Tanzania ni kuona mtu ambayo yupo kwenye level ya juu kabisa ya walinzi wa amani na usalama wa raia akionesha chuki binafsi kwa mtanzania mwenzake. Huwezi kutoa hukumu ñzito kiasi hicho wakati unajua ni tuhuma na ziko mahakamani. Huu siyo uungwana na si ubinadamu, Mbowe ana watoto na familia inayotegemea kama wewe, acha kutenda dhambi kwa umri ulionao unapaswa kumuogopa Mungu.

Kuonesha kua una chuki kubwa na Mbowe ni kumshambulia yeye binafsi bila hata ya kufikiri kua hata wewe ni binadamu unaweza kupewa taarifa za uongo na uliowatuma wafanye upelelezi. Kama tu walinzi wake waliokuwa wakiteswa waseme kua Mbowe ni Gaid na wewe unasema Mbowe si malaika, siyo wewe umeagiza walinzi waseme Mbowe gaidi?

MBONA MASHTAKA YA KUUA VIONGOZI WA JUU SERIKALINI HAYAPO KAMA WALIVYORIPOTI POLISI?

Kudhihirisha wazi kua una chuki binafsi na uonevu kwa Mbowe, mwanzo kwenye taarifa iliyosomwa kwa uma na msemaji wa polisi David Misime iliripotiwa kua Mbowe alikua na tuhuma za kutaka kuua viongozi wa juu wa serikali, hilo Shtaka mbona halipo na badala yake ni kulipua vituo vya mafuta, kwanini polisi mlimtungia Mbowe taarifa za uongo? Hii siyo chuki binafsi?

Mzee wangu IGP kumbuka kwamba unastaafu kwenda mtaani na unahitaji kwenda kushirikiana na jamii, usiharibu mahusiano yako na jamii kwa kinywa chako. Kumbuka kua Mungu yupo na hapendezwi na haya na chozi la Mbowe asiye na hatia litakutia katika adhabu ya mwenyezi Mungu.
Sirro atavuna anachopanda
 
Siro anatumika na Sukuma Gang kumhujumu Rais Samia. Naye Mh.Rais kaingia mzima mzima kwenye huu mtego wa wahafidhina wa CCM akiamini wanamsaidia kuwakomoa Chadema.
 
Back
Top Bottom