IGP Sirro: CHADEMA wanamuona Mbowe Malaika hawezi kosea, ushahidi tunao

IGP Sirro: CHADEMA wanamuona Mbowe Malaika hawezi kosea, ushahidi tunao

Kwa ushaidi huu Mbowe hatobowi, mkiaambiwa Tanzania kuna Wapelelezi wazalendo mnaleta dharau,Sasa utakayokuta Mahakamani utamuogopa hadi Mbowe mwenyewe!!
Ushahidi upi? Ushahidi wa kutengeneza kwa njia haramu za kishetani hautafaulu kamwe
 
Wewe tumia Akili pia IGP kasema chadema wasiende mahakamaccm wanaonekana ni maandamano, sasa chadema wakusikilize wewe uliyejifanya una Akili za kupingana na IGP au waende mahakamaccm mkawakamate wabambikiwe kesi zingine za kuonekana wamefanya fujo mahakamaccm wakati hakuna fujo yeyote.

Tumieni akili. What’s the point, for example, of sending a contingent of 500 laymen to the courthouse?
 
Tumieni akili. What’s the point, for example, of sending a contingent of 500 laymen to the courthouse?
Wewe umetumia nini kuandika hicho kingereza cha hovyo kisicho na chembe ya uelewa, anza kuwa na Akili kwanza ndipo ujue kuwanyoshea wengine vidole, nani kakuambia una Akili mpaka ya kujua asiye na Akili kama wewe?
 
Kuna watu huko CCM wanavuta Bangi mpaka kuamini kuwa ili uonekane una Akili ni kutetea uonevu unyanyasaji kuwabambikia kesi wapinzani, Yaani kutetea udhalimu udikiteta ni Akili?
 
Wewe umetumia nini kuandika hicho kingereza cha hovyo kisicho na chembe ya uelewa, anza kuwa na Akili kwanza ndipo ujue kuwanyoshea wengine vidole, nani kakuambia una Akili mpaka ya kujua asiye na Akili kama wewe?

Hebu tuletee English version ya ulichoandika hapa!

Mwenye akili hawezi kung’ang’ana kupeleka lundo la laymen mahakamani. It serves no purpose whatsoever!
 
Hebu tuletee English version ya ulichoandika hapa!

Mwenye akili hawezi kung’ang’ana kupeleka lundo la laymen mahakamani. It serves no purpose whatsoever!
Acha ujinga laymen kivipi? Wanachadema siyo Laymen kama wewe, na siyo kwamba wangeenda kujazana mahakamaccm bali mmeamua kujihami mapema kukwepa fedheha, wewe ni laymen huna unachokijua zaidi ya kutukuza uonevu unyanyasaji wa CCM kwa wapinzani
 
Hizo propaganda za kishamba shamba watengenezeeni mazezeta huko gheto unaposhinda ukivuta Bangi,lakini Tambua watanzania wenye Akili timamu wanajua ukweli kuwa chadema hakuna Gaidi bali sasa ukidai katiba mpya ni ugaidi
Sawa,sisi wananchi tunaifanyia kazi.Na mbona taarifa za baadhi ya wapinzani zinaonyesha kwamba hii ni kweli?Hivi Antipas ni nani anamlipia kukaa Belgium na Lema nani anamlipia kukaa Canada?Sidhani kama unahitaju akili nyingi sana kujua kwamba hawa ni agents wa mabeberu.Iko wazi.
 
Acha ujinga laymen kivipi? Wanachadema siyo Laymen kama wewe, na siyo kwamba wangeenda kujazana mahakamaccm bali mmeamua kujihami mapema kukwepa fedheha, wewe ni laymen huna unachokijua zaidi ya kutukuza uonevu unyanyasaji wa CCM kwa wapinzani
Nadhani msaliti ana deserve this kind of treatment.Iacheni serikali ifanye kazi yake,ina taarifa ambazo mwananchi wa kawaida hana,mnajuaje kama he is commander of the CIA secret army in Tanzania?
 
IGP sirro ni mcha mungu alkadhalka viongozi wetu wakuu pia ni wacha mungu nadhani kwa mara ya kwanza ndani ya nchi yetu suala la bwana mbowe ikiwezekena lijadiliwe katika mahakama ya wazi tena iliyo huru ushahidi zote ziwekwe hadharani ili kusiwepo na kundi ambalo labda likaona linanyanyasika maana wapo wanaoona labda binadamu wengine ni miungu watu na hawawezi kufanya makosa au jinai.
 
AMANI YA NCHI NI MUHIMU SANA KULIKO wafuasi wa Chadema, kamwe tusikubali wahuni wachache wakajaribu kuichezea Amani yetu.
yeyote atakaye jiona ana uhalali wa kuchezea amani yetu ana stahili au wanastahili kuchakazwa vilivyo ili iwe fundisho kwa wengine.
Jeshi letu linapaswa kufuatilia nyenendo za wafuasi wa chadema kwa karibu zaidi usiku na mchana maana baadhi yao wana chembe chembe za UGAIDI.
 
IGP sirro ni mcha mungu alkadhalka viongozi wetu wakuu pia ni wacha mungu nadhani kwa mara ya kwanza ndani ya nchi yetu suala la bwana mbowe ikiwezekena lijadiliwe katika mahakama ya wazi tena iliyo huru ushahidi zote ziwekwe hadharani ili kusiwepo na kundi ambalo labda likaona linanyanyasika maana wapo wanaoona labda binadamu wengine ni miungu watu na hawawezi kufanya makosa au jinai.
Litakuwa wazi tu kama la Sabaya, hilo toa wasi wasi kwani kwa katiba yetu watu wote wako sawa mbele ya sheria.
 
Jana Jumatatu nikiangalia TV nilimuona IGP akisema kwa ukali kuwa wana ushahidi usio na mashaka na akawataka wasiomuamini wakamuulize Mbowe ambaye ni mkiristu kwa kweli hakutenda! Hii ni hukumu nje ya mahakama na inafanya kusiwe na sababu ya Mbowe ambaye tayari ni mkosaji kusiwe na sababu ya kumfikisha mahakamani ila apelekwe gerezani.
Hata Mwigulu Nchemba alisemaga ana Ushahidi Duniani Mpaka Mbinguni kuwa CHADEMA ni Ma Gaidi
 
Sirro ana intelijensia ya kugundua njama za kuua viongozi. Lkn jeshi lake halina uwezo wa kugundua mauwaji ya viongozi wa upinzani......John Pambalu
 
Acha ujinga laymen kivipi? Wanachadema siyo Laymen kama wewe, na siyo kwamba wangeenda kujazana mahakamaccm bali mmeamua kujihami mapema kukwepa fedheha, wewe ni laymen huna unachokijua zaidi ya kutukuza uonevu unyanyasaji wa CCM kwa wapinzani

Minyoo umezidiwa na minyoo mpaka ukawa bonge ya ignorant; hujui hata maana ya neno “layman”. Unadhani mtu akishakuwa na kaelimu kokote kale, basi yeye, under any circumstances, hawezi kuwa layman! Nje ya taaluma yake, hata professor wa uchumi anakuwa layman tu!
 
Back
Top Bottom