Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Chapa huyo mbogamboga 🤣🤣🤣Wewe mbweha acha ufala kwani uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho? Kipimo cha ufala udwanzi uzuzu hapa JF huwa ni kuisengenya ID ya JF ambayo haitokani na ubatizo msikitini wala kanisani ndiyo maana hata ID yako haijadiliwi licha ya kuwa ya kishamba, humu wapo busy na mada siyo ujinga kama wako wa kuendekeza vitendo haramu vya kishamba na kishetani kuwaonea kuwabambikia kesi wapinzani
Nilitamani sana kwenda kumuuliza lakini wamemficha.. IGP alitaka tukamuulizie wapi?Jana Jumatatu nikiangalia TV nilimuona IGP akisema kwa ukali kuwa wana ushahidi usio na mashaka na akawataka wasiomuamini wakamuulize Mbowe ambaye ni mkiristu kwa kweli hakutenda! Hii ni hukumu nje ya mahakama na inafanya kusiwe na sababu ya Mbowe ambaye tayari ni mkosaji kusiwe na sababu ya kumfikisha mahakamani ila apelekwe gerezani.
Ni kweli kabisa, IGP aliyesema atamtaja aliyejiunganishia bomba la mafuta ndani ya siku 7, lakini ni zaidi ya mwezi sasa hajamtaja huyo mtu. Na wala wakampeleka mahakamani.Ni
naamini haonewi mtu ndio maana napendekeza ushahidi wote uwekwe hadharani endapo kama upo
Siro baada ya kushinikizwa na sukuma gang anatafuta namna ya kumrescue mbowe kwa kuwapa upande wa utetezi legal technicalities na amegundua amekoseaJana Jumatatu nikiangalia TV nilimuona IGP akisema kwa ukali kuwa wana ushahidi usio na mashaka na akawataka wasiomuamini wakamuulize Mbowe ambaye ni mkiristu kwa kweli hakutenda! Hii ni hukumu nje ya mahakama na inafanya kusiwe na sababu ya Mbowe ambaye tayari ni mkosaji kusiwe na sababu ya kumfikisha mahakamani ila apelekwe gerezani.
Kilichomponza Mbowe ni kutaka kulazimisha mambo iwe isiwe madhara yake ndio haya angekuwa na subira yasingemkuta hayaKuna kitu kinanitatiza kimawazo.
Kwanza siamini kwamba hii kesi ya Mbowe ni utashi wa Mama Samia.
Mama Samia aliingia madarakani kama msahihishaji wa excesses za Awamu iliyopita,.
Na kiukweli watu tulianza kupata amani na imani na serikali.
Na si sisi tu waTanzania , bali watu wengi toka nje ya nchi na hata wawakilishi wa kibalozi nchini hapa walionyesha wazi kuridhika na msimamo wa Mama Samia juu ya mwenendo mpya wa nchi.
Mwenendo huo ni kiusalama na kiuchumi na hata kwa haki za binadamu.
Sasa hivi ati Mama kabadilika, na kina Mbowe, hata baada ya ahueni hii ya kisiasa ya Awamu ya sita, nao wamebadilika?
Kina Mbowe wanaanza kutafuta chokochoko za kigaidi?
Siamini.
Na mtetezi mkubwa wa hali hii sasa amekuwa kamanda Sirro?
Hatujui nini kiko nyuma ya pazia.
Wale waliokuwa wanamuona Mama ni wa Haki sasa wanaenda kusikiliza wenyewe kesi Mhakamani
Jamani taratibu , nchi hii ya Mungu ni yetu sote!!!
Mama anachojua ni kuteua mkwe kulinda maslahi yake,mama ndio katoa idhini kumpa hiyo kesi akisaidiwa na mkwe mvuvi wa rufiji,ccm kumejaa majambazi,wauaji,mafisadi...policeccm wote ni makada wa ccmKuna kitu kinanitatiza kimawazo.
Kwanza siamini kwamba hii kesi ya Mbowe ni utashi wa Mama Samia.
Mama Samia aliingia madarakani kama msahihishaji wa excesses za Awamu iliyopita,...
Labda nifafanulie, ufafanuzi huo ninautaka kutoka kwako ni kwa niaba yangu tu.Kilichomponza Mbowe ni kutaka kulazimisha mambo iwe isiwe madhara yake ndio haya angekuwa na subira yasingemkuta haya
Wanamuingiza mama chaka. Imani yangu Mama si wahivyo. Namuonea huruma. Maana wanampa majukumu si yake. Wanamlazimisha. Mama STUKA ULIO WATEUA si wema kwako.makinika Mama binafsi yangu nakupenda Sana Mama.Kuna kitu kinanitatiza kimawazo.
Kwanza siamini kwamba hii kesi ya Mbowe ni utashi wa Mama Samia...
Hapa ndio.baadhi yenu mnanishangaza, alipokamatwa sabaya tulimshukuru mama, walipoachiwa masheikh tulimshukuru mama, Sasa Tena iweje kwenye kukamatwa mbowe huyu mama asihusike?Wanamuingiza mama chaka. Imani yangu Mama si wahivyo. Namuonea huruma. Maana wanampa majukumu si yake. Wanamlazimisha. Mama STUKA ULIO WATEUA si wema kwako.makinika Mama binafsi yangu nakupenda Sana Mama.
Na mimi nafikiria hivyo.Wanamuingiza mama chaka. Imani yangu Mama si wahivyo. Namuonea huruma. Maana wanampa majukumu si yake. Wanamlazimisha. Mama STUKA ULIO WATEUA si wema kwako.makinika Mama binafsi yangu nakupenda Sana Mama.