IGP Sirro: CHADEMA wanamuona Mbowe Malaika hawezi kosea, ushahidi tunao

IGP Sirro: CHADEMA wanamuona Mbowe Malaika hawezi kosea, ushahidi tunao

Wewe mbweha acha ufala kwani uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho? Kipimo cha ufala udwanzi uzuzu hapa JF huwa ni kuisengenya ID ya JF ambayo haitokani na ubatizo msikitini wala kanisani ndiyo maana hata ID yako haijadiliwi licha ya kuwa ya kishamba, humu wapo busy na mada siyo ujinga kama wako wa kuendekeza vitendo haramu vya kishamba na kishetani kuwaonea kuwabambikia kesi wapinzani
Chapa huyo mbogamboga 🤣🤣🤣
 
Polisi ni wahuni kama wahuni wanao kimbizana nao kila kukicha...huyo aijipii ni moja kati ya wapuuzi wengi nchini.
 
Jana Jumatatu nikiangalia TV nilimuona IGP akisema kwa ukali kuwa wana ushahidi usio na mashaka na akawataka wasiomuamini wakamuulize Mbowe ambaye ni mkiristu kwa kweli hakutenda! Hii ni hukumu nje ya mahakama na inafanya kusiwe na sababu ya Mbowe ambaye tayari ni mkosaji kusiwe na sababu ya kumfikisha mahakamani ila apelekwe gerezani.
Nilitamani sana kwenda kumuuliza lakini wamemficha.. IGP alitaka tukamuulizie wapi?
 
Ni

naamini haonewi mtu ndio maana napendekeza ushahidi wote uwekwe hadharani endapo kama upo
Ni kweli kabisa, IGP aliyesema atamtaja aliyejiunganishia bomba la mafuta ndani ya siku 7, lakini ni zaidi ya mwezi sasa hajamtaja huyo mtu. Na wala wakampeleka mahakamani.
 
Jana Jumatatu nikiangalia TV nilimuona IGP akisema kwa ukali kuwa wana ushahidi usio na mashaka na akawataka wasiomuamini wakamuulize Mbowe ambaye ni mkiristu kwa kweli hakutenda! Hii ni hukumu nje ya mahakama na inafanya kusiwe na sababu ya Mbowe ambaye tayari ni mkosaji kusiwe na sababu ya kumfikisha mahakamani ila apelekwe gerezani.
Siro baada ya kushinikizwa na sukuma gang anatafuta namna ya kumrescue mbowe kwa kuwapa upande wa utetezi legal technicalities na amegundua amekosea
 
Sirro ni Zero kabisa, muda umemtupa mkono na anajua mama hamuongezei sasa anatafuta kick
 
Screenshot_2021-08-03-09-18-03.png
katiba mpya ni muhimu sana.
 
Baada ya uchaguzi mkuu 2020 nilishangaa viongozi wa Chadema kuanza kutimka mbiooo kumbe walikuwa magaidi waliotaka kuvuruga amani ya nchi yetu poleni sana Wanachadema kushsbikia magaidi
 
Kuna kitu kinanitatiza kimawazo.
Kwanza siamini kwamba hii kesi ya Mbowe ni utashi wa Mama Samia.

Mama Samia aliingia madarakani kama msahihishaji wa excesses za Awamu iliyopita,.
Na kiukweli watu tulianza kupata amani na imani na serikali.

Na si sisi tu waTanzania , bali watu wengi toka nje ya nchi na hata wawakilishi wa kibalozi nchini hapa walionyesha wazi kuridhika na msimamo wa Mama Samia juu ya mwenendo mpya wa nchi.
Mwenendo huo ni kiusalama na kiuchumi na hata kwa haki za binadamu.

Sasa hivi ati Mama kabadilika, na kina Mbowe, hata baada ya ahueni hii ya kisiasa ya Awamu ya sita, nao wamebadilika?
Kina Mbowe wanaanza kutafuta chokochoko za kigaidi?

Siamini.

Na mtetezi mkubwa wa hali hii sasa amekuwa kamanda Sirro?
Hatujui nini kiko nyuma ya pazia.
Wale waliokuwa wanamuona Mama ni wa Haki sasa wanaenda kusikiliza wenyewe kesi Mhakamani
Jamani taratibu , nchi hii ya Mungu ni yetu sote!!!
 
Ipo wazi huenda amebariki, mbali ya Katiba, mipango kina madelu Tozo Watanzania wapoteze focus, maisha yaendelee.
 
Kuna kitu kinanitatiza kimawazo.
Kwanza siamini kwamba hii kesi ya Mbowe ni utashi wa Mama Samia.

Mama Samia aliingia madarakani kama msahihishaji wa excesses za Awamu iliyopita,.
Na kiukweli watu tulianza kupata amani na imani na serikali.

Na si sisi tu waTanzania , bali watu wengi toka nje ya nchi na hata wawakilishi wa kibalozi nchini hapa walionyesha wazi kuridhika na msimamo wa Mama Samia juu ya mwenendo mpya wa nchi.
Mwenendo huo ni kiusalama na kiuchumi na hata kwa haki za binadamu.

Sasa hivi ati Mama kabadilika, na kina Mbowe, hata baada ya ahueni hii ya kisiasa ya Awamu ya sita, nao wamebadilika?
Kina Mbowe wanaanza kutafuta chokochoko za kigaidi?

Siamini.

Na mtetezi mkubwa wa hali hii sasa amekuwa kamanda Sirro?
Hatujui nini kiko nyuma ya pazia.
Wale waliokuwa wanamuona Mama ni wa Haki sasa wanaenda kusikiliza wenyewe kesi Mhakamani
Jamani taratibu , nchi hii ya Mungu ni yetu sote!!!
Kilichomponza Mbowe ni kutaka kulazimisha mambo iwe isiwe madhara yake ndio haya angekuwa na subira yasingemkuta haya
 
Kuna kitu kinanitatiza kimawazo.
Kwanza siamini kwamba hii kesi ya Mbowe ni utashi wa Mama Samia.

Mama Samia aliingia madarakani kama msahihishaji wa excesses za Awamu iliyopita,...
Mama anachojua ni kuteua mkwe kulinda maslahi yake,mama ndio katoa idhini kumpa hiyo kesi akisaidiwa na mkwe mvuvi wa rufiji,ccm kumejaa majambazi,wauaji,mafisadi...policeccm wote ni makada wa ccm
 
Kilichomponza Mbowe ni kutaka kulazimisha mambo iwe isiwe madhara yake ndio haya angekuwa na subira yasingemkuta haya
Labda nifafanulie, ufafanuzi huo ninautaka kutoka kwako ni kwa niaba yangu tu.

Ni lugha ipi watawala na Wana ccm wanaielewa?

Yaan, mbowe na hitaji LA Katiba mpya kwa ujumla lilipaswa lidaiwe vipi kwa mjibu wako wewe?

Na mbowe kalazimisha vipi?
 
Huyu Maza ni wale wanawake ambao unaweza kuwadanganya kirahisi tu yaani unaweza kumwambia magorofa yote ya Daresalam ni ya kwetu na akakuamini.
 
Raisi Samia hahusiki na chochote. Mbowe kaanza kushutumiwa au kuhusishwa na umafia dhidi ya wenzake muda mrefu sana kabla mama Samia hajawa hata makamu wa raisi.

Mbowe alihusishwa na kifo cha chacha wangwe baada ya chacha kuonesha nia ya kutaka kupambana nae kwenye uenyekiti wa chama, Mbowe kahusishwa na lile sakata la kutaka kummaliza Zito na sumu bahati nzuri mmanyema yule kachanjiwa na kuzindikwa barabara huko kwao ujiji.

Mbowe kahusishwa na kupotea kwa Ben saa8 baada ya kufika ofisini kwake na kupotea katika mazingira ya kutatanisha, hapo hatujaweka zile shutuma za kushambuliwa Lisu baada ya kuonekana anaweza kupindua meza kabla ya uchaguzi mkuu wa chama kufika nk. Kwahiyo huyu jamaa anashutuma nyingi na kwahiyo vyombo vya dola vimeamua sasa vimkamate ili kumchunguza kwa shutuma zote anazohusishwa nazo.
 
Wanamuingiza mama chaka. Imani yangu Mama si wahivyo. Namuonea huruma. Maana wanampa majukumu si yake. Wanamlazimisha. Mama STUKA ULIO WATEUA si wema kwako.makinika Mama binafsi yangu nakupenda Sana Mama.
Hapa ndio.baadhi yenu mnanishangaza, alipokamatwa sabaya tulimshukuru mama, walipoachiwa masheikh tulimshukuru mama, Sasa Tena iweje kwenye kukamatwa mbowe huyu mama asihusike?
 
Wanamuingiza mama chaka. Imani yangu Mama si wahivyo. Namuonea huruma. Maana wanampa majukumu si yake. Wanamlazimisha. Mama STUKA ULIO WATEUA si wema kwako.makinika Mama binafsi yangu nakupenda Sana Mama.
Na mimi nafikiria hivyo.

Wasifu wa Mama umeanza kupuliza hewa mbaya!!
 
Baada ya kesi ya uongo ya ugaidi inayomkabili Mcha Mungu Mbowe kuonekana kuamsha presha ndani na nje ya Nchi , huku Jumuiya ya Ulaya (EU) , Amnesty International na Ubalozi wa Marekani kutangaza kutuma wawakilishi wake Mahakamani ili kusikiliza ugaidi wa Mbowe , pia kitendo cha Chadema kuhamasisha wanachama wake nchi nzima kuhudhuria kesi hiyo , ambapo Mabasi kadhaa kutoka mikoani yameanza kuleta wafuasi wa chama hicho tangu tarehe 1.8.2021 Jijini DSM , Mamlaka nchini Tanzania imepata mchecheto na tayari kuna tetesi kwamba huenda Mtuhumiwa huyo asifikishwe Mahakamani ili kuahirisha Munkali wa dunia .

Tuendelee kutega sikio hapa hapa JF kwa taarifa zaidi
 
Back
Top Bottom