IGP Sirro: CHADEMA wanamuona Mbowe Malaika hawezi kosea, ushahidi tunao

Nimeshangaa Mbatia anasema eti hii kesi ya awamu ya Tano hivo iachwe tu huku kasahau kuwa walishadidia sana kesi ya Sabaya ambayo nayo ni ya awamu ya Tano.
Yaani kifupi wapinzani ndo wanajiona wanastahili immunity juu ya wengine wote mawazo ya ajabu kabisa.
 
Sasa mkuu unapambanaje na mtu asiyejua hata kuandika kitu kikaeleweka???,utapata ugonjwa wa moyo bure ndugu yangu 🤣 🤣 🤣
 
Ajue kuw kulikuwa na akina gewe, mahita, ernest mangu, saidi mwema, na haruni mahundi. Wote hatuwasikii. Tumeshawasahau. Na yeye tunamsubiri uraiani na anayfanya yatamrudi. Polisi kazi yao kukusanya ushahidi na kupeleka mahakamani siyo kuamua kumconvict mtu. kai ya kuconvict ni ya mahakama baada ya kujiridhisha na ushahidi. Tuamsubiri tu!!!
 
Wasalaam

Kinachoendelea nchini, mvurugano kat ya police vs CHADEMA, tusipokua makini ipo siku itakua vita kati ya wananchi na police, siombei ila natoa angalizo

Amani ya nchi hii ni lulu ya taifa tuilinde, police fanyeni kazi kwa weled na sio kwa maagizo ya kiongozi, jeshi la raia ni kubwa na linanguvu kuliko jeshi la police nadhan hilo halina ubish!

Tupendane, tushikamane, tuwe kitu kimoja , tuilinde aman ya nchi yetu
 
Waonevu na waache uonevu.
 
Hakuna kitu kama icho ndani ya hii Animals kingdom.
Sahau kabisa
 
Kwahiyo tujikite kuwaunga mkono na kuwatetea wauza ubongo pale geti la kijani sio?
 
Mkuu "pebari" ndyo nn??

Kwa hali hii unaweza mtetea mtu ikaeleweka kweli??
 
Wewe na MATAGA wenzio endeleeni kujenga shule sijui nani aliyezibomoa.!
 
Huu mwandiko ni wa Kamanda Asiyechoka . Chuki zako dhidi ya Mbowe tunazijua.
 
Nasikitika kuona makongamano ya KATIBA MPYA yamesimama tangu Mh Mbowe akamatwe na wale majambazi kule Mwanza.
 
Kwaiyo ajira za jeshi la polisi umeona ndio jambo la msingi sana kuliko ajira zingne?
Kujenga mashule mengi pasipo kuwa na mitaala na sela zinazoendana na wakati wa sasa napo ni kazi bure.
NB: Sijasema kuwa wasijenge

Ujenzi wa hospital ni jambo la mhimu ila swali ni je huduma itakayo tolewa kwenye hizo hospital zitakizi mahitaji?

Ebu ongeza nyama kwenye uzi wako na ufafanue vizur
 
Yeye bepari ila weye chinga, au sio?
 
Unajua maana ya mambo ya msingi?
 
Wewe hata familia yako haikujadili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…