IGP Sirro: CHADEMA wanamuona Mbowe Malaika hawezi kosea, ushahidi tunao

Mamlaka ya urais ni lazima iwe Safi muda wote siro sio msafi hatakiwi hata kukanyaga ofisi ya Rais ikulu.
Una yaona hayo tu?
Huyu mzee kwanza ni fisadi mkubwa.
Unajua kuwa anamiliki mijengo nchi nzima?
Sirro ana utajiri wa kutisha, akibisha tuorofheshe hapa
 
Modes Niko chini ya miguu msifute Uzi wangu siro anatuharibia taifa tunasema haya kwa uwazi mamlaka zilizo juu yake zichukue hatua.
Kama hakuna kigenge lilichokuwa nyuma yake,itakuwa ni mmojawa wanasgang.
 
Siro anashida gani wewe? Si ulale? Haujapata cha asubuhi? Anawanyima usingizi majizi na majambazi? Ma IGP bora kabisa kuwahi kuwa nao nchi hii ni sirro. Especially suala la ujambazi amelitokomeza kabisa.
Pichani Ni Mwanachama wa @ChademaTz Deus Soka (@DEUSNOWOFFICIA1) Akifanyiwa Ukatili wa hali ya Juu na Jeshi la Police @tanpol kwa kukanyagwa Shingo na Sehemu nyingine za mwili wake kwa tuhuma za Kuvaa T-shert yenye Maandishi ya #KatibaMpya!!
#freeDeus
#freeDeus
#MboweSioGaidi https://t.co/FvdVYvldfr
 
Doa lipi? Hakuna Rais mpumbavu atawatoa wanaolinda utawala wake labda awe mpuuzi kama mtoa mada.

Maza kamatia hapo hapo Hawa si wa kucheka nao
 
Doa lipi? Hakuna Rais mpumbavu atawatoa wanaolinda utawala wake labda awe mpuuzi kama mtoa mada.

Maza kamatia hapo hapo Hawa si wa kucheka nao
Wenye mawazo ya kibambikiaji kama wewe ilifaa usiwe Mtanzania keanu sio desturi zetu.
 
 

Siku hizi JF ina mamlaka ya kupokea na kutathimini ushahidi dhidi ya watuhumiwa wa uhalifu?

At the end of the day, Ayatollah Mbowe is presumed innocent till proven guilty! And proving him guilty is none of our business here.
 
Siku hizi JF ina mamlaka ya kupokea na kutathimini ushahidi dhidi ya watuhumiwa wa uhalifu?

At the end of the day, Ayatollah Mbowe is presumed innocent till proven guilty! And proving him guilty is none of our business here.
Kabisa mkuu. Innocent until proven guilty. Na hawataweza kumbambikia!!!!
 
Siliasi Sielewi lengo la wanasiasa wetu.
1. Ivi kusota Rumande kwa mbowe Leo NI kwa maendeleo endelevu ya nchi au Kwa usalama ama kulinda matumbo ya wanaccm.

2. Nimemuona Mbowe na Pingu mikononi ukweli Machozi yamenitoka. Huu NI ukatili wa Hali ya juu.

3. Ukiangalia kesi na ushaidi uliopo inaumiza Sana.

Kama taifa tunaitaji badiliko kubwa Sana kuelekea siasa za haki.
Mungu atujalie wepesi, Tumuombee Sana Mbowe, Kitu anachopitia na mateso anayopata yeye ndie atalipa kwa kadri ya mateso wanayompitisha.

Bora mchawi anayeua tu kuliko kuweka kwenye mateso makali ya mda mrefu familia, mke , watoto, wazazi na watu kibao wanaomtegemea.

Na Kama NI ukweli Basi haki itendeke haraka.

Jk alikuwa na Roho Nzuri Sana. Asingekubali mateso haya yafanyike chini ya utawala wake.
 
Hao na shetani ndugu moja😆😆😆😆
 
Huyu mama Mungu amlaani milele na uzao wake
 
Ukiingia kwenye huo ulingo wa siasa hyo roho unakutana nayo hukohuko
 
Mbowe hakujihurumia mwenyewe anataka nani amhurimie. Alidhan baada ya jiwe kufa anaweza akafanya chochote nchi hii akasahau kua hata paka anaweza badilika akawa zaidi ya chui.
 
Yaani mbona unakuwa biased Sana mkuu. Unadhani ni wangapi wanaosota mahabusu ama wanasingiziwa kesi wakafungwa.
Mbona huwaongelei ama unaona binadamu ni mmoja tu jamani hapa tz.
Usikute hata Kuna ndugu ,rafiki wako wa karibu anasota Ila hujamuongelea Ila huyu .inaonekana labda Kuna kitu alikuwa anakufanya Ila umemisi saivi
 
ni siasa za kukomoana ambazo msingi wake ni chuki... ambazo ukiangalia sana zilianza 2016 hadi leo zinadumu. Mama anaona kama Mh. Mbowe anataka kumkwamisha kwa hiyo anaamua kumuweka karantini kwa muda.

Siasa ni kitu cha ajabu kabisa, unaweza mkana hata nduguyo sababu ya madaraka.
 
Baada ya tukio la jana pale Kawe nikafikia suluhu ya kumsamehe bi mkubwa kwa kila atakachofanya kuanzia leo..
Imagine 'kapangiwa' kazi ambayo ingefanywa na waziri wa utalii au wananchi wenye ushawishi kwenye jamii

Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…