Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Mamlaka ya urais ni lazima iwe Safi muda wote siro sio msafi hatakiwi hata kukanyaga ofisi ya Rais ikulu.Sirro na Samia lao ni moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mamlaka ya urais ni lazima iwe Safi muda wote siro sio msafi hatakiwi hata kukanyaga ofisi ya Rais ikulu.Sirro na Samia lao ni moja
Una yaona hayo tu?Mamlaka ya urais ni lazima iwe Safi muda wote siro sio msafi hatakiwi hata kukanyaga ofisi ya Rais ikulu.
Kama hakuna kigenge lilichokuwa nyuma yake,itakuwa ni mmojawa wanasgang.Modes Niko chini ya miguu msifute Uzi wangu siro anatuharibia taifa tunasema haya kwa uwazi mamlaka zilizo juu yake zichukue hatua.
Pichani Ni Mwanachama wa @ChademaTz Deus Soka (@DEUSNOWOFFICIA1) Akifanyiwa Ukatili wa hali ya Juu na Jeshi la Police @tanpol kwa kukanyagwa Shingo na Sehemu nyingine za mwili wake kwa tuhuma za Kuvaa T-shert yenye Maandishi ya #KatibaMpya!!Siro anashida gani wewe? Si ulale? Haujapata cha asubuhi? Anawanyima usingizi majizi na majambazi? Ma IGP bora kabisa kuwahi kuwa nao nchi hii ni sirro. Especially suala la ujambazi amelitokomeza kabisa.
Wenye mawazo ya kibambikiaji kama wewe ilifaa usiwe Mtanzania keanu sio desturi zetu.Doa lipi? Hakuna Rais mpumbavu atawatoa wanaolinda utawala wake labda awe mpuuzi kama mtoa mada.
Maza kamatia hapo hapo Hawa si wa kucheka nao
Tunaishauri mamlaka ya uteuzi wa igp siro immulike huyu mtu kwa makini Sana namna anavyolisimamia jeshi hili inatia Shaka ni Kama anaichonganisha serikali na watu wake approval rating a mama imeshuka kwa kiwango Cha kutisha mno lakini ukiangalia kwa undani jeshi la polisi chini ya siro limehusika kwa asilimia Mia.
Kwa mfano tunaweza tukaivumilia MAKATO ya MIAMALA ya simu na tukasema potelea mbali labda faida tutaipata huko kwenye kujengewa barabara vijijini nk tukajipa matumaini hivyo.
Sasa mwenendo wa jeshi la polisi chini ya siro tokea ameteuliwa kuwa igp ni wa hovyo Sana amevuka hata viwango vya mahita swali la kujiuliza taifa linapata faida gani ofisi za chadema zikivunjwa milango na polisi nchi nzima au wanachadema wanapokamatwa na polisi kisa kuendesha mikutano yao ambayo katiba haiwazuii nchi inapata faida gani?
Mbowe anapopewa kesi ya ugaidi taifa linafaidikaje? Infact jeshi la polisi ndio magaidi dhidi ya mbowe.
Mbowe mmeharibu bustani zake za mauwa Sasa mauwa na siasa wapi na wapi? Amekaa kimya.
Mbowe mwaka 2019 mmemuibia mashina ya mitaa kwenye uchaguzi nchi nzima amekaa kimya.
Mbowe kwenye ubunge mmempokonya Jimbo lake na ngome zote za majimbo yake ambayo kwa haki msingeshinda amekaa kimya.
Mbowe viongozi wa chama chake TAL ameshambuliwa na risasi 32 huku 16 zikimuingia mwilini siro amekaa kimya.
Sasa hapa Kati ya siro na mbowe gaidi ninani?
Mh Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan tunakuomba umuondoe siro ili uliponye taifa na angalau urudishe approval rating yako angalau kwa sehemu.
Mama kwa taarifa yako hata development partners hawakuelewi kwasasa kwasababu ya siro.
Mwananchi mtiifu.
Moderator na Maxence Melo nawaomba Sana Sana Sana msifute Wala ku merge Uzi wangu huu Mimi mwananchi wa kawaida Sina pa kutolea kero yangu ikamfikia mh rais moja kwa moja isipokuwa hapa jamiiforum.
Mama muondoe siro.
Wewe unaefaa kuwa mtanzania utaishia kulalamika na kulaumu hadi unafukiwaWenye mawazo ya kibambikiaji kama wewe ilifaa usiwe Mtanzania keanu sio desturi zetu.
🎯kwahio sera yenu ya chama saaahv ni miamala 😂
🪢katiba si hamjamaliza ama pumzi imekata?
Agekuwa gaidi angekuwa ameshakamatwa siku nyingi! Mtu yuko huru hadi anapodai katiba mpya ndiyo mnambabkikizia kosa la ugaidi!!!! Iteligensia yenu iko wapi? Imelala? Mnamtumia salamu za pole gaidi kwa kufiwa na kaka yake? Hivi gaidi mnamjua mnamsikia?
Gaidi yaani terrorist kw lugha za wenzetu? Wikipedia anaidefine kuwa ni "Terrorism is, in the broadest sense, the use of intentional violence to achieve political aims.[1] It is used in this regard primarily to refer to violence during peacetime or in the context of war against non-combatants (mostly civilians and neutralmilitary personnel)."
Mbowe lini alifanya hiyo violence dhidi ya wananchi? Terrorist huuwa wananchi kushinikiza serikali iliyoko madarakani. Kitu wanachofanya boko haram ni mfano mzuri.
Wanaua civilians kuishinikiza serikali ikubaliane na hoja zao. Mbowe kafanya lini hayo? Zaidi upande wa pili ndiyo unaua sana raia. Je tuwaite terrorist?
Kabisa mkuu. Innocent until proven guilty. Na hawataweza kumbambikia!!!!Siku hizi JF ina mamlaka ya kupokea na kutathimini ushahidi dhidi ya watuhumiwa wa uhalifu?
At the end of the day, Ayatollah Mbowe is presumed innocent till proven guilty! And proving him guilty is none of our business here.
Hao na shetani ndugu moja😆😆😆😆Siliasi Sielewi lengo la wanasiasa wetu.
1. Ivi kusota Rumande kwa mbowe Leo NI kwa maendeleo endelevu ya nchi au Kwa usalama ama kulinda matumbo ya wanaccm.
2. Nimemuona Mbowe na Pingu mikononi ukweli Machozi yamenitoka. Huu NI ukatili wa Hali ya juu.
3. Ukiangalia kesi na ushaidi uliopo inaumiza Sana.
Kama taifa tunaitaji badiliko kubwa Sana kuelekea siasa za haki.
Mungu atujalie wepesi, Tumuombee Sana Mbowe, Kitu anachopitia na mateso anayopata yeye ndie atalipa kwa kadri ya mateso wanayompitisha.
Bora mchawi anayeua tu kuliko kuweka kwenye mateso makali ya mda mrefu familia, mke , watoto, wazazi na watu kibao wanaomtegemea.
Na Kama NI ukweli Basi haki itendeke haraka.
Jk alikuwa na Roho Nzuri Sana. Asingekubali mateso haya yafanyike chini ya utawala wake.
Huyu mama Mungu amlaani milele na uzao wakeSiliasi Sielewi lengo la wanasiasa wetu.
1. Ivi kusota Rumande kwa mbowe Leo NI kwa maendeleo endelevu ya nchi au Kwa usalama ama kulinda matumbo ya wanaccm.
2. Nimemuona Mbowe na Pingu mikononi ukweli Machozi yamenitoka. Huu NI ukatili wa Hali ya juu.
3. Ukiangalia kesi na ushaidi uliopo inaumiza Sana.
Kama taifa tunaitaji badiliko kubwa Sana kuelekea siasa za haki.
Mungu atujalie wepesi, Tumuombee Sana Mbowe, Kitu anachopitia na mateso anayopata yeye ndie atalipa kwa kadri ya mateso wanayompitisha.
Bora mchawi anayeua tu kuliko kuweka kwenye mateso makali ya mda mrefu familia, mke , watoto, wazazi na watu kibao wanaomtegemea.
Na Kama NI ukweli Basi haki itendeke haraka.
Jk alikuwa na Roho Nzuri Sana. Asingekubali mateso haya yafanyike chini ya utawala wake.
Yaani mbona unakuwa biased Sana mkuu. Unadhani ni wangapi wanaosota mahabusu ama wanasingiziwa kesi wakafungwa.Siliasi Sielewi lengo la wanasiasa wetu.