IGP Sirro: CHADEMA wanamuona Mbowe Malaika hawezi kosea, ushahidi tunao

Umeandika nothing but personal feelings. Hakuna fact, hakuna chochote ulichoandika ambacho kinaonyesha sabaya anaonewa.

Hapo mwisho "my take" .. your take is 0. Why? Hiyo sio sababu ya kushtakiwa kwa sabaya.. na wala hai justify matendo ya sabaya.
 
Kwani Mbowe kamuumiza mtu? Kesi ya Mbowe inajulikana na kila mwenye akili ni uonevu. Katikati ya kesi unampandisha cheo anayesikiliza kesi na aliyempandisha ndo aliyeshtaki!?
 
Naona mnalazimisha kuchanganya maamuzi ya kesi ya Mbowe na Sabaya, mkiamini kabisa hatujui tofauti yake. Kesi ya Sabaya ni mashitaka ya dhahiri tena na mashahidi wa unyama ule wasiotiliwa shaka. Kesi ya Mbowe na ya kubambikizia mmoja wapo wa waliotengeneza hiyo kesi ni Sabaya ambaye leo hii ni mfungwa kwa ushahidi usioacha shaka, chini ya jeshi la polisi linalotumika na serikali kutekeleza unyama. Ndio maana unaona kila jaji sasa anaikimbia kesi hiyo ya Mbowe maana serikali inalazimisha hukumu isiyoendana na ushahidi. Imeisha hiyo.
 
Kakae nae gerezani
 
Mtu kakosea sheria inafanya yake mnasema kaonewa Sabaya kaonewa wapi si itifaki imezingatiwa. Aise nanii Mreta mada kuwa makini
 
Wanao sikitika kisa Sabaya kufungwa huyo naye atakuwa ni jambazi sugu kama Sabaya.
 
Sabaya alitishia kwa siraha? Alifanya unyang'anyi kwa siraha?
 
Hapo ndiyo nchi yetu uchumi wake utapaa sana na kuwa nchi ya dunia ya kwanza.

Inaonekana Mbowe ndiye anachelewesha uchumi wetu kupaaa kimataifa.
 
Selikali inalazimisha kwani dhalimu bado yupo madarakani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…