Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Umeandika nothing but personal feelings. Hakuna fact, hakuna chochote ulichoandika ambacho kinaonyesha sabaya anaonewa.Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.
Mimi binafsi naamini katika haki na haki huwa haipindishwi.
Freeman Mbowe alikuwa na kaka yake ambae alikuwa kanali wa Jwtz. Alipofariki serikali nzima ilienda kumhani. Hii sio justification kuwa hana hatia.
Lakini kwa namna familia yao ilivyo na influence ya kisiasa hapa Tanzania ni wazi kuwa walikuwa wanafuatiliwa kwa kila nyendo zao. Kupatikana na tuhuma za ugaidi baada ya vuguvugu za katiba mpya kupamba moto inatia shaka.
Kesi yake juu ugaidi inaonyesha kuwa kuna mvua zinakuja.
Mvua za mahakama za Tanzania huwa hazitabiriki. Uwe na kosa au hauna kosa zinakunyeshea.
Swali, je mtakenua meno na kufurahi kama mlivyofurahia juu ya Sabaya?
My take: Sabaya alimdhibiti Mbowe Hai mkajenga chuki mbaya sana.
Hapo mwisho "my take" .. your take is 0. Why? Hiyo sio sababu ya kushtakiwa kwa sabaya.. na wala hai justify matendo ya sabaya.