IGP Sirro: CHADEMA wanamuona Mbowe Malaika hawezi kosea, ushahidi tunao

Kufa ni binadam yeyote hata wewe utakufa, ila usilazimishe A kua B ,nawonyeni Kama Mungu haishivyo Kama mmzoea huo mchezo na mmenogewa hacha Mara MOJA,
 
Wewe huwafahamu viongozi wa nchi hii wewe hata wale wanaomsema vibaya watajititumua sanaa oo ni kiongozi ooo sijui kila lilo jema
 
Umeandika upuuzi mtupu.Unaujua ugaidi? Mbona haujauliza wale ambao wangekufa ama kuathirika kutokana ugaidi huo vipi Mbowe angesema nini kwenye msiba wao? Au wao sio watu? Yaani uhalifu uachwe kisa kulinda mahusiano ya watu?? Una akili sawa?
 
Ndio mshahara wake wa kujipendekeza.
Na inawezekana wanacheza ngoma moja tu.
Hayupo Aggressive kama mpinzani.
Kama Lisu
Kama Mtikila.
Mbowe hajipendekezi ila ni moderate na hiyo ni muhimu ukiwa mwenyekiti. Unahitaji busara na utulivu kwenye maamuzi magumu ila ukiwa na jazba utajikuta unafanya makosa kwa kukurupuka.

Kuna wakati diplomasia ni muhimu kuliko activism. Kwahiyo kuchanganya watu wa aina tofauti kwenye chama ni muhimu otherwise chama kingeshakufa enzi za JPM
 
Sa
Hutaki wapinzani wakae ikulu lakini unawaamini wawepo bungeni, uko sawa kweli kichwani?

Yani unawaamini wapinzani wakatunge sheria bungeni, lakini ile kazi nyepesi ya kuwepo ikulu yenye wasaidizi wa kila aina huwaamini kama wanaweza kuifanya vizuri!
sasa T Lisu na G Lema wana aminika kweli?
Ni bora hata ya msigwa.
Lakini wale wawili ni wachumia tumbo
Hawawezi peqa ikuru.
 
Kama CT ipo Tanzania basi ama imepoa au wamewekewa mipaka madhubuti.

Hiki kitengo ndio chanzo cha kuzorota amani Nigeria, Kenya, Somalia n.k. Tuzidi kuomba kisipewe nguvu hapa Bongo kwa maana ya rasilimali fedha za kutosha. Sote tutatafutana. Umojq wetu kama taifa utakua mashakani
 
kipo na kinafanya kazi usiku na mchana na kila sehemu wapo......
 
Pole sana kwa kuongea kwa uchungu na angalu ka ukweli.

Lkn cdm hawawezi kusumbua akili zao kwa kukosa la kusema kwenye msiba wa mh Mbowe.
 
Vile wanamuita gaidi na kumshitaki kwa ugaidi je akifa watasema Ni gaidi amekufa?.au watakuwa wanafiki wa alikuwa mtu mzuri na mwema, mwanasiasa mvumilivu,tuna kitu ametuachia Cha kujifunza. Hiki ndicho alichomaanisha mleta mada. Na ndiyo maana anakiri alikosea kwa kufurahia dhulma ya uchaguzi.
 
je spika wa bunge utatoa taarifa gani kuhusu mbowe??

viongozi CCM katika mazishi mtavaa sare gani na mtatoa hotuba gani??

MAMA SAMIA kama utaenda msibani utawaambia nini watanzania na familia ya mbowe kwa kipindi hicho??
Umejuaje kama samia na jobo hawatamtangulia mbowe kufa? au mmeshapanga kummaliza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…