Pazi na Jogoo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 331
- 494
Nilipoona tu umeandika jina Mungu kwa kuanza na herufi ndogo, nikajua kuna nuts zinamiss upstairs, no wonder umeandika utumboKwa sakata hili la Mbowe, kweli mungu fundi, yaani bila kutumia nguvu ametupigania wana kaskazini kwa kuliweka gaidi mbowe ndani, na lisitoke kamwe.
Hongera kwa jeshi la polisi, na wakuu wote wa vyombo vya usalama kwa kuukomesha mpango wa ugaidi wa Mbowe.
Heko pia kwa mama yetu SSH kwa kulijua hilo, ikiwezekana asitoke huko.! Wananchi tupo upande wa serikali na tunafuatilia kwa karibu suala hili ili kuhakikisha gaidi anapatiwa haki yake kisawa sawa.
Na, liwe fundisho.!
Punguza munkali mkuu, yeye alisha declare kuwa huenda dishi limeyumba sasa ukimpa makali anaeza ehuka zaidi yaani kichaa kinaweza kusoma maximum crazy obidient !Vipi bado ukiona mbwa unalia we mavi??? Itakuwa uliwahi kupigwa miti ulipokuwa mtoto we fala ndio maana unaleta thread za kishogashoga pumbavu zako.
#zeeShogaKwa sakata hili la Mbowe, kweli mungu fundi, yaani bila kutumia nguvu ametupigania wana kaskazini kwa kuliweka gaidi mbowe ndani, na lisitoke kamwe.
Hongera kwa jeshi la polisi, na wakuu wote wa vyombo vya usalama kwa kuukomesha mpango wa ugaidi wa Mbowe.
Heko pia kwa mama yetu SSH kwa kulijua hilo, ikiwezekana asitoke huko.! Wananchi tupo upande wa serikali na tunafuatilia kwa karibu suala hili ili kuhakikisha gaidi anapatiwa haki yake kisawa sawa.
Na, liwe fundisho.!
Pamoja na mambo yoote boss wangu ukiwa unaandika jina la Mungu anza na herufi kubwa plz. Mpe haki yake tu hata kama humpendi.Kwa sakata hili la Mbowe, kweli mungu fundi, yaani bila kutumia nguvu ametupigania wana kaskazini kwa kuliweka gaidi mbowe ndani, na lisitoke kamwe.
Hongera kwa jeshi la polisi, na wakuu wote wa vyombo vya usalama kwa kuukomesha mpango wa ugaidi wa Mbowe.
Heko pia kwa mama yetu SSH kwa kulijua hilo, ikiwezekana asitoke huko.! Wananchi tupo upande wa serikali na tunafuatilia kwa karibu suala hili ili kuhakikisha gaidi anapatiwa haki yake kisawa sawa.
Na, liwe fundisho.!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unajua wagonjwa waliopona ni wale walioamini kuwa wanaumwa, wakakubali matibabu na mwisho wakapona, sasa wewe mkundugu yangu hujaamini kama unaumwa hivyo ni ngumu kupona!
Ili upone kubali kuwa unaumwa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vipi bado ukiona mbwa unalia we mavi??? Itakuwa uliwahi kupigwa miti ulipokuwa mtoto we fala ndio maana unaleta thread za kishogashoga pumbavu zako.
Historia inaonyesha kuwa Maluteni/Kanali ndiyo waongoza mapinduzi. Sasa hao makomandoo na Luten Urio duh! But I think, kama ni kweli,FAM alikuwa at next level as JPM rule was incredibleMbowe anaweza awe kweli alikua anapanga ugaidi ... LAKINI KWA USHAHIDI WANAOUTOA hata jaji angukua SIRRO hawamuweki ndani
Kuna thread nyingine ameandika anasema akiona mbwa anajikuta analia. Huyu ni kichaaNilipoona tu umeandika jina Mungu kwa kuanza na herufi ndogo, nikajua kuna nuts zinamiss upstairs, no wonder umeandika utumbo
IGP amesema kama unaona Mbowe kaonewa nenda kamuulize kama kweli yeye ni mkristu safi atakwambia.
nimeona IGP kaongea kwa kujiamini sana kuwa wanao ushahidi hivyo tusubiri mahakama. huna haja ya kutoka mishipa kwa sasa, Jambo usilo lijua nisawa na usiku wa giza. tusijiingize kwenye mitego ukaja kunasa halafu huna wa kumlaumu.
kwa sasa wacha Mbowe apambane na hali yake.
Mtu kama huyu hafai kuaminiwa hata kwa nafasi ya mjumbe wa nyumba 10 🙄View attachment 1877322
IGP Simon Sirro leo Agosti 2, 2021 akizungumza kukamatwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe
IGP Simon Sirro leo Agost 2,2021 amefanya mkutano na Waandishi wa Habari ambapo amezungumza mbalimbali kuhusu kukamatwa na Mwenyekiti wa Chadema pamoja na vuguvugu la kutaka kufanya maandamano. Akiwa katika mkutano huo SIrro alisema yafuatayo:
“CHADEMA wanaona Mwenyekiti wao (Mbowe) ameonewa na wanasema hawezi kuwa hivyo wanamuona ni Malaika hawezi kufanya kosa”.
“Kabla ya Uchaguzi nilisema kuna Watu wamepanga kuhakikisha Uchaguzi haufanyiki, nilisema kuna baadhi ya Watu wamepanga kulipua visima vya mafuta na kufanya mauaji ya Viongozi na nilisema tutawakamata kabla hawajafanya hivyo”.
“Tuliwakamata kabla, hayo ya Mwenyekiti wao (Mbowe) sitaki kuzungumzia sana lipo Mahakama ila wajue yeye ni Binadamu kama Binadamu wengine na anaweza kufanya kosa tumempeleka Mahakamani tuache Mahakama itimize wajibu wake”.
“Kama kweli ni mkweli Mwenyekiti wao (Mbowe) na anamuamini Mungu waende wamuulize habari hiyo, kuna mambo unaweza kuyafanya kwamba ni siri lakini ndio mana Vyombo vya Habari vipo, niwaombe Watanzania wenzangu usilolijua ni kama usiku wa giza usiingie kwenye mtego ambao hujui aliyeutega ana jambo gani”.
“Waende wamuulize huyo Mtu tuliyempeleka Mahakamani (Mbowe) kwamba hili jambo unalijua na kama ni ukweli ana Dini yake na anamjua Yesu Kristo aende aaambiwe, tunamuonea kwa lipi?, tupate nini? Tuna ushahidi wa kutosha tuache Mahakama iamue, kafanya Yes hakufanya Yes lakini habari ya kikundi cha Watu kusema tunataka kuandamana wewe ni nani Bro!? hiyo nafasi hauna”.
Awaonya Wanaotaka kuandamana
“Niwaombe Watanzania tuache wale Watu wachache ambao wanataka kupambana na Serikali wapambane nayo labda wana sababu zake lakini Mtu wenye hekima na busara anielewe, lakini kikubwa kama wameandaa kwenda Canada au Marekani wajiandae ila hatuwezi kuruhusu Watu wachache wavuruge Nchi kwasababu wamekosa madaraka”.
“Habari ya kusema mnataka kuandamana mnavunja sheria na ukivunja sheria usilaumu Jeshi, ukivunja sheria umeingia kwenye uhalifu, Sirro hatokuacha na Polisi hawatokuacha na ndio maana wanafanya siasa kwa sababu amani na utulivu upo, Sisi hatufanyi Siasa”.
“Niwaombe Watanzania ambao wameambiwa mkusanyike kutoka Mara kutoka wapi sijui na muelewe Mahakamana ni kituo nyeti ni kama Kituo cha Polisi ukitaka kuvamia utakung’utwa kwa mujibu wa sheria sababu umetaka sasa kama kuna Mtu maisha yamemshinda aje ila asije kulalamika, hii kesi iko Mahakamani tuiachie Mahakama iamue”.
IGP amesema kama unaona Mbowe kaonewa nenda kamuulize kama kweli yeye ni mkristu safi atakwambia.
nimeona IGP kaongea kwa kujiamini sana kuwa wanao ushahidi hivyo tusubiri mahakama. huna haja ya kutoka mishipa kwa sasa, Jambo usilo lijua nisawa na usiku wa giza. tusijiingize kwenye mitego ukaja kunasa halafu huna wa kumlaumu.
kwa sasa wacha Mbowe apambane na hali yake.
hana kitu kichwani ni mweupe snAngesubiri aitwe mahakamani ndo angejua kuna vijana wamekula bangi za kitabu cha sheria. Angeanza kusema na yeye hajui PGO.