wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mosi ni namna alivyowahishwa kupelekwa mahakamani. Mahakama ndio chombo cha kutoa haki. Kama angekuwa amesingiziwa polisi wasingempeleka mahakamni haraka maana wangeweza kuumbuka.
Be ni namna Commital inavyotaka kufanyika fasta, kama committal itafanyika ndani ya mwezi huu basi ni dhahiri kuwa upelelezi umekamilika na hii ni wazi kuwa hakuna ubambikiaji.
Tuache kuhamaki ndugu.

hauko kwenye team ya uchunguzi, hauko kwenye team ya mahakama.Mosi ni namna alivyowahishwa kupelekwa mahakamani. Mahakama ndio chombo cha kutoa haki. Kama angekuwa amesingiziwa polisi wasingempeleka mahakamni haraka maana wangeweza kuumbuka.
Be ni namna Commital inavyotaka kufanyika fasta, kama committal itafanyika ndani ya mwezi huu basi ni dhahiri kuwa upelelezi umekamilika na hii ni wazi kuwa hakuna ubambikiaji.
Tuache kuhamaki ndugu.
aisee hapo Lumumba mna laana.Kwani kuna ubaya kuomba penzi?
😂😂😂 Hatari mkuu jamaa alimwagiwa ute ndani huyo, anawashwa. Kazi ya kupumuliwa awaachie wanawake yeye mtoto wa kiume ya nini daah.Mimi hadi nime-screenshot tayari nimehifadhi sehemu. Maana nilijua lazima utolewe.
Inaonekana jamaa kazidiwa sana, wadudu wanamnyevua nyevua.
Balaa.
Ahsante sana IGP kwa maelezo na makatazo, wenye akili tumekuelewa vizuri sana.
Tuache kufuata upepo kamwe tusiburuzwe, tuheshimu sheria pamoja na vyombo vinavyo simamia sheria.
Katibu Mkuu wa Chadema Mnyika na Mrema naamini wamepata ujumbe na watautekeleza.
Ni utoto unao kusumbua. Ukikua utaacha.Tuliza makalio we kahaba
🎯kwahio sera yenu ya chama saaahv ni miamala 😂
Naheshimu mawazo yakoSiro anashida gani wewe? Si ulale? Haujapata cha asubuhi? Anawanyima usingizi majizi na majambazi? Ma IGP bora kabisa kuwahi kuwa nao nchi hii ni sirro. Especially suala la ujambazi amelitokomeza kabisa.
Ni kwasababu hujaathirika na maamuzi ya uongozi wake na huoni namna polisi wanavyoipotosha haki na kupindisha Sheria.Siro anashida gani wewe? Si ulale? Haujapata cha asubuhi? Anawanyima usingizi majizi na majambazi? Ma IGP bora kabisa kuwahi kuwa nao nchi hii ni sirro. Especially suala la ujambazi amelitokomeza kabisa.