IGP Sirro: CHADEMA wanamuona Mbowe Malaika hawezi kosea, ushahidi tunao

IGP Sirro: CHADEMA wanamuona Mbowe Malaika hawezi kosea, ushahidi tunao

Sielewi kwanini Kama jamii tumefikia huku Yani mtu Yuko radhi atetee uongo ili mwingine yampate Ana side na vyombo vya dola vyenye Nia ovu ili mbowe apate shida Sasa ili iweje? Mbowe akifungwa kwa ushahidi wa uongo mwananchi wa kawaida anapata faida gani? Na je Kama uko tayari kutetea ushahidi wa uongo dhidi ya mtu asie na hatia je dhamiri yako imekufa? Na je utaenda kanisani au msikitini? Mtu wa namna hii Hana tofauti na muuwaji.
 
UPUUZI MTUPU!!!
Mosi ni namna alivyowahishwa kupelekwa mahakamani. Mahakama ndio chombo cha kutoa haki. Kama angekuwa amesingiziwa polisi wasingempeleka mahakamni haraka maana wangeweza kuumbuka.

Be ni namna Commital inavyotaka kufanyika fasta, kama committal itafanyika ndani ya mwezi huu basi ni dhahiri kuwa upelelezi umekamilika na hii ni wazi kuwa hakuna ubambikiaji.

Tuache kuhamaki ndugu.
 
Aliyekufundisha mwenyewe bush lawyer

hauko kwenye team ya uchunguzi, hauko kwenye team ya mahakama.
simply hauko kokote.

ulichoandika hapo ni empty theories tu.
 
Kwa ili la mbowe inatuonyesha wazi ilitakiwa kwa Sasa ndo tupate uhuru, upelelezi kwa nchi zetu unatufanya tundelee kuonekana tuko nyuma saana
 
Mimi hadi nime-screenshot tayari nimehifadhi sehemu. Maana nilijua lazima utolewe.
Inaonekana jamaa kazidiwa sana, wadudu wanamnyevua nyevua.
Balaa.
😂😂😂 Hatari mkuu jamaa alimwagiwa ute ndani huyo, anawashwa. Kazi ya kupumuliwa awaachie wanawake yeye mtoto wa kiume ya nini daah.
 
Ahsante sana IGP kwa maelezo na makatazo, wenye akili tumekuelewa vizuri sana.

Tuache kufuata upepo kamwe tusiburuzwe, tuheshimu sheria pamoja na vyombo vinavyo simamia sheria.

Katibu Mkuu wa Chadema Mnyika na Mrema naamini wamepata ujumbe na watautekeleza.

Tusisahau kuwa Mbowe huyu huyu alilewa pombe na alipoanguka na kuumia aliutangazia ulimwengu kuwa alishambuliwa na vikosi vya serikali ila alipuuzwa. Sasa anadaiwa hakupanga uovu . Kwa nini tusiache mahakama iamue badala yake mashabiki wanaona ni aibu mambo yake kuwa exposed??
 
Tunaishauri mamlaka ya uteuzi wa igp siro immulike huyu mtu kwa makini Sana namna anavyolisimamia jeshi hili inatia Shaka ni Kama anaichonganisha serikali na watu wake approval rating a mama imeshuka kwa kiwango Cha kutisha mno lakini ukiangalia kwa undani jeshi la polisi chini ya siro limehusika kwa asilimia Mia.

Kwa mfano tunaweza tukaivumilia MAKATO ya MIAMALA ya simu na tukasema potelea mbali labda faida tutaipata huko kwenye kujengewa barabara vijijini nk tukajipa matumaini hivyo.

Sasa mwenendo wa jeshi la polisi chini ya siro tokea ameteuliwa kuwa igp ni wa hovyo Sana amevuka hata viwango vya mahita swali la kujiuliza taifa linapata faida gani ofisi za chadema zikivunjwa milango na polisi nchi nzima au wanachadema wanapokamatwa na polisi kisa kuendesha mikutano yao ambayo katiba haiwazuii nchi inapata faida gani?

Mbowe anapopewa kesi ya ugaidi taifa linafaidikaje? Infact jeshi la polisi ndio magaidi dhidi ya mbowe.

Mbowe mmeharibu bustani zake za mauwa Sasa mauwa na siasa wapi na wapi? Amekaa kimya.

Mbowe mwaka 2019 mmemuibia mashina ya mitaa kwenye uchaguzi nchi nzima amekaa kimya.

Mbowe kwenye ubunge mmempokonya Jimbo lake na ngome zote za majimbo yake ambayo kwa haki msingeshinda amekaa kimya.

Mbowe viongozi wa chama chake TAL ameshambuliwa na risasi 32 huku 16 zikimuingia mwilini siro amekaa kimya.

Sasa hapa Kati ya siro na mbowe gaidi ninani?

Mh Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan tunakuomba umuondoe siro ili uliponye taifa na angalau urudishe approval rating yako angalau kwa sehemu.

Mama kwa taarifa yako hata development partners hawakuelewi kwasasa kwasababu ya siro.

Mwananchi mtiifu.

Moderator na Maxence Melo nawaomba Sana Sana Sana msifute Wala ku merge Uzi wangu huu Mimi mwananchi wa kawaida Sina pa kutolea kero yangu ikamfikia mh rais moja kwa moja isipokuwa hapa jamiiforum.

Mama muondoe siro.
 
Siro anashida gani wewe? Si ulale? Haujapata cha asubuhi? Anawanyima usingizi majizi na majambazi? Ma IGP bora kabisa kuwahi kuwa nao nchi hii ni sirro. Especially suala la ujambazi amelitokomeza kabisa.
 
Naheshimu mawazo yako
 
Siro anashida gani wewe? Si ulale? Haujapata cha asubuhi? Anawanyima usingizi majizi na majambazi? Ma IGP bora kabisa kuwahi kuwa nao nchi hii ni sirro. Especially suala la ujambazi amelitokomeza kabisa.
Ni kwasababu hujaathirika na maamuzi ya uongozi wake na huoni namna polisi wanavyoipotosha haki na kupindisha Sheria.
 
Ccm muwatendee watu kwa haki ili kesho na nyie mkiwa chama Cha upinzani msilipiziwe visasi fanyeni siasa za kistaarabu achaneni na watu Kama siro mtu anayejua kwamba visima vya mafuta vitalipuliwa na mbowe lakini asijue ccctv zilizodaka tukio zima la TAL kushambuliwa ziko wapi Wala wahusika hawajui mpaka leo.
 
Back
Top Bottom