Subirini kidogo wagonjwa wakifika laki 3 ndipo tutakapofunga mipaka kwa hiyo Wananchi wa Tanganyika musiwe na wasi wasi.
Wanapika joto la mwili, wakikuta lipo normal unaenda nyumbani, nimeingia last week from US, honestly bado sijiamini, nimekaa site mpak after 24 days ndio nitakwenda nyumbani maana naona Kama maruweruwe
Sent using Jamii Forums mobile app
umekata tamaa mapema hakuna haja kwa sasa ya kufunga mipaka hatujawa na uwezo wa kujitegemea moja kwa moja bila kutegemea bidhaa mbalimbali kutoka njeTutafika wanakotaka tufike!!
YAANI KAMA SI KUHOFIA BASI NINGEWASHAURI VIONGOZI WASITUCHANGANYE NA HAO WAGENI, MPAKA KWANZA WAGENI WAKAE KTK KARANTINI KWA WIKI2. WAKITHIBITIKA HAWANA MAAMBUKIZI, BASI WARUHUSIWE KUINGIA MITAANIChina chanzo korona, tangu 10 March wageni wote lazima wafikie guarantee in kwa siku 14! Viongozi wetu wapate uzoefu na kufanya maamuzi kwa wakati.
Sent using Jamii Forums mobile app
umewaza vibaya mkuu pengine unawasemea weweUmaskini ni mbaya sana hii yote ni kuzuga kupata pesa za watalii (ambao ki uhalisia wanakimbia korona huko kwao). Siku ikishika vizuri ndio mtajua mtu aliye sema kinga ni bora kuliko tiba alikua ana maanisha nini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Muda si mrefu Corona itapiga jitu kubwa chini na mipaka itafungwa rasmi.
Kwa sasa bado tunacheka na corona ila soon itatugeukia na kuanza kupiga watu chini.
Na hata ikikushika inakuwa tu kama mafua makaliHii kitu inapewa nguvu sana na watu weupe kwababu inawafyeka sana ila ni wakawaida sana na ukiwa mfanya mazoezi haukuati kabisa kwa sie waafrica