IGP Sirro: Hatujafikia hatua ya kufunga mipaka ya nchi kutokana na ugonjwa wa Corona

IGP Sirro: Hatujafikia hatua ya kufunga mipaka ya nchi kutokana na ugonjwa wa Corona

Nilidhani tishio la kiafya linapotokea, msemaji huwa ni waziri wa afya... Na ambaye alishasema, hatuwezi kuhandle... Nashangaa intelijensia ya polisi inahusiana vipi na wagonjwa wa mafua wanaoizunguka tz.... Wasisahau, hata china Wuhan alianza mgonjwa mgonjwa mmoja, na sasa imesambaa dunia nzima...

Sisi tushapita hatua hyo, tuna 6 kama sio 8...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Subirini kidogo wagonjwa wakifika laki 3 ndipo tutakapofunga mipaka kwa hiyo Wananchi wa Tanganyika musiwe na wasi wasi.

Kwa Serikali ya CCM ya Magufuli ni sawa kabisa....muko wengi mno milioni 55+ SI kidogo pengine anataka mpungue na Corona.....!!
 
Wanapika joto la mwili, wakikuta lipo normal unaenda nyumbani, nimeingia last week from US, honestly bado sijiamini, nimekaa site mpak after 24 days ndio nitakwenda nyumbani maana naona Kama maruweruwe

Sent using Jamii Forums mobile app

Rudi Mloganzila fasta usije ukapeleka upupu kwa mkeo na wanao!!
 
China chanzo korona, tangu 10 March wageni wote lazima wafikie guarantee in kwa siku 14! Viongozi wetu wapate uzoefu na kufanya maamuzi kwa wakati.

Sent using Jamii Forums mobile app
YAANI KAMA SI KUHOFIA BASI NINGEWASHAURI VIONGOZI WASITUCHANGANYE NA HAO WAGENI, MPAKA KWANZA WAGENI WAKAE KTK KARANTINI KWA WIKI2. WAKITHIBITIKA HAWANA MAAMBUKIZI, BASI WARUHUSIWE KUINGIA MITAANI

LAKN HUU UTARATIBU ULIOPO MIMI MH SIUAFIKI ILA TUNYAMAZENI TU
ISIJE KUONEKANA LABDA TUNAPINGA UTAWALA. BALI SISI TUNAHESHIMU SAAANA UTAWALA JAMANI. ILA HAPA TUNASHAURI TUU KWA SABABU TUKIANZA KUDONDOKA MMOJA BAADA YA MWINGINE ITAWAGUSA VIONGOZI NA RAIA WOTE KWA PAMOJA.
 
Bas Kama hamfungi akikishen wagen wakiingia wawekwe sehemu hata kwa siku 14 ili tujue mbivu NA mbich sio mnawaruhusu alafu mnaanza kuwatafuta [emoji17]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ninapotype doctor wa Meko kapewa kibarua kizito cha kuhakikisha anamlinda asipate Koroner hata chembe
 
Ulaya, marekani wanafunga mipaka.

Sirro yuko vizuri kuliko hao.

Pathetic!
 
Wanachojiuliza ni kwamba hii corona hawajasikia hata mmoja wetu amekufa sababu ya corona sasa ya nini kufunga mipaka..!? Halafu hii corona ngoja tuone kwanza hapa kwetu inaendaje....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pana wachina walikuwa wakielekea Kenya kupitia horohoro jana. Wachina hao walikuwa wameingia Tanzania 14 March.

Kwa hesabu elementary tu hawa jamaa hata ndani ya tanzania hawakuwapo wamemaliza 14 days. Kenya iliwafukuza kurudi waliko toka yaani Tanzania.

Mchina kuwa deported kuja Tanzania.

Shamba la Bibi.

Hao ndiyo marafiki wa zetu wa wanaotuweka sisi rehani.
 
Hii kitu inapewa nguvu sana na watu weupe kwababu inawafyeka sana ila ni wakawaida sana na ukiwa mfanya mazoezi haukuati kabisa kwa sie waafrica
 
Hayo ni mafua tu, hapa sasa naanza kumuelewa magufuli hii system ya kila nchi kufunga mipaka ni kusababisha uchumi wa dunia uanguke, lazima tusubiri subiri tuone hiyo corona ina nguvu kiasi gani huku kwetu...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wanafanya hivi kwa makusudi.
Nia yao ni hali iwe mbaya ili waendelee kukaa madarakani na kusiwe na uchaguzi.

Magufuli anajua tangia zamani effect za kuachiavmipaka wazi na ndio maana akawa anawaachia mpaka wachina kutoka wuhan wanaingia bila kupimwa.

Na sasa hivi nasikia hospitali ya Temeka imefungwa kabisa watu wanahamishiwa Amana.
Na ile ya mloganzila ni ya wageni.

Yani makubni trash kabisa hana nia nzuri na wananchi.
Mungu atamlipa na anachokitaka atakipata ila aangalie sana na yeye asije akalipata
 
Jambo lolote linapokuwa janga la kitaifa maana yake limezidi mipaka ya udaktari hivyo linakuwa chini ya vyombo vya usalama. Angalia wanaosimamia mambo ya Korona huko israel ni jeshi.
 
Back
Top Bottom