Natamani ikupate na vile una upungufu wa kinga ikufyekelee akhera. You are a disaster to the nationDuh.. !. Kama Corona ingekuwa inachagua, then ni kweli itawamaliza!, but very unfortunately Corona haichagui, hivyo kama ni kuwamaliza, sio kuwamaliza bali kutumaliza!.
Very fortunately so far bado hakuna Maambukizi yoyote ya Corona kwa Tanzania yalilerwa na walio ambukizwa, waathirika wote wa Corona waliambukizwa huko walikotoka na walipoileta kwetu, bado wamebaki hao hao, haijawaambukiza wengine.
P
Hizo hadithi tuu, usiziamini. Amini taarifa rasmi za kiserikali, Tanzania tuna wagonjwa 6 tuu wa Corona na wote wamekuja nayo na Bongo haijaambukiza mwingine!.Utaambiwa wapo wengi tu serikali inaficha.
Acha roho mbaya!Natamani ikupate na vile una upungufu wa kinga ikufyekelee akhera. You are a disaster to the nation
Duh...!. Kwanza sio vizuri kutoa nje siri ya mgonjwa, hata kama huwa unaniona kwenye foleni ya kuchukua ARV, kunitolea siri yangu nje hivi ni kuninyanyapaa!. This is not fair!. Sio kunitendea haki, ugonjwa ni siri ya mgonjwa na daktari wake, kwanini wewe ulete siri yangu humu jeiefu?.Natamani ikupate na vile una upungufu wa kinga ikufyekelee akhera. You are a disaster to the nation
Ukatili wangu haufikii wako uliofanya kwa kabendera.Duh...!. Kwanza sio vizuri kutoa nje siri ya mgonjwa, hata kama huwa unaniona kwenye foleni ya kuchukua ARV, kunitolea siri yangu nje hivi ni kuninyanyapaa!. This is not fair!. Sio kunitendea haki, ugonjwa ni siri ya mgonjwa na daktari wake, kwanini wewe ulete siri yangu humu jeiefu?.
Wewe utakua ni mtu mkatili sana, yaani licha ya kuijua status ya hali ya afya yangu, unaniombea Corona inipate ili..
Hilo namwachia Mungu!.
P
Mimi ni Mkristu, tunafundishwa usihukumu ili usihukumiwe. Maadam kila mtu atahukumiwa kwa matendo yake, kama kweli ni mimi, then nitakumiwa, ila pia kumnyooshea kidole na kumtuhumu an innocent kwa mabaya ambayo hakuyatenda, kutapelekea kujichumia dhambi za bure, better be safer sorry!.Ukatili wangu haufikii wako uliofanya kwa kabendera.
Bro,achana na hili pumbaf, tunatakiwa tuwatoe hawa kwenye community tunaongea habari ingine linaongea abari ingine.Duh...!. Kwanza sio vizuri kutoa nje siri ya mgonjwa, hata kama huwa unaniona kwenye foleni ya kuchukua ARV, kunitolea siri yangu nje hivi ni kuninyanyapaa!. This is not fair!. Sio kunitendea haki, ugonjwa ni siri ya mgonjwa na daktari wake, kwanini wewe ulete siri yangu humu jeiefu?.
Wewe utakua ni mtu mkatili sana, yaani licha ya kuijua status ya hali ya afya yangu, unaniombea Corona inipate ili..
Hilo namwachia Mungu!.
P
Hakika Mungu wetu tunayemwamini hatakubaliana na dhihaka ya dizaini hii na badala yake atafanya vice versa kwa kumfuta yeye Polepole na chama chake cha CCM ndani ya ardhi hii ya TanzaniaHuwezi kusema "Mungu atuepushe na Corona ila hatuwezi kuzuia watalii kwa sababu tutakosa Pesa ".
Mungu huanzia pale ambako mwanadamu kashindwa kabisa, sasa hiki kiburi cha kishamba hakitambakiza mtu salama.
Yaani Wapinzani wanafananishwa na Corona? What a grotesque disdain?
Dhihaka hii Mungu atailipa huku mkishuhudia wote nawaambia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaaaa! Napata elimu fulani kutoka kwako! Haya majibu, najifunza kutopanic kwa maneno ya kuudhi uliyorushiwa. UKIAMBIWA WEWE NI MJINGA, WAKATI WEWE SIO MJINGA, BADO HUTAKUWA MJINGA!Duh...!. Kwanza sio vizuri kutoa nje siri ya mgonjwa, hata kama huwa unaniona kwenye foleni ya kuchukua ARV, kunitolea siri yangu nje hivi ni kuninyanyapaa!. This is not fair!. Sio kunitendea haki, ugonjwa ni siri ya mgonjwa na daktari wake, kwanini wewe ulete siri yangu humu jeiefu?.
Wewe utakua ni mtu mkatili sana, yaani licha ya kuijua status ya hali ya afya yangu, unaniombea Corona inipate ili..
Hilo namwachia Mungu!.
P