IGP Sirro: Hatujafikia hatua ya kufunga mipaka ya nchi kutokana na ugonjwa wa Corona

tatizo corona imeingia Tanzania huku tukiwa tunaelekea ktk uchaguzi mkuu hivyo tusishangae vijembe, kejeli, uzushi n.k hilo ndio Joto la corona +Uchaguzi mkuu 2020=

Sent using Jamii Forums mobile app
kipindi hiki tunapswa kuvumiliana sana kuliko nyakati zilizo pita
 
Unajua uliyoyatenda huu mwaka haupiti kabla hujalala kwa kipimo kilekile
 
Una uhakika!?
 
Sikutegemea comment dhaifu kama hii kutoka kwako aliyekudanganya hakuna aliyeambukizwa nani,dalili zinaonesha baada ya Siku 14 ndio kutatoa majibu huku kitaa.
Hiyo 14 days ni incubation period, ukikutana na mwenye virusi ukaambukizwa, ukipimwa rasmi kimaabara, utagundulika ume contract hata kama hujaugua.

Hivyo kwa Tanzania hao waathirika 6 wa Corona, wamejichanganya sana na Watanzania na hivyo wote hao virusi kuwatembelea, but none contracted.
P
 
Paskali heshima yako. Hii kitu ya Kabendera we tulia tu ukubali kufa nayo kama Nape alivyokubali kufa kwa goli la mkono.
 
My Son drink water,
Kwenye hili sidhani kama wapo nchi kituko kama sisi.

Bila shaka wanaotakiwa kufanya maamuzi magumu na sahihi kwenye hili nao walikwenda kupanga foleni kupata kikombe kwa babu wakiwamo na jero mkononi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…