IGP Sirro, huyo ni mtoto wa nani?

Huyo ni Mtoto wa Sirro anasumbua watu sana mtaani kwa ubabe wake na anavuta bangi hadharani. Muda Mwingi anashinda Chanika kwenye Bar ya Baba yake.
Ile yenye jina la wilaya ambayo mwalimu Nyerere, alipozaliwa?
 
Yaani IGP mzima biashara aliyoona ina hadhi yake ni bar?...khaaa.
Hizo ndio biashara rahisi kuzimanage kwa maaskari hazina mambo mengi.
Biashara zingine zinahitaji muda mwingi kuzifuatilia ndio maana wanazipenda hizo
 

Atakuwa na mwisho wenye tabu na mateso tupu itakula vizazi vyake nane
 
Mtaje huyo kijana jina lake na baba yake pia mtaje jina mwaga kila kitu tumechoka upuuzi.
 
Kuna kijana anasumbua sana mitaani, anajitapa kwamba hakuna wa kumfanya lolote kwa sababu Baba yake ana cheo kikubwa mno serikarini,
Habari bila picha hainogi. Ingependeza sana kama huu uzi ungeambatana na picha ya huyo "kijana" unayemtuhumu ili sisi members wa JF tujiridhishe kama huyo ni mtoto wa Sirro au la.
 
Nyani haoni kundule, anastaafu soon msumeno upo, loading initiatives. Lenana isnt equal heaven.
Inasikitisha, mwanae aliwahi kuajiriwa Moshi alisumbua sana ana lewa Moshi mjini na Arusha siku za kazi hadi kazi ikamshinda.
Sasa anasumbua Makongo na Chanika...mla unga hatari
 
Sirro hajakoses namtetea.
Zamani kuna jamaa alikua anapiga ngumi balaa O bay wanamjua sana miaka hiyo,kwenye matukio alikua ananyanganya silaha polisi anaendeleza mission.
Siku niliskia kwa dadaake polisi walilala nae mbere kipindi cha Magu.
Hajaonekana Maiti wala nini mpk leo.
Ndugu hata kuuliza hawataki wasijitie matatizoni na polisi.
Vingine ni maisha tu wanapitia watu.
Huyo mtu alikua poa tu ukikaa nae mnaongea wala hana tatizo.
Labda alikua hapendi kuonewa, au alikua hataki kujishusha na ngumi kwake ilikua issue ndogo tu.
Issue ya Hamza imenikumbusha mengi.
Naona tu aliamua siku hiyo amalizane nao.
Ndio vijana wamekwenda,ukiwa polisi kumbuka unapambana na wahalifu usizubaezubae .
Wakikula kichwa usilaumu jeshi ulikua vitani bila kujitambua.
US hawaulizi maswali mengi unakula shaba kwanza maswali badae.
Na nawaelewa maana kuna siku polisi wamemsimamisha jamaa wamuhoji kawasubiri walipokaribia kachomoka na machine gun
Kawalamba risasi polisi kibao kukimbia wakamuwai nayeye.
Hili swala la huyu mtu limeshatokea hakuna wa kulaumiwa.
Mjaribu kuongea na watoto mnapoona wanaenda kinyume.
 
Hamza ni kijana wa kuigwa!!!Angefanya nini kama anaonewa????kama husikilizwi unaonewa utafanyaje?kila binadamu anapoteswa sana hugeuka na kua mnyama!!!!
Uko sahihi kuna limit, huwa tunageuka mbogo!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…