Resurrection
JF-Expert Member
- Jun 8, 2020
- 952
- 1,267
Sirro, fahamu kuwa kichwa siyo boksiIGP Sirro jana umetoa kauli nzito na ngumu mno kutolewa na kiongozi wa aina yako na mtu mwenye umri mkubwa kama wewe na mtu anayeheshimika kwa cheo chake kama wewe.
Angalia sana ulimi wako jinsi unenavyo, muombe sana Mungu akupe hekima ili kabla ya kutamka neno lolote hekima ikutangulie.
Jana ulitamka maneno haya nami nakunukuu.
"Watanzania kuweni makini msije mkazaa mtoto wa hovyo hovyo kama Hamza aliyetuletea majanga Watanzania, wazazi wa Hamza mnajisikiaje kuzaa mtoto kama huyo? Na nyie ndugu zake mnajisikiaje kuwa na ndugu kama Hamza?". Mwisho wa kunukuu.
IGP Sirro, hakuna mzazi anayepanga azae mtoto wa aina gani, Binadamu tunazaa mwili hatuzai Roho.
Kuna kijana anasumbua sana mitaani, anajitapa kwamba hakuna wa kumfanya lolote kwa sababu Baba yake ana cheo kikubwa mno serikarini, kijana huyo huvuta unga na kwenda hadi kwenye Hotel ya Baba yake iliyoko Chanika ambako hufanya vituko vya ajabu, ukiwemo kupiga watu.
Je, unajua huyo mtoto ni wa nani? Tafadhali sana, wazazi wa Hamza hawakujua kama wanazaa mtoto wa aina gani, hata wazazi wako wewe Sirro hawakujua kama ipo siku utakuja kuwa IGP.
JITOKEZE UIOMBE MSAMAHA FAMILIA YA HAMZA ILI ULINDE HESHIMA YAKO.
Lakini si useme tu? Nyani haoni kundule.Kama ni kweli inasikitisha na ama kweli nyani haoni nonihino lake!
Umeandika vyema. Unastahiki kuigwa kwa kuepuka matumizi ya lugha inayoweza kuleta ukakasi. Heshima sana kwako Mkuu.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Okay ndukule.
Unashangaa nini? Huyu kila mkoa anajengewa nyumba na ma rpc na rto
Nyakori... Ile gesti inafanya umalaya usiku na mchana na hakuna polisi anayethubutu kutia timu pale...Hivi Sirro ile Lodge yake kule tegeta bado ipo?
KATIBA KATIBA MPYA IREKEBISHE MENGINE.Sirro tumbo Ni mithili ya shamba hutoa mazao ya Kila aina,hivyo huwezi kutukana wazazi na familiya Kisha tukupigie makofi kwa ubora wa matusi. Sirro ulichofanya Ni utoto na ulevi wa madaraka, tubu mapema. Sirro unahisi Kama kizazi chako hakifahamiki? Mbona na wewe ulizaa, kulea, na kukuza mvuta bangi anayesumbua chanika. Hotel zako za mwanza ulizijenga kwa mshahara na lesheni ya upolisi gani. Usitake tuseme yasiyotakiwa kusemwa. Kitendo Cha kudhihaki familiya HAPANA HAPANA HAPANA HAKIKUBALIKI.
NyakoroInaitwaje?
Yes Nyakoro ni jina la watu wa Musoma.....Nyakoro
Twambie Mshahara na malupulupu analipwa shilingi ngapi?Sirro ni fisadi kuu, ana lodge na hotel karibu mikoa yote...Tegeta Nyakoro, Chanika...Butiama
Sawa ,natamani wanangu wawe kama Hamza, waje waipiganie Jamhuri.
rest in eternal peace Hamza.
Nani alikuambia alidhulumiwa mil 400?Tuanzie hapa, uliwahi kudhulumiwa Sh. 400,000,000/=? Kilangila.
Inafanya umalaya gani mbona sijawahi kusikia hizo habari?Nyakori... Ile gesti inafanya umalaya usiku na mchana na hakuna polisi anayethubutu kutia timu pale...
If you live in a glass house don't throw stones at people outsideHuyo ni Mtoto wa Sirro anasumbua watu sana mtaani kwa ubabe wake na anavuta bangi hadharani. Muda Mwingi anashinda Chanika kwenye Bar ya Baba yake.
maswali ya kijinga huwa sijibuIngekuwa ww ungeona hipi Ina hadhi?
kusambazia mihadarati pia ni rahisiHizo ndio biashara rahisi kuzimanage kwa maaskari hazina mambo mengi.
Biashara zingine zinahitaji muda mwingi kuzifuatilia ndio maana wanazipenda hizo
that makes sense....siyo barAna kiwanda cha nafaka pia. Unga wa nafaka anauza mpaka shayiri kwenye viwanda vya bia
Kwenye biashara ya mihadarati wanakusanya kodi kwa mapapaakusambazia mihadarati pia ni rahisi
Mungu anakuona😀Kwenye biashara ya mihadarati wanakusanya kodi kwa mapapaa
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mungu anakuona😀