johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sometime transfers kama hizi hutumika katika utakatishaji pesa na kufund vikundi vya kigaidi.Ina maana skuiz donors kutuma hela kwa wadau hairuusiwi tena kwan mboga mboga mnaogopa nini
Kwani Fungu la Ununuzi wa Wabunge na Madiwani kwa Jina la "Kuunga Juhudi" lilitoka wapi?Wangeanza kwanza kuchunguza pesa zile trion 1.5 kwani hizo trion 6 sisi zinatuhusu Nini?
Kwani Fungu la Ununuzi wa Wabunge na Madiwani kwa Jina la "Kuunga Juhudi" lilitoka wapi?
[/QUOTE