IGP Sirro: Tunakichunguza Kituo cha Kutetea Haki za Binadamu baada ya kupokea fedha nyingi takriban Tsh. bilioni 6 kutoka nje

IGP Sirro: Tunakichunguza Kituo cha Kutetea Haki za Binadamu baada ya kupokea fedha nyingi takriban Tsh. bilioni 6 kutoka nje

Process huhusisha akaunti kufungwa
Acha kukariri!Inskuwaje unasimamisha shughuli za taasis kama hiyo kwa hisia tu? Vp kama utakuta hakuna tatizo?Unajua waajiriwa wangapi wataathirika kwa maamuzi kama hayo?kuwa na open mind utaelewa hoja yangu ni nin!

Awamu hii ni ya ajabu sana!
 
Acha kukariri!Inskuwaje unasimamisha shughuli za taasis kama hiyo kwa hisia tu?Vp kama utakuta hakuna tatizo?Unajua waajiriwa wangapi wataathirika kwa maamuzi kama hayo?kuwa na open mind utaelewa hoja yangu ni nin!

Awamu hii ni ya ajabu sana!
We tulia, acha vyombo vichunguze kwa maslahi mapana ya taifa.
 
Hivi kamaanda sirro ana kiwango gani cha elimu? Maana unaweza kumlaumu kumbee tatizo ni elimu ndogo aliyonayo ndo mana akakimbilia upolisi
 
Ukatishaji huo.. upinzani Lissu na mabeberu.. mumedakwa.. uchaguzi na kutaka kujaza waharibu amani. muhimu wa frizi account zao pia..
 
Hivi kamaanda sirro ana kiwango gani cha elimu? Maana unaweza kumlaumu kumbee tatizo ni elimu ndogo aliyonayo ndo mana akakimbilia upolisi

Acha wivu huku wajua.. hawuna jipya.. elimu yake.. wewe hujamufikia.. kaa ulie sasa..
 
Umeketi waangalia ustaaarabu wa IMT mara paaap, bilioni 6 zapiga hodi kwenda LHRC.

Lakini, huu utaratibu wa kupata sababu ya kutuma kiasi hicho cha bilioni 6 kwa mkupuo upo duniani kote.

Nchi nyingi tu ikiwemo hiyo ilotuma fedha hizo wanazo sheria zinazohusu uingizaji na utoaji fedha ili zisije kutumika kwenye utakatishaji, ugaidi, na shughuli zingine za kihalifu.

Ni lazima watoe chanzo cha hizo fedha, makusudio yake na mchanganuo mzima wa matumizi yake.

Zikigundulika ni za matumizi yasiyokusudiwa basi benki iliyozipokea izirudishe zilikotoka au kwa maagizo ya serikali iwe inatoa kwa installments kama ni za mishahara au marupurupu au matumizi yoyote ya kistaarabu.
 
Diplomatic language ni shida Tanzania.

Kulikuwa na namna nyingi za kutolea maelezo kwanini serikali imeamua kuchunguza.

Mfano IGP angeweza sema historical income and expenditure ya taasisi inaonyesha funding ya mwaka huu ni kubwa sana kushinda previous years kwa ivyo serikali inataka kujua kwanini wakati hakuna ushahidi wa kuongezeka kwa huduma zao unaoenda sambasamba na ukubwa wa funding iliyoingia ndani ya mwaka.

Kwa sababu iyo serikali inachunguza kama kuna fraud activities ambapo taasisi ime overstate it’s budget ili kujipatia hela zaidi kwa makusudi ya watu wachache wajinufaishe, au kuna money laundering, au kuchunguza source ya hizo hela kama zinatoka kwa regular funders wa kila siku.

Yote hayo ni kwenye kazi ya jeshi la polisi (serious fraud unit) kuhakikisha matumizi ya hizo hela zinaenda kutumika kulingana na budget iliyopangwa na taasisi, katiba yao na sio mambo mengine kinyume na shughuli za usajili wao au sheria za Tanzania

Sababu alizotoa Sirro sio za ki IGP ni za level ya mtu kama Musiba petty and the explanation given is not in per with top civil servants language; anatakiwa ajue kutumia diplomatic language.
 
Duu hivi watanzania wa humu jamii forum mnaotetea haki za binadamu mnajua kama hawa wanafadhili pia maadili mabaya kwa vijana wetu wa kitanzania
 
Acha kukariri!Inskuwaje unasimamisha shughuli za taasis kama hiyo kwa hisia tu? Vp kama utakuta hakuna tatizo?Unajua waajiriwa wangapi wataathirika kwa maamuzi kama hayo?kuwa na open mind utaelewa hoja yangu ni nin!

Awamu hii ni ya ajabu sana!
Vipi kama wakikuta kuna tatizo?

Kuwa na open mind utaelewa hoja yangu ni nini!
 
Back
Top Bottom