uporo wa wali ndondo
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 3,455
- 2,240
Kutetea haki za binadamu B6 zote hizo ni za nini kama sio hujuma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili za kimaskini shida sana! Kwa hiyo unaona bilioni 6 ni hela nyiiiingiiiiiii?????Kutetea haki za binadamu B6 zote hizo ni za nini kama sio hujuma.
Unajifanya unajuaaaa kumbe hamna kituu, kama b6 ingekuwa ndogo serikali isinge funga account zao.Akili za kimaskini shida sana! Kwa hiyo unaona bilioni 6 ni hela nyiiiingiiiiiii?????
Kweli CCM wameharibu taifa!!!!
Nikwambie tu ndugu, hizo ni hela ndogo saaana hasa kwa ofisi.
Akili yako ya kimaskini na kukosa exposure isikufanye uone hiyo hela ni nyingi sana.
Kwa iyo we jambo lolote linalofanywa na serikali we unaona wako sahihi! Kwa iyo kuzuia matibabu ya Lissu walikuwa sahihi??! Kuzuia vyombo vya habari kutangaza Habari za Lissu wako sahihi????Unajifanya unajuaaaa, kama b6 ingekuwa ndogo serikali isinge funga account zao.
Aeleze Sheria inasemaje kuhusu hizi NGO mwisho wao kutumia au kupokea ni shilingi ngapiIGP Sirro amesema jeshi la polisi linakichunguza kituo cha Kutetea Haki za Binadamu kinachoongozwa na Ole Nguruma baada ya kituo hicho kupokea kiasi kikubwa cha fedha kutoka nje.
Sirro amesema kwa mwaka huu pekee kuanzia mwezi January kituo hicho kimepokea takribani Tsh bilioni 6 kutoka nje hivyo Jeshi linataka kujiridhisha uhalali wa fedha hizo zisijekutumika kwa nia ovu ikiwemo ugaidi na utakatishaji.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia!
Maendeleo hayana vyama!
Unajifanya unajuaaaa kumbe boya tuu, kama b6 ingekuwa ndogo serikali isinge funga account zao.usitumie matako kufikiria.B6 sio elfu sita nyumbu wewe.
Tena aswa pale hela inaiingia kutoka nje bila maelekezo yoyote punguza mahaba tanzania kwanza chadema baadae.
FreshMamboo
Fedha za miradi hutolewa kutokana na mahitaji halisi. Hii hutokana na kile kilichopo ndani ya 'techical & financial proposals" na kukubalika kutokana na matakwa ya "funders". Kusema TZS 4Bn ni kiasi kikubwa na kuzitilia ni sababu nyepesi sana na kukosa elimu sahihi juu ya uendeshaji wa miradiIGP Sirro amesema jeshi la polisi linakichunguza kituo cha Kutetea Haki za Binadamu kinachoongozwa na Ole Nguruma baada ya kituo hicho kupokea kiasi kikubwa cha fedha kutoka nje.
Sirro amesema kwa mwaka huu pekee kuanzia mwezi January kituo hicho kimepokea takribani Tsh bilioni 6 kutoka nje hivyo Jeshi linataka kujiridhisha uhalali wa fedha hizo zisijekutumika kwa nia ovu ikiwemo ugaidi na utakatishaji.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia!
Maendeleo hayana vyama!
Tujiulize sheria inasemaje? Bongo ukikubali kusajiliwa, ukubali kukumbana na sheria zinazokuongoza. Sheria inakutaka ku "declare source of income" unachokwepa nini? Umekuwa "Kuku Project?" unajifanya unafugisha kuku kumbe upatu. Akaunti ikivimba utafuatwa tuKwahiyo anataka watu wakionewa kituo kisiweze kuwatetea kwa kukosa pesa. Kama ukiukaji wa haki za binadamu unaongezeka alitegemea gharama za kuwatetea zisiongezeke pia wapunguze unyanyasaji wa raia na matumizi ya hicho kituo yatapumgua automatically.
We endelea kudharau mitandao ya kijamii, ipo siku utafurahi. Dunia imeshabadilika usipokubali kwenda nayo utaachwa. Kama haujui Social media na vijana ni damudamu ma hao ndio anguko lenu kama hamjawekeza huko.Siasa za kwenye mitandao ya kijamii raha sana.
Jifunze kuandika kwanza ndo uje kucommentAcha wivu huku wajua.. hawuna jipya.. elimu yake.. wewe hujamufikia.. kaa ulie sasa..
Hiyo hela hata msanii Diamond unaweza kuta anayo kweny kibubu chake iweje kwa NGo kubwa ile.Fedha za miradi hutolewa kutokana na mahitaji halisi. Hii hutokana na kile kilichopo ndani ya 'techical & financial proposals" na kukubalika kutokana na matakwa ya "funders". Kusema TZS 4Bn ni kiasi kikubwa na kuzitilia ni sababu nyepesi sana na kukosa elimu sahihi juu ya uendeshaji wa miradi
Hakuna fedha isiyokuwa na shughuli ya kufanya,tatizo hapa kutatokea utaifishaji kwa visingizio vya kibabe.Kituo cha Hali za Binadamu wanapewa bajeti na Bunge?Kama jibu ni hapana,na taasisi hiyo ipo kisheria,IGP amewahi kujiuliza kwamba huwa kituo hicho kinaendeshwaje?johnthebaptist,
Hamna lolote CCM na serikali yake wanatapatapa kuelekea kibra, kazi kwenu mlijifanya wajuaji haya sasa mnakaangwa na wenye dunia mmeshaingia kwenye kumi na nane.
Kikawaida walipaswa kutumiwa shilingi ngapi?
Laki tano, milioni moja , kumi au vipi?
Naona una hofu hadi unakaribia kuchanganyikiwa. Kama hujui miradi yao umezuiliwa kwenye ofisini kwao kuangalia miradi yao??? Umeshindwa hata kufungua website yao tu????Na hizo pesa huwa wanazitumia wapi mbona hatuoni kazi yao,
Wana miradi gani, wanatetea akuna nani kuku mikoanai?
Au kazi yao ni kutetea wanasiasa peke yao?
Hatujawahi kusikia wanatetea watu kukosa maji, au watu wanaopewa kesi si halali, huku magerezani bali wao wanzitumia hizo pesa wapi?
Na hilo shilika mlezi wao ni nani ni mabeberu au lina jiendesha kutokana na nini?
Nchi ya hovyo sanaIGP Sirro amesema jeshi la polisi linakichunguza kituo cha Kutetea Haki za Binadamu kinachoongozwa na Ole Nguruma baada ya kituo hicho kupokea kiasi kikubwa cha fedha kutoka nje.
Sirro amesema kwa mwaka huu pekee kuanzia mwezi January kituo hicho kimepokea takribani Tsh bilioni 6 kutoka nje hivyo Jeshi linataka kujiridhisha uhalali wa fedha hizo zisijekutumika kwa nia ovu ikiwemo ugaidi na utakatishaji.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia!
Maendeleo hayana vyama!
Fresh
Mwaka ukiwa mpinzani utaelewa umuhimu wa hao haki za binadamuHicho ni kituo cha kutetea haki za Chadema
Wewe unataka serikali ifanye kama anayotoka lisu na watu wake wakati wao hawataki kufata utaratibu wa serikali. unajua kuna vitu vingine nibora angevifanya raia wa kawaida ambaye hajui tratibu zinakuwaje lakini sio kwa wakina lissu.Kwa iyo we jambo lolote linalofanywa na serikali we unaona wako sahihi! Kwa iyo kuzuia matibabu ya Lissu walikuwa sahihi??! Kuzuia vyombo vya habari kutangaza Habari za Lissu wako sahihi????
Embu tumia angalau nusu ya akili alizokupa Mungu, au kama huna exposure omba uambiwe ili ujue!!!
Serikali ya kipindi hiki mambo mengi wanayofanya ni kwa nia ovu hasa kuongopa wao kupata changamoto full stop.
Nenda kwenye NGO kubwa tena zinazofanya kazi nchi nzima watakwambia bil 6 sio hela. Wao hiyo ni hela ya kawaida sana maana kuna miradi hadi ya bil 10 mpaka 50. Sembuse bil 6????