Nas Jr
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 7,920
- 8,675
Labda kipind hiki wamepokea nying tofaut na wanavyopewaga
Yah may be.. coz 6Billion ni hela ambazo watu binafsi tu wanazo kwenye acc zao sasa kwa taasisi kama hio kuwa Big Deal isingeleta mantiki.
Acha tuone watasemaje baada ya uchunguzi