Uchaguzi 2020 IGP Sirro: Tutawashughulikia walioandaliwa kufanya vurugu

Uchaguzi 2020 IGP Sirro: Tutawashughulikia walioandaliwa kufanya vurugu

Tunapongeza sana jesh la polisi.

nitoe wito kuwaasa vijana msitumike kwa maslahi ya watu na familia zao.mtaumia wao wa kwanza kupewa visa na hifadhi za ukimbiz wa kisiasa.ukivunjika unabakia peke yako. faida ipo wap sasa na maushabik ya kijinga jinga.
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amesema hadi sasa wananchi wengi wamekuwa watulivu licha ya kuwepo kwa baadhi ya watu wachache walioandaliwa na baadhi ya viongozi wa kisiasa kwa ajili ya kufanya vurugu na kujiingiza kwenye uhalifu....
What goes around comes around...Wakati wewe unawaza kuwashughulikia na wewe wanakuwinda uingie kwenye 18 zao wakupeleke ICC.
 
Nafikiria huenda Jamii iliyomzunguka ilishindwa kutamka neno ZERO na Wakatamka Sirro lakini uhalali wa jina ni Zero kulingana na kichwa na fikra za mtu.

Jambo alifanyalo SILO akili zitumikazo Zero
Mawazo yangu tu
 
Mimi sina chama lakini namiomba IGP atazame upya wanaoshusha bendera za wenzao kwani huu ni uanzilishi wa fujo.
Nilitegemea aseme wasaidizi wake ndio wana takiwa kushughulikiwa. Mabomu, Nyamongo, kakaa kimya, OCD Hai jamaa kimya halafu ana tutishia sisi?? Mwambie jina lake linaanza kuwekwa kwenye list ya ICC
 
Mimi sina chama lakini namiomba IGP atazame upya wanaoshusha bendera za wenzao kwani huu ni uanzilishi wa fujo.
Ccm wanashusha bendera za chadema na Act lakini hatusikii ki tume wala Polisi wakiwakamata maccm kwa vitendo kama hivyo vinavyochochea vurugu.

Anyway wanachokitafuta watakipata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amesema hadi sasa wananchi wengi wamekuwa watulivu licha ya kuwepo kwa baadhi ya watu wachache walioandaliwa na baadhi ya viongozi wa kisiasa kwa ajili ya kufanya vurugu na kujiingiza kwenye uhalifu.

IGP Sirro amesema hayo leo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam na kuwataka baadhi ya viongozi kufanya masuala ya siasa na kuacha kuwatumia vijana na kuwaingiza kwenye uhalifu na kwamba yeyote atakayebainika atachukuliwa hatua za kisheria.

Kuhusu upigaji wa kura Zanzibar, IGP Sirro amesema, wapo baadhi ya watu wanaohamasisha baadhi ya watu au kikundi cha watu kuvunja sheria wakati wa zoezi la upigaji kura kinyume cha sheria, kanuni na taratibu zilizopo.
"SERIKALI YACHADEMA ITATUMIA WATAALMU WAKE KUAHAKIKISHA MNAKWENDA KUCHUNGA KWENYE HIFADHI" 😂🤣😂🤣

Tundu Lissu (Mzee Wa Faragha)
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amesema hadi sasa wananchi wengi wamekuwa watulivu licha ya kuwepo kwa baadhi ya watu wachache walioandaliwa na baadhi ya viongozi wa kisiasa kwa ajili ya kufanya vurugu na kujiingiza kwenye uhalifu.

IGP Sirro amesema hayo leo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam na kuwataka baadhi ya viongozi kufanya masuala ya siasa na kuacha kuwatumia vijana na kuwaingiza kwenye uhalifu na kwamba yeyote atakayebainika atachukuliwa hatua za kisheria.

Kuhusu upigaji wa kura Zanzibar, IGP Sirro amesema, wapo baadhi ya watu wanaohamasisha baadhi ya watu au kikundi cha watu kuvunja sheria wakati wa zoezi la upigaji kura kinyume cha sheria, kanuni na taratibu zilizopo.
Chadema watapinga
 
Mimi sina chama lakini namiomba IGP atazame upya wanaoshusha bendera za wenzao kwani huu ni uanzilishi wa fujo.
Pia sina chama ila vinauzi sana. Yaanii Timu A wanafanyiwa vurugu kamisaa wa mchezo IGP anaungana nao pamoja na refalii ambae ni tume kukemea wakijifanya wako fair. Tena hadi watu wanatoa ubani.

Sasa ikija upande mwingine watendewee husikii hata kauli ya kukemea. Leo nimeona gazeti mojatu la nipashe ndiyo wamejitutumua.
Sasa hii inaleta picha gani?
Binafsi naona mbele kunagizatuu.

Wengine hadi wanasema humshindii sasa akitokea mwingine amwambie wa upande mwingine hashindi ninini kitatokeaa?
Imebaki kutishana kutiana hofu pasipo nasababu yoyotee. Anyway Mungu nimwema atatuepusha na ubaya wowote tunao hubiriwaa.
 
upinzani tuna kazi tunashindana na CCM, Siro na Tume ya Uchaguzi
 
Back
Top Bottom