Uchaguzi 2020 IGP Sirro: Tutawashughulikia walioandaliwa kufanya vurugu

Unaombaje Hela ya Kusuka wakati nchi Ipo kwenye uchaguzi mkuu?
Hivi wanawake wa ccm Mbona mnakosa Uzalendo Jamani!

Sent using Jamii Forums mobile app
Chadema buana, sasa mkeo akikuomba hela ya kusuka ndio unakuja kunitag Mimi mama D 😂😂😂😂

Haya sema shida za mke wako zote makomred waje wakusaidie Crimea MAGUFULI MAGUFULI Kawe Alumni johnthebaptist TUJITEGEMEE YEHODAYA Bia yetu waje wakusaidie
Wakuu nimewatag kuna mtu anaomba pesa mkewe akasuke huku🤣🤣🤣🤣🤣
 
Uvunjifu wa Amani utaletwa na IGP na polisi wa ccm kuwaonea wapinzani kuibeba ccm yao, na endapo polisi wa ccm watasababisha machafuko huyo IGP ajue mahakama za kimataifa hazitamuacha salama
 
Chadema buana, sasa mkeo akikuomba hela ya kusuka ndio unakuja kunitag Mimi mama D 😂😂😂😂

Haya sema shida za mke wako zote makomred waje wakusaidie Crimea MAGUFULI MAGUFULI Kawe Alumni johnthebaptist TUJITEGEMEE waje wakusaidie
Wakuu nimewatag kuna mtu anaomba pesa mkewe akasuke huku🤣🤣🤣🤣🤣
ccm wamepoteana sasa kilichobaki ni kuwatumia polisi wa ccm kuchokoza wapinzani ili wakijibu wasingizie wameleta fujo wapate kisingizio cha kuwapiga kuwaonea kuwafanyizia vyote walivyotumwa na ccm yao
 
Polisi wanalipwa mishahara kutokana na kodi za watanzania wote cha ajabu sasa polisi wamekuwa ni watumishi wa ccm pekee iweje wanaendelea kulipwa mishahara kwa pesa za walipa kodi? ni vyema ccm waaanze kuwalipa mishahara ili hizo pesa za walipa kodi ziende kujenga barabara Hosptal mashule vyuo na maendeleo mengineyo muhimu.
 
kwa kweli hata mimi kunitoa nilipokaa eti nikarushe mawe kisa robot au meko itakua ngumu
 
Nguvu ya umma ni tofauti na genge la watu wachache wahalifu ,tofautisha,shuleni mlienda kusomea upumbavu?
1602264857827.png

Wananchi wamesha wakataa.
 
Sijajua kama wale mabinti zake wamepata wachumba... Aliwatambulisha majuzi hapa....

IGP kama IGP...
 
Pia awaonye mapolisi wake waache kuchanganya kazi na ukada tumeona ocd hai, na kwingineko kote huko ushahidi unakusanya awapo juu ya sheria watakapobanwa wasilaumu mtu maana ushahidi wa video na sauti unaukwepa vipi. "Piga mabomu, watapigwa kipigo cha mbwa kokokoo.
Siku zote polisi ndio wamekuwa chanzo cha kusababisha vurugu nchi kwa kuibeba ccm
 
Aache kutisha watu, mbona awaonyi tume kuengua wagombea wa upinzani,
Haki na amani uenda pamoja
 
Lolote linahusu kufanyiwa vujo, vurugu, au kuuwawa kwao huwezi kuta polisi wanalishughulikia wao uona sawa tu
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amesema hadi sasa wananchi wengi wamekuwa watulivu licha ya kuwepo kwa baadhi ya watu wachache walioandaliwa na baadhi ya viongozi wa kisiasa kwa ajili ya kufanya vurugu na kujiingiza kwenye uhalifu.

IGP Sirro amesema hayo leo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam na kuwataka baadhi ya viongozi kufanya masuala ya siasa na kuacha kuwatumia vijana na kuwaingiza kwenye uhalifu na kwamba yeyote atakayebainika atachukuliwa hatua za kisheria.

Kuhusu upigaji wa kura Zanzibar, IGP Sirro amesema, wapo baadhi ya watu wanaohamasisha baadhi ya watu au kikundi cha watu kuvunja sheria wakati wa zoezi la upigaji kura kinyume cha sheria, kanuni na taratibu zilizopo.
Kila ikifika wakati wa uchaguzi yanarudiwa maneno hayo hayo ya kuwajengea watu hofu lakini hakuna hata mwaka mmoja kulitokea viashiria vya fujo.
Mi naona matukio ya kuungua moto mabweni ndio yameshamiri mwaka huu lakini hatupati majibu ya uchunguzi wa matukio hayo ya moto bali tunajengewa hofu za vurugu za uchaguzi kila mwaka!
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amesema hadi sasa wananchi wengi wamekuwa watulivu licha ya kuwepo kwa baadhi ya watu wachache walioandaliwa na baadhi ya viongozi wa kisiasa kwa ajili ya kufanya vurugu na kujiingiza kwenye uhalifu.

IGP Sirro amesema hayo leo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam na kuwataka baadhi ya viongozi kufanya masuala ya siasa na kuacha kuwatumia vijana na kuwaingiza kwenye uhalifu na kwamba yeyote atakayebainika atachukuliwa hatua za kisheria.

Kuhusu upigaji wa kura Zanzibar, IGP Sirro amesema, wapo baadhi ya watu wanaohamasisha baadhi ya watu au kikundi cha watu kuvunja sheria wakati wa zoezi la upigaji kura kinyume cha sheria, kanuni na taratibu zilizopo.
IGP usikonde. Himiza NEC kutenda haki na amani itatamalaki. La sivyo itabidi utumie "nuclear Weapon" kuwaondosha wasiotendewa haki.
 
..Imefika wakati IGP awakemee wakurugenzi na watendaji wa tume kwa kutokutenda au kuchelewesha HAKI.
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amesema hadi sasa wananchi wengi wamekuwa watulivu licha ya kuwepo kwa baadhi ya watu wachache walioandaliwa na baadhi ya viongozi wa kisiasa kwa ajili ya kufanya vurugu na kujiingiza kwenye uhalifu.

IGP Sirro amesema hayo leo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam na kuwataka baadhi ya viongozi kufanya masuala ya siasa na kuacha kuwatumia vijana na kuwaingiza kwenye uhalifu na kwamba yeyote atakayebainika atachukuliwa hatua za kisheria.

Kuhusu upigaji wa kura Zanzibar, IGP Sirro amesema, wapo baadhi ya watu wanaohamasisha baadhi ya watu au kikundi cha watu kuvunja sheria wakati wa zoezi la upigaji kura kinyume cha sheria, kanuni na taratibu zilizopo.
Huyo hana jipya ataishi kwa kuamrishwa mpka na mashetani
 
Back
Top Bottom