mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Chadema buana, sasa mkeo akikuomba hela ya kusuka ndio unakuja kunitag Mimi mama D 😂😂😂😂Unaombaje Hela ya Kusuka wakati nchi Ipo kwenye uchaguzi mkuu?
Hivi wanawake wa ccm Mbona mnakosa Uzalendo Jamani!
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya sema shida za mke wako zote makomred waje wakusaidie Crimea MAGUFULI MAGUFULI Kawe Alumni johnthebaptist TUJITEGEMEE YEHODAYA Bia yetu waje wakusaidie
Wakuu nimewatag kuna mtu anaomba pesa mkewe akasuke huku🤣🤣🤣🤣🤣