What goes around comes around...Wakati wewe unawaza kuwashughulikia na wewe wanakuwinda uingie kwenye 18 zao wakupeleke ICC.Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amesema hadi sasa wananchi wengi wamekuwa watulivu licha ya kuwepo kwa baadhi ya watu wachache walioandaliwa na baadhi ya viongozi wa kisiasa kwa ajili ya kufanya vurugu na kujiingiza kwenye uhalifu....
Hana uwezo ata wa kuwakoromea vile vitoto vidogo vinavyoitwa chipukizi vya CCM nchi imeoza hiimimi sina chama lakini namiomba IGP atazame upya wanaoshusha bendera za wenzao kwani huu ni uanzilishi wa fujo
Ata kuvaa mabomHii nchi inavoenda kuna siku watu watapasuana..
Ndio akachunguze sasa,sio kupoteza muda na matamko uchwaraSt. Joseph Girls' Seminary iliyoungua hapa Mwanza ni ya waislamu? Pumbavu!!!
Nilitegemea aseme wasaidizi wake ndio wana takiwa kushughulikiwa. Mabomu, Nyamongo, kakaa kimya, OCD Hai jamaa kimya halafu ana tutishia sisi?? Mwambie jina lake linaanza kuwekwa kwenye list ya ICCMimi sina chama lakini namiomba IGP atazame upya wanaoshusha bendera za wenzao kwani huu ni uanzilishi wa fujo.
Ccm wanashusha bendera za chadema na Act lakini hatusikii ki tume wala Polisi wakiwakamata maccm kwa vitendo kama hivyo vinavyochochea vurugu.Mimi sina chama lakini namiomba IGP atazame upya wanaoshusha bendera za wenzao kwani huu ni uanzilishi wa fujo.
Unaombaje Hela ya Kusuka wakati nchi Ipo kwenye uchaguzi mkuu?
Nyingine imeungua manyara haina uhusiano na dini ya kiislamuSt. Joseph Girls' Seminary iliyoungua hapa Mwanza ni ya waislamu? Pumbavu!!!
"SERIKALI YACHADEMA ITATUMIA WATAALMU WAKE KUAHAKIKISHA MNAKWENDA KUCHUNGA KWENYE HIFADHI" ππ€£ππ€£Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amesema hadi sasa wananchi wengi wamekuwa watulivu licha ya kuwepo kwa baadhi ya watu wachache walioandaliwa na baadhi ya viongozi wa kisiasa kwa ajili ya kufanya vurugu na kujiingiza kwenye uhalifu.
IGP Sirro amesema hayo leo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam na kuwataka baadhi ya viongozi kufanya masuala ya siasa na kuacha kuwatumia vijana na kuwaingiza kwenye uhalifu na kwamba yeyote atakayebainika atachukuliwa hatua za kisheria.
Kuhusu upigaji wa kura Zanzibar, IGP Sirro amesema, wapo baadhi ya watu wanaohamasisha baadhi ya watu au kikundi cha watu kuvunja sheria wakati wa zoezi la upigaji kura kinyume cha sheria, kanuni na taratibu zilizopo.
ππWalioandaliwa kufanya vurugu ni TISS, JWTZ, Tume na polisi ambao wameshaandaliwa jinsi ya kuiba kura na CCM
kigogo karudi na akaunti gani
Chadema watapingaMkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amesema hadi sasa wananchi wengi wamekuwa watulivu licha ya kuwepo kwa baadhi ya watu wachache walioandaliwa na baadhi ya viongozi wa kisiasa kwa ajili ya kufanya vurugu na kujiingiza kwenye uhalifu.
IGP Sirro amesema hayo leo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam na kuwataka baadhi ya viongozi kufanya masuala ya siasa na kuacha kuwatumia vijana na kuwaingiza kwenye uhalifu na kwamba yeyote atakayebainika atachukuliwa hatua za kisheria.
Kuhusu upigaji wa kura Zanzibar, IGP Sirro amesema, wapo baadhi ya watu wanaohamasisha baadhi ya watu au kikundi cha watu kuvunja sheria wakati wa zoezi la upigaji kura kinyume cha sheria, kanuni na taratibu zilizopo.
Pia sina chama ila vinauzi sana. Yaanii Timu A wanafanyiwa vurugu kamisaa wa mchezo IGP anaungana nao pamoja na refalii ambae ni tume kukemea wakijifanya wako fair. Tena hadi watu wanatoa ubani.Mimi sina chama lakini namiomba IGP atazame upya wanaoshusha bendera za wenzao kwani huu ni uanzilishi wa fujo.
Natamani ungekuwa TZ ili na wewe ushiriki kwenye hiyo nguvu ya umma!Sirro huwezi ku deal na nguvu ya umma.